Mungu niwewe ulinipatanisha kwa haya madhibahu naomba ufute machozi yangu ya miaka mingi unitimizie haja ya moyo wangu nibarikiwe kupitia haya madhibahu kila hitaji la ombi langu. Amen 🙏
God you are the only person who knows the pain my heart is passing through right now pls heal me and answer the desires of my heart this year in Jesus name amen
Katika madhabahu haya fungua milango ya baraka katika maisha yangu, niondolee maisha ya umasikini,,walinde watoto wangu na damu yako,,mfungue mume wangu apate fedha,baba nitetee maadai zangu wasifurahie,,nifunike na damu yako.
Peke Yako mungu unaejua moyo wangu. Naomba unisaidie mungu kwenye maisha yangu pamoja na familia yangu. Okoa watoto wangu na uwabariki kwa kiwango cha juu.
Lord Jesus help in my business that are going down and up...sometimes I get money and disappear without me knowing where they have gone. Help also to bring back my destiny that has been stolen in Jesus name Amen
through this poworfull worship song,oohGod remember my alter let you glory be with my church and members,delivers themand protect them from the evil power,be me God.
mungu ponya siz yangu macho apate kuona,sifa naeshima sita kurejea ukiwa kitini chako cha ezi kupitia mutumishi wako eziekiel baba jibu maombi yangu ,nifungulie jia niweze kufika kanisani nikuone na nikuwabudu baba ,kwa roho na kweli
Mungu unaye tenda naomba ninapoenda kufanya mtihani wangu ndiyo ni renew license naomba nisione ugumu yeyote wala uzito yeyote katika jina la yesu 🙏🙏🙏🙏🙏
Naomba mungu aiinue familia yangu Jehova mkumbuke mme wangu, mpe nyota ya bihashara na kuinuka kimaisha.....Tukumbuke Mungu wangu ...roho za umasiki,usinzi na kuhangaika imtoke mme wangu...muondolee marafiki wabaya muinue kiwango cha juu
This so wonderful,umeombea mme wako how I wish my wife would be praying for me like you. Ata mm namuombea mungu ampe mafanikio na mapenzi ya kweli kwako na watoto wenu
Mungu usipotumana Kwa maisha yangu na biashara yangu ya online ni nani atanisaidia 😭😭😭Niko hapa mungu ninakungoja niondolee roho ya umaskini na unipeleke viwango vingine
Mungu unaye tenda katika madhabau haya naomba uniondolee magumu yanayo tatiza moyo wangu in Jesus name amen 🙏🙏
Mungu niwewe ulinipatanisha kwa haya madhibahu naomba ufute machozi yangu ya miaka mingi unitimizie haja ya moyo wangu nibarikiwe kupitia haya madhibahu kila hitaji la ombi langu. Amen 🙏
Nimejikuta tatokwa namachozi kwa nyimbo hii ,Mungu akubariki sana mtumish kwa kweli wewe umeitwa ,wewe ni mtumish ISAYA41:15
Oooooooh Lord you are the only one who knows my heart i go through alot of pain plz heal my heart 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤷♀️
May God restore my faith in the spirit 🎉I believe in your power lord you're my everything 💗
Mungu naomba ufunguwe maisha yangu,niondolee roho ya umaskini, kuteseka na kukataliwa
Glory to Almighty lets worship him always
God you are the only person who knows the pain my heart is passing through right now pls heal me and answer the desires of my heart this year in Jesus name amen
Yesu unapoziru wengine ikumbuki familia yangu kupitia Madhibahu hii
Ee Mungu naomba mwaka huu pia uyatende mambo makuu yajibu maombi yangu nijalie neema vile ulivyomjalia Yebesi alipoomba ombi lake.
God lord help me don't leave me jesus
Katika madhabahu haya fungua milango ya baraka katika maisha yangu, niondolee maisha ya umasikini,,walinde watoto wangu na damu yako,,mfungue mume wangu apate fedha,baba nitetee maadai zangu wasifurahie,,nifunike na damu yako.
Mungu fungua njia zangu zakazi kupitia kipindi hiki,madui zangu wote wahaibike
May the Almighty God bless all believers who are undergoing difficult situation anywhere they are in Jesus name 🙏😭
Yesu unikumbuke baba unapozuru wengine usinipite,ukutane na haja ya moyo wangu.Amen
Peke Yako mungu unaejua moyo wangu. Naomba unisaidie mungu kwenye maisha yangu pamoja na familia yangu. Okoa watoto wangu na uwabariki kwa kiwango cha juu.
Lord Jesus help in my business that are going down and up...sometimes I get money and disappear without me knowing where they have gone. Help also to bring back my destiny that has been stolen in Jesus name Amen
My the Almighty father bless your business my beloved brother in Jesus name 🙏🙏
God help me graduate this coming Friday AMEN!
In Jesus name may it happen for you ❤❤
through this poworfull worship song,oohGod remember my alter let you glory be with my church and members,delivers themand protect them from the evil power,be me God.
Usife moyo pastor ezekiel only God knows your way
GOD BLESS MORE X7 PASTOR EZEKIEL AND HIS FAMILY HEAR HIM AS HE ALWAYS NEED YOU
Mungu uwe pamoja na Kila moja katika Kenya hi yetu uwabariki vyiongosi wetu pia fungua moyo wao amen
Mungu nikumbuke Kwa kazi yangu hata nami nisonge viwango vya juu,,,,nmechoka kua house girl,,,,
Dreams are valid ,god will make ways for you❤
GOD BLESS MY FAMILY HEAR US AS WE PRAY TOO ANSWER OUR PRAYERS IN JESUS NAME
My all time worshipper,God bless you man of God.
mungu ponya siz yangu macho apate kuona,sifa naeshima sita kurejea ukiwa kitini chako cha ezi kupitia mutumishi wako eziekiel baba jibu maombi yangu ,nifungulie jia niweze kufika kanisani nikuone na nikuwabudu baba ,kwa roho na kweli
God , may i be free from stagnation, witchcraft, Rejection, bad dreams, poverty in jesus name.
Mungu uliyewapa wengine kazi nzuri ninaomba unipe kazi nimechoka na kazi ya nyumba babaa.
Jesus save my spirit from bad dreams. My body is your temple Lord Jesus.. You alone Jesus save my soul.
Lord when ever You visit NEWLIFE altar kindly Father visit me with altars Power
God ur the only friend I have nijibu bwana kama c wewe mm siwezi
Ameeeeni pastor. Mumgu wambinguni aendeeleè kukutiangu kwayote
Was blessed to be at the higher Altar felt the Presence of God manifesting
Mungu wangu nikumbuke,kupitia mtumishi wako Ev.EZEKIEL oooooh oooooh Eloi nisaidie miminafamilia yangu.
May God almighty touch my family and bless us all.
This is good i like it too it's making a connecti betwen man and God
This is unbelievable my LORD, I thank you for this worship song. Thank you Holy Spirit❤
Jehova nifungue vifungo vya chawi kupitia madhabau haya
LORD JESUS I PRAY FOR MY HEALTH MY CHILDREN AND MY JOB UREJESHO INATOKA KWAKO I'M STILL WAITING IN JESUS NAME AMEEEEN 🙏🏻
BABA REJESHA VYA KWANGU AMBAVYO ADUI ALINIPOKONYA MM NA FAMILIA YANGU KTK JINA LA YESU KRISTO 🙏🙏🤲🤲🤲🤲😭😭
😢😢😢😢Yesu ni ww unajua moyo wangu unajua ninayo pitia unajua naitaji nn Kupitia kwa haya Madhabau ponya moyo ponya maisha yngu 😢🙏🙏🙏
Mungu nikumbuke katika madhabau haya niondolee roho ya kukataliwa. Na uwasaidie watoto wangu kwenye biashara yao na utuondolee vizuizi vyote maishani
Mungu niondolee roho ya magonjwa, cancer ipone kabisa, restore back my health
Eh mwenyezi Mungu nipe roho ya ufanisi, kibali na utajiri in Jesus name Amen 🙏🏻
May you protect my family from the evil works
Asante mtumishi, mungu akutie nguvu
Mungu unaye tenda naomba ninapoenda kufanya mtihani wangu ndiyo ni renew license naomba nisione ugumu yeyote wala uzito yeyote katika jina la yesu 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu niondolee roho ya kung'ang'ana maishani mwangu.nipe wepesi wako
God is Faithful always with me and my family
Ezekiel is talented in worship songs
May God restore my resettlement to the USA in the name of the most high
Mungu nikumbuke jisi unavio kumbuka wengine
Eee mungu wangu usinipite unapozuru wengine nahitaji ulinzi wako hata kwa watoto wangu na mume wangu akombolewe pamoja na wazazi wangu na ndugu
God pllllz send ur angles unto my life
Mungu wangu nitetee usikubali maadui wafurahie usiponitetea nani atanitetea
Jesus Christ fight for me.have no energy to fight for myself
Let your will be done Adonai🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Naomba mungu aiinue familia yangu
Jehova mkumbuke mme wangu, mpe nyota ya bihashara na kuinuka kimaisha.....Tukumbuke Mungu wangu ...roho za umasiki,usinzi na kuhangaika imtoke mme wangu...muondolee marafiki wabaya muinue kiwango cha juu
This so wonderful,umeombea mme wako how I wish my wife would be praying for me like you.
Ata mm namuombea mungu ampe mafanikio na mapenzi ya kweli kwako na watoto wenu
Pastor remember Me and my family in prayers
God restore me am working as a house help which I don't want give me my job and marriage amen
Lord hear my prayer abt my sons ,thank you lord,u alone you know my cry,i lift ur name higher
God remember me plus my family ,may you wipe my tears
Mungu nibariki nipate pesa Leo inua maisha yangu mungu wangu ee baba
God bless you pastor Ezekiel
Kupitia madhabau haya mungu nirudishie chechote nilichonyanganywa in jesus name
A men God be with NY life n we we tu nimepaki na wewe
I pray that I receive the anointing that is powerful as yours pastor sijameni leo Mungu ulisikie ombi langu
Deliverance and Healing upon me
Mungu ndie kimbilio letu.Lugha ya Mungu ni imani
Naomba Mungu anipe mtoto afungulishe tumbo langu in Jesus name amen
Yesu akupe watoto wakike na wakiume
Diana kahyoza toka Tanzania kupitia madhabahu haya na mwombea mwanangu Rahma katika masomo yake mpe hekima na akiri baba fungua ufahamu wake baba
Mungu niponye maumivu ya moyo wangu
Naombe urejesho wa nyota yangu na pia ya watoto na nyota ufanisi katika jina la yesu
Yesu ni nani atakayenikomboa pamoja na family yangu 😭😭,ni wewe pekee Yesu unayejua mateso ya boma letu 😢
Naomba urejesho wa nyota yangu ya ndoa na ya ufanisi katika jina la yesu kristo napokea
Kupitia madhabahu haya Bwana .. niondolea ufukara
Lord don't leave me alone 🙏
Mungu usaidie watoto wangu na uniondolee roho ya umasikini
Mimi Janet lneed the star to day na roho ya umaskini itoweke kwangu mungu anifungulie
Mungu ufungue maisha niondolee roho ya unmasking na kukataliwa
Mungu bariki ndugu yangu josphat akaandikwe permanent kwa bank ee mungu wangu tuinuliwe kwetu baba yangu
God may I be the mother of Isaac in Jesus mighty name.
I connect my children and my brother David onyango odwaro to the kesi in Jesus name amen
I connect my brother David onyango odwaro to win the kesi in Jesus name amen
I connect David onyango odwaro in this higher atar of the new life church to win the case in Jesus name amen
Wewe ujue moyowangu jibu mahitaji yangu
God have mercy on me 🙏
Chochote kilichopotea kwangu,afya,mapenzi,roho nzuri,irudi mara mbili zaidi
Mungu usipotumana Kwa maisha yangu na biashara yangu ya online ni nani atanisaidia 😭😭😭Niko hapa mungu ninakungoja niondolee roho ya umaskini na unipeleke viwango vingine
Mungu Ni Wewe peke yako unayejua moyo wangu,Mungu nizaidie
We thank you Lord for everything
Jesus Christ help me to pass my nursing council exams
Amen pastor remember me in your prayers
Ameeeeeeen mungu ainuliwe milele maishani mwangu pamoja na watoto wangu kupitia hii Madhav
Nakabidhi family yangu mikononi mwako mungu wangu ukazidi kuwalinda hadi nitakaporudi na kupata wako salama🙏🙏🙏🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
Funguwa macho na nyota yangu nipe Exlent and successful life
Amen pastor, remember me in prayer thanks
Hii church inakuanga wap
God heal me every disease tomenting in my life
Mungu ni kumbuke kwa kazi yangu ni mechoka kua house girl unitoe katika viwAngo ya umaskini
Yes prophet let Jesus locate me.
Baba nilindee kwa njia zangu ,,,am
Niwewe tu unastahili babaa 🙌🙏
Thankyou Jesus!!