MaashaAllah! Nmefurahi sana kukuona tena maalim wangu ukiwa mzima wa afya. Allah akuhifadhi na akufanyie wasaa ili tuweze kuendelea kunufaika na duruus zako za tajweed, swarfa, nahwu n.k. Kwa hakika tunakutegemea sana. Allah ukulipe kwa juhudi zako sheikh wangu!

آمين يا رب العالمين
🙏🙏
ATWAALA ALLAHU UMRAKA KHAIRAN