KIKOSI KIMEFANYA MAZOEZI YA MWISHO KABLA YA KUWAVAA KAGERA SUGAR KWENYE MCHEZO WA KESHO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 76

  • @Izackfanuel
    @Izackfanuel 4 часа назад +7

    Naipenda sana simba 🦁 yangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ naiombea simba 🦁 yangu irudi na point 👉👉👉👉👉👉👉👉👉 3 Amen ❤❤❤❤❤❤

  • @BeatriceZakaria
    @BeatriceZakaria 4 часа назад +9

    Mungu wa mbingun muumba mbingu na ardhi ninakuomba wachezaji wetu kesho waamke salama utujalie tupate ushindi wa magor 3 na pont3 tunaomba hayo kwa njia bwana wetu yesu kristo

  • @ShadadiAmri-c3o
    @ShadadiAmri-c3o 3 часа назад +3

    Inshaallah mwenyezi Mungu 2jaalie simba nguvu moja ubaya ubwera

  • @tumaini37
    @tumaini37 5 часов назад +4

    All the best Mnyamaaa, mwaka huu kileleni ni kwetuuuu❤🎉🎉🎉🎉
    Tupeni raha tupeni rahaaa Simbaaaa

    • @alimtumwa3236
      @alimtumwa3236 2 часа назад

      Eyarabi inalienable tumu yangu pendwa simba kesho ishinde inshallha

  • @reticiarehema
    @reticiarehema 5 часов назад +3

    kila la kheri my simba nakupenda sana

  • @dotomodesto6451
    @dotomodesto6451 3 часа назад +1

    Keep on pushing vijana , mjitume aisee mkileta uzembe bas tutahalibu kabsa na ubigwa njia tutaanza kuihalibu mapema

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua 33 минуты назад +1

    Star mtambo huyo kaz kaz

  • @JuliasOnai
    @JuliasOnai Час назад

    Eemwez mungu tunakuomba ushindi kesho amina

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 2 часа назад

    Inshallah mungu atupe ushindi kesho kwa jitihada za wachezi,kesho mpambane tunawategemea.

  • @meshackmwamahonje1362
    @meshackmwamahonje1362 2 часа назад

    Mungu ibariki simba walinde wachezaji na benchi

  • @MzamiluDulles-ko6ty
    @MzamiluDulles-ko6ty 4 часа назад +2

    Kadhalina mimi naomba niuombe uongozi mzima benchi laufundi kuhusu swala LA team kukata pumzi kipindi ya pili lifanyiwe kazi sisi kama mashabiki hua linatuekaga roho zetu ju juu atari Asante kwa muda wako ndugu msoma comment

  • @augustinoyohana7115
    @augustinoyohana7115 Час назад

    ubaya ubwelaaaaaa🦁🦁🦁

  • @KelvinLakindi
    @KelvinLakindi 5 часов назад +2

    My team ❤❤❤

  • @AnastaziaYasint
    @AnastaziaYasint 6 часов назад +1

    Simba yangu mie ❤

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 3 часа назад

    Nimepamiss Bukoba!..Simba Nguvu Moja .Ushindi ni Muhimu

  • @ngaputiloningo2186
    @ngaputiloningo2186 4 часа назад

    Kila la heri simba ❤❤ nawatakia maandalizi mema,

  • @MapigomnakayaKagozi
    @MapigomnakayaKagozi 2 часа назад

    Mungu naomba kesho tupate ushindi wa goli 2 na pointing 3 wape nguvu wachezaji wa Simba na nguvu na maalifa mengi tushinde. Make huu uwanja huwaga ni magumu kwetu ira kwako mora hakuna kinacho shindikana

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 4 часа назад

    Ushindi kesho🎉🎉🎉

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 2 часа назад

    Sjamwona valentino nouma 🥹🥹🥹

  • @rahimsiraju9880
    @rahimsiraju9880 3 часа назад

    Mwalimu na bench la ufundi wafanyie kaxi mapungufu ya team iwe na kiwango cha juu

  • @Ally-jf6wu
    @Ally-jf6wu 5 часов назад +1

    Tatizo la team yetu kukata pumzi kipindi cha pili lifanyiwe kazi Kuna cku itatugarimu

  • @stephanojulius66
    @stephanojulius66 3 часа назад

    Hawana fitness wap uchawi bongo tumezidi kaah , kuna mipango mikakat iliyowekwa kwa wachezj wote wle waliokuwa wakiimbwa sana kuwadhoofisha kwahyo viongozi wetu wawalinde wachezaj wetu ndani na nje ya uwanja tunavita kubwa sana iliyopo sirini ( Fernandez tumuombee sana maan jina lke ndo pendekezo la kwanza)

  • @saleemally3636
    @saleemally3636 4 часа назад +1

    Yan humu kila mtu kocha dah

    • @AgostinoRaphail
      @AgostinoRaphail 4 часа назад

      oyaaa wee acha watu hawataki timu ishambuliwee yaani mwanzo mwishoo timu ishambulie tuu kilaa mechii,Sasa huo Mpira au draft

  • @KhadijaRajab-v6s
    @KhadijaRajab-v6s 4 часа назад

    Point 3 ndio muhimu, wapambane ili kuleta point 3. Kila la kheri ubaya ubwela.

  • @godfreymanyilizu5789
    @godfreymanyilizu5789 5 часов назад +1

    Wajikaze wanaonekana hawana nguvu kabisa sijui tatizo nini.?

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 2 часа назад

    Kesho nimwendo wakula senene tu na pointi 3 mhim kwa runyas

  • @munirayassin6103
    @munirayassin6103 5 часов назад

    Waongeze speed kwa Kila mech

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 3 часа назад

    Love simba 🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪🙏🙏

  • @Ramaabakar
    @Ramaabakar 4 часа назад

    Wanaonekana hawana nguv shid nn jaman mwenyezimung awajalie kesho muamke na afya njema mpambane mcheze mpra wa spid uwe wa kas

  • @AishaShaban-s5r
    @AishaShaban-s5r 5 часов назад

    ❤❤❤❤❤

  • @seiftaji7838
    @seiftaji7838 3 часа назад

    Kila la heri poit 3👉👉👉👉👉👉👉👉 dua

  • @KamalaBuchwa
    @KamalaBuchwa 3 часа назад

    Wachezaj watu wanakata pumzi kipindi cha piri tunaomba waongeze mazoez wapate pumz ya kutosha

  • @RizikiTairo
    @RizikiTairo Час назад

    Mpanzu kesho ata cheza kwli

  • @Ally-jf6wu
    @Ally-jf6wu 5 часов назад

    Wachezaji hawana utimamu wakucheza dakika zote 90 kwa speed inayoridhisha

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 3 часа назад

    MUNGU AWATANGULIE KWENYE MCHEZO WA KESHO

  • @farajiyasinngonyani5964
    @farajiyasinngonyani5964 Час назад

    Kwani si irisomwa albadiri vp majibu bado

  • @NoelyNjelekela
    @NoelyNjelekela 4 часа назад

    mbona mazoezii yakiremboo sanaa

  • @NathanLukambinga
    @NathanLukambinga 5 часов назад

    NAWATAKIA USHINDI, KWENYE MECHI YA KESHO

  • @Christopher-c1x
    @Christopher-c1x 4 часа назад

    Kila la kheri mnyama kesho v kagera

  • @igigigigivig9112
    @igigigigivig9112 5 часов назад +9

    Wachezaji mechi namwarabu walicheza chin sana nahata mechi na ken qold wachezaji hawana fitness kabisa wanatakiwa wapatiwe mazoezi yakurudisha fitness wachezaji wanatembea kipindi chapili ndio kabisa unataman uzime tv hawachezi vizuri kipindi chapili hii sijuwi shida nini

  • @dignaSwai
    @dignaSwai 5 часов назад

    Ni kukomaa 2

  • @mrgujarat8391
    @mrgujarat8391 6 часов назад

    First

  • @NassoroOmary-xr5gl
    @NassoroOmary-xr5gl 5 часов назад

    Mbona kama vile ngoma anaaga

    • @Ally-jf6wu
      @Ally-jf6wu 5 часов назад +1

      Anaaga au anawasalimia mashabiki

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 5 часов назад

    Andaeni mazoezi ya mabarafu muwaweke umo nusu saa kwanza

  • @ZachariaMwita-bu7rw
    @ZachariaMwita-bu7rw 4 часа назад

    🫡🔥🔥🔥🔥🦁

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 5 часов назад

    Wakenya ni wapumbavu

  • @Willypo99-tq2fk
    @Willypo99-tq2fk 5 часов назад

    Inshallah tutarud DSM na alama 3 tukishinda goli 3 na zaid

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 5 часов назад

      Baada ya hapo tutacheza na timu gani? Na ni nyumbani au mkoani?

  • @Uloli2000
    @Uloli2000 4 часа назад

    Kacheze wewe

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 3 часа назад

    Aisee wahusika.. muwe mnacompress mechi za Simba ili tuzione katika ubora wake na sio kurudia highlights za Azam kila siku.. tuwekeeni mechi nzima.. ! Nyie ni wenye nchi basi fanyeni kweli..!

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 3 часа назад

      Ikiwezekana anzisheni website yenu ili muweze kupost mechi nzima huko..!