Mashallah. Nasaha nzuri. Maneno mfano wa haya yalizungunzwa na waalimu hapa hapa tanzania na bado watu waliendelew kutolewa maneno mabaya hadharan, na kuchafuliwa . Allah kamleta tena mjumbe mwengine. Kwa kweli mashekh zetu kasim mafuta, abdallah humeid minatkiwa muwe hivi... Ila nnamshaka mtakuja kumradd huyu shekhe na yeye kwa maneno haya alosem ya hekma.
Allahu Akbar! naswaha nzuri In shaa Allah huenda Radd za mitandaoni zikapungua
Baarakallah fiyka
Mashallah. Nasaha nzuri. Maneno mfano wa haya yalizungunzwa na waalimu hapa hapa tanzania na bado watu waliendelew kutolewa maneno mabaya hadharan, na kuchafuliwa . Allah kamleta tena mjumbe mwengine. Kwa kweli mashekh zetu kasim mafuta, abdallah humeid minatkiwa muwe hivi... Ila nnamshaka mtakuja kumradd huyu shekhe na yeye kwa maneno haya alosem ya hekma.
Baarakallah fiyka
Yaani haya maneno yako hayana muelekeo mzuri
@@abuuabdirrahmaan4132 kma nimesema uongo ni sawa. Ila kma nikweli bc jua nikinyume chake akhy.