Tatizo ni akili ndogo haiwezi kuielewa akili kubwa.. Au umeambiwa na ukakariri. Aliulizwa vipi kuhusu ushoga? Akajibu ataisimamia katiba. Umeelewa? Maraisiwote wanausimamia ushoga. Maana katiba yetu ina sema ni marufuku serekali kuingilia faragha ya mtu. Je ushoga ni faragha au ni hadhara? Ndio maana lisu anataka katiba mpya. Ili ipinge huo ushoga. Na ccm hawataki katiba mya ili waendelee kukulana. Huko chamani.

Safi sana baba Bon tunataka wazee jasiri kama wewe
Barikiwa sana! Wazee kama wewe ni waoga sana kutaka mabadiliko kwa sababu akili zao zimelemazwa na CCM na wamejaa CCM.
Mzee jasiri sana
Mzee uko vizuri sana,mungu akulinde
Mzee upo vzr
Amina mzee lema ludi uchukue jimbo lalo
Safiiiiii wazee kama wewe wapo wachache sana
Uko sawa mzee
Ndiyo mzee lisu oyeee
Huyu mzee ni mpiganaji
Mzee uishimiaka200
❤❤❤❤❤❤❤ usife ww baba
Pambana mdogo wangu
Unafurahisha walionuna eti ni zaidi trump
Arusha hakuna maboya wakudanganywa na ccm
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kichaa akiongea lazima wasikiaji nao wawe machizi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaguswa we mzee
Ni keeli mzee nyara ya serikali wasira alikuwa.anatusanifu eti hatoi tume huru
Tundulisu kuliko trump??? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli wendawazimu wakiongea na wasikiaji lazima machizi ndio panakuwa sawa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa kuna chizi aliekuzidi wewe kweli? Wewe ni mgonjwa kabisa hujielewi
Inamlinganisha tramp na lisu juzi tu si ndio lisu alikua anatetea mashoga au leo amebadilika mm lisu simkubali kabisa bora heche
Tatizo ni akili ndogo haiwezi kuielewa akili kubwa.. Au umeambiwa na ukakariri. Aliulizwa vipi kuhusu ushoga? Akajibu ataisimamia katiba. Umeelewa? Maraisiwote wanausimamia ushoga. Maana katiba yetu ina sema ni marufuku serekali kuingilia faragha ya mtu. Je ushoga ni faragha au ni hadhara? Ndio maana lisu anataka katiba mpya. Ili ipinge huo ushoga. Na ccm hawataki katiba mya ili waendelee kukulana. Huko chamani.
Tatizo ni akili ndogo haiwezi kuielewa akili kubwa.. Au umeambiwa na ukakariri. Aliulizwa vipi kuhusu ushoga? Akajibu ataisimamia katiba. Umeelewa? Maraisiwote wanausimamia ushoga. Maana katiba yetu ina sema ni marufuku serekali kuingilia faragha ya mtu. Je ushoga ni faragha au ni hadhara? Ndio maana lisu anataka katiba mpya. Ili ipinge huo ushoga. Na ccm hawataki katiba mya ili waendelee kukulana. Huko chamani.
Endeleeni kupiga kelele mpaka october, ccm ikishinda mnabaki tumeibiwa