🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA LEA - DEC 11/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 25

  • @EstherTito-z8l
    @EstherTito-z8l 3 дня назад +9

    EFM ..TUNAOMBA MREKEBISHE RADIO HAIPO VIZUR TENA HILI TATIZO NI LA MUDA MREFU HAIFURAHISHI KABISA...TAFADHAL

  • @SalhaSaid-z5b
    @SalhaSaid-z5b 2 дня назад +2

    Dada Vero umependeza sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤😂😂

  • @NasreenAbela-b2k
    @NasreenAbela-b2k 3 дня назад +2

    Da vero umependeza

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 3 дня назад +3

    Radio jamani haipo Sawa, rekebisheni EFM

  • @HalujaSalum
    @HalujaSalum 2 дня назад +2

    Wanazingua sana washaona wametupata sasa hivi hawajali kabisa changamoto tunazopitia.

  • @LovenessAbel
    @LovenessAbel 7 часов назад

    Da Veronica Frenk umependeza sana kasura kanawaka kama cha mtoto

  • @نجاةالعبري
    @نجاةالعبري 3 дня назад +2

    Hii stor usiimalize juu juu kama ya jonatha

  • @scholamwasi
    @scholamwasi 3 дня назад +2

    Hivi inakuwaga na vipindi vingine au nisimulizi tu pekeyake

    • @hasnanadhiru2168
      @hasnanadhiru2168 3 дня назад +1

      😂 ni muda wa simulizi ili mje huku haraka.😅

  • @yohanatweve5721
    @yohanatweve5721 3 дня назад

    Nafrahi sana Huku wasapu hakuna nogwa

  • @NeemaEzekiel-k7x
    @NeemaEzekiel-k7x 3 дня назад +1

    Kweli umekuwa muda sasa zaid ya mwezi haipatikani tena vipindi vyotee

  • @StiviniLugakingila
    @StiviniLugakingila 2 дня назад

    Mwanza tulisha saau

  • @DoreenAssey-c6p
    @DoreenAssey-c6p 2 дня назад

    Kwa Moshi tokea mwez wa 11 mwanzon hampatikanik kabsaa rekebishen mambo

  • @SaimonLukonde
    @SaimonLukonde 3 дня назад

    Jamani iringa redio haisikiki

  • @yohanatweve5721
    @yohanatweve5721 3 дня назад

    Dada wajibu wanao tumia ledio

  • @RehemaMnyangida-yo6zj
    @RehemaMnyangida-yo6zj 2 дня назад

    Mm siku hizi sisikiliz kweny redio yani inakata kabisa

  • @complex7582
    @complex7582 2 дня назад

    SIMULIZI INAANZA KWENYE UCHAWI INAENDA KWENYE MAPENZI

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 дня назад

      😂😂😂😂😂hahaha yani hatari🎉🎉

    • @complex7582
      @complex7582 2 дня назад

      @frida-oi6kw huko mbele mapenzi na uchawi vitalutana

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 дня назад

      @@complex7582 ila mimi nafikilia inawezekana kuwa huyu mkaka labda ametumwa na mama yake na lea...sijui lakini

    • @cate606
      @cate606 День назад

      Hahaa

  • @neemazabron-jt3hd
    @neemazabron-jt3hd 2 дня назад

    Yne da vero redio jmn hazishiki inabidi niweke bando la jeroo😂😂😂