DAAAH INAUMA KAREEM|YANGA INAKUFA |YANGA KUSAJILI MZAWA NI MATUMIZI MABAYA YA PESA TUNAUMIZWA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 24

  • @noahmwaitege8663
    @noahmwaitege8663 3 дня назад +2

    Chagambaa mwamba Kareem n kiumbe anaujua sana mpiraa atatusaidia viongoz wamjone uyo mwamba anajichoo

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 3 дня назад +1

    Dreva kafukuzwa kazi gari iko mlima kitonka!!!!!

  • @BenezethEmily
    @BenezethEmily 3 дня назад

    Kweli kabisaa,tumepoteza mechi 4 lakini kiukweli timu zilizotufunga hazikuwa Bora kiasi chakutufunga hivo

  • @HERIDZUGWEH
    @HERIDZUGWEH 4 дня назад +1

    Leo bro umeongea mpira na nimekuelewa

  • @davidwilbert5094
    @davidwilbert5094 2 дня назад

    Timu ikionyesha kufeli kbsa watu huwatunajua kuchambua atar😅

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 2 дня назад

    😂😂😂kibabade

  • @davidwilbert5094
    @davidwilbert5094 2 дня назад

    Kibabade 😂 na mweda amekuja sasa😂

  • @MADAHAYOHANA
    @MADAHAYOHANA 4 дня назад +1

    watu mbona wanapiga kelelee huko nyuma si waende mbali na hapo ah ! Kadili tunavyo endelea kimashindano ndio tunafundishwa ni jins gan yakusajili ! We jitu la futi 9 likabwe na kibabage 🙄 ! Haya bwan

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 дня назад

    Duh we Mwamba unajua ni Fatic inawakuta wachezaji wa Yanga sema hoya hoya ndo inawasumbua wengi...Pokea Mauwa yangu Brother unajua mno yaani unajua mno mno mno..wewe ni shabiki mmoja mwenye uelewa kati ya Mashabiki Bora.

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 2 дня назад

    Timu yetu inavyoonekana kama vile imekosea masharti ya mganga ndio maana haieleweki

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 4 дня назад

    Kweli asee kibabage ni mjinga Yule dogo aondoke yanga

  • @DM_15
    @DM_15 3 дня назад

    Wana yanga niwafungulie cod, namba 6 mchawi ni mkude😂. Kumbukeni wakati maude yupo simba hakuna namba 6 iliwahi sajiriwa ikadumu isipate majeruhi, kuna fraga, tadeo nawengine, wachawi mukude na chama nambayachamanayo huwa ngumù sana mtu kuipiku😂

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 4 дня назад

    Tunataka damu mpya

  • @japhariramadhani7272
    @japhariramadhani7272 3 дня назад

    Kareem yuko sahihi kwa anachoongea

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 4 дня назад

    Dube na azizi ki wawekwe benchi kwanza ili wajitafakal uenda wanaweza kua bola sana Zaid ata ya tunavyo wafaamu

  • @Mkally88-fl2ef
    @Mkally88-fl2ef 2 дня назад

    Yale makafara ya kila wiki kuchinja ming'ombe na kunywa vibudu hayo ndio matokeo yake istoshe mnatuaminisha mulikuwa munapigana masindano why timu imepotea ghafla

  • @HalimaRajabu-x8h
    @HalimaRajabu-x8h 3 дня назад

    Kakà umesema kweli atujui tumlaumu nani

  • @HalidiHamisi-d1v
    @HalidiHamisi-d1v 3 дня назад

    Anacho kisema nikweli

  • @ezekielmwakyagi9330
    @ezekielmwakyagi9330 4 дня назад

    acha uongo kwasi juzi miyeyusho anashindwa kupanda ata krosi moja ajapiga

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 4 дня назад

    Comment bado mapema kukata tamaaa kwa Yanga BINGWA