Mbwela mbwela mbwela ni kk mmoja fundi sana nitafurahi siku nikija nikiona amepokea tunzo ya muugizaji Bora wa kiume anajituma sana huyu kk anajua mpk anajua tena ❤❤❤❤❤❤
Nilicho jifunza wanaume wengi wanapo toa msaada kwa wanawake wanitaji rushwa ya ngona rakini hapa imekuwa tofauti basi Hiro ni fundisho kwa wanaume wapumbavu respect sana kwa jeb
Such beautiful film ❤️❤️❤️ Jebi Amazing Actor 🔥🔥🔥🔥 Great lesson learnt 🎉🎉🎉 Congratulations producers for bringing such Amazing movie ❤️ love watching ❤️❤️❤️❤️❤️
Congratulations 🎉🎉🎉🎉 mumeweza sana like za wakenya jamani
Hebu nione wenzangu team Tiktok 😂mpoo lakini
hahahahahah
@@JamaicaStudio5 pamoja bro 🤝
Hoyeee 😅
Pamoja🤝
@@marynamachanja1836 one love
Message
Learning
Acting
Action and etc, well presented
Jebi hongera Sana Na m mkenya nasubiri movie nyngne byeeee
Aise mwela amekomaa kwa sanaa mafundisho tupu
Upo vizuri Sanaa🎉🎉
Muvie nzur sanaaaaa
Mashallaah bwela uko vzr sana mungu akubariki sana broo ❤❤❤
Ujumbe ✔️
Mafunzo ✔️
Waigizaji ✔️
Vitendo ✔️
Uhusika ✔️
Mandhari ✔️
Hongereni sana kwa kazi nzuri ndugu zangu.. keep it!
Mbwela ON🔥🔥🔥🔥
Nimeipenda hii ❤❤
Movie nzuri sana ina ujumbe mzuri
Ongera sana mbuela
Nimejifunza mengi sana kwenye hii movo jebi na pia nimejifunza kusamini mwanamke pia respect
Bwana mbwela we Noma bro naku kubali kabisa❤
Nimejikuta nalala saa 10 kazi nzur
asante sana usiache kusubscribe ili uweze kuona filamu nyingine zijazo ni nzuri sana
Wee congratulations jebi
Jebi kazi nzuri sana nimeipenda❤😅😅😅😅😅😅 congratulations 👏
Mbwela unakiti chako mbinguni unajua kutufraisha snaa🥰🥰❤️❤️🫂
Jebi unasauti nzuri 😘
😢😢 maashaallah move Zur sana
anko nakukubali san Jebi since nikuone kwa Clam, big up san✌️✌️
Wau nimefurahishwa Sana Na hii movie Na hongera Sana ❤ nafuatilia kipindi ktka Kenya 🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🙋
Watu Kama Hawa Wanahitaji Sapoti Kubwa
Love from KENYA(254) ❤❤❤
#poshëmposh™
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙋
Aisee ii movie da Kali na ina mafunzo makali
Aiyyiii
Nimejifunza sana kutokana na mbwela na uyu dada 😢😢😢😢 ,,, mungu akusaidie rafiki
Baaria kafanya nimemkubal Sana respect🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤ movie
Hongereni nyote mlioshiriki😅
asante
Movie nzur
KAZI nzuri sana
Kazi nzurii .
asante sana
❤❤❤❤aisee iki chuma cha pua nimeipenda sana Hi movies
asante sana
Msenge umeuwa sana movie Yako ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️😘😘
apewe mauwa yake
Huyo kiboko
Daaah uyu dada kauzu cjapata kuona 😂😂😂
Nimeipenda hiyo mungu anamubadirisha mtu kwa mda ukifika❤
Napenda sana movie zko hongera natazama kutoka kenya
Umetisha sana mbwela Big up Sana brother bonge la kazi na limetulia kinoma
Nice movie
Hongera sana mbwela ALLAH mubaraka
Very nice
Mwanangu bwela umetisha San kwenye hii move Mzee masela inabidi tuishi hvi
kabisa kabisa
Kaka upo vizuri 🎉❤😊 pole kwa kila ki2
Mungu azibariki kazi zako daima
Story imeelekea 💪👊🤝
Tunasubiria movie kalie nyengine kutoka kwenu❤
Mbwela wee ni mstaharabu sana, hlf una akili na busara nyingi sana
Noma sana umetisha kwa hii movie wewe mnyama aiseeeeee
Mbwelaa ,,,,nice movie,,,,big up bro
Good talent
thanks broo
Appreciate more bro jebi
😂😂mume wangu abeeee😂😂😂😂bonge la movie🔥🔥🔥
Move kali Sana Safi Sana tupo pamoja
Good movie kiswahili
Big up bro movie nzury sna❤❤
Good
Congratulation all participants ... mmepaly pat vizuri
Thanks
Bwela km bwela💃❤️
Hii move inafundisha sana hongera mbwela ❤❤
yeah inatoa mafunzo makubwa, asante
Fundisho kubwa kbx
saluti baba ume igiza safi sana kabisa courage sana
Movie nzuri ipewe mauwa ❤❤❤alafu iko Na mafunzo mengi Sana nakubali Sana kaka
Kaka jebi thank you for your work
hongera sana
Movie nzuri❤
Pongezi kwa jebi
Tamu sana
Tamu sana, mpaka mombasa kenya imetufikia ❤❤❤❤
asante sana na hongera sana, pia usiache kusubscribe ili kuweza kujionea filamu nzuri zijazo
Bwela huaga hafeli siku zote big up sanaaaaaa brother!
Huyo jamaa kiboko nakuambia soon watamuelewa tu note
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Sawa fundi kwenye commedy upo uku Kama kawaida Mbela na timu yake movie nzuri Sana🎉🎉🎉
asante sana
dah hii movie ni nzur san nimeangalia mwanzo mwish na nimejifunza vingi sana❤❤
Hungera kwa kufunza🎉❤🎉❤
Baba mwenye nyumba nmkubali
Mashallah nimejifunza cn nilipta kule tiktok ila sikujua jina la hii movie but i hope nim enjoy kwa kwli never give up bro
Mafuza kw jamii❤❤
Kwa kweli Kuna Malaya na Kuna anae fanya kitu Kwa shida nimeipenda iyo monalisa si Malaya nimsaka noti km mimi😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Tuma no yako
Kweli imeweza
Aise daaah kwa kweli hii sinema nimeipenda mpaka na jebi mwenyewe ❤❤❤❤❤
hongera sana na usiache kufuatilia channel hii
Naipebd
Waaaaah jamani tamu kweli ❤❤❤❤❤
Uyu mweupe ni hendsome❤❤ but ako na ushauri mzri
asante, nafurahi kusikia hivyo
Krbu snaa
@@Josephinejosephine-gc1fk asante
Mbwela mbwela mbwela ni kk mmoja fundi sana nitafurahi siku nikija nikiona amepokea tunzo ya muugizaji Bora wa kiume anajituma sana huyu kk anajua mpk anajua tena ❤❤❤❤❤❤
Nikweli brother
Waaah I love this🥰🥰🥰🥰
thank you 😍
Nakubal San bro 🎉🎉🎉🎉move ya moto
Balaaaa
moto fire🔥
👏👏👏👏👏
Movie zuri sana
asante sana na usiache kusubscribe ili kuona filamu nyengine mpya nzuri
Eti una mang'anuka nini 🤣🤣🤣 Wewe ni muigizaji unique sana believe ukikomaa na uigizaji huu utafika mbali sana
Mbwela unajua sana 🙌
Hongera sana mbwera kazi mzr sana mungu akubariki uweze fika mbali❤❤
On side❤❤❤
Nilicho jifunza wanaume wengi wanapo toa msaada kwa wanawake wanitaji rushwa ya ngona rakini hapa imekuwa tofauti basi Hiro ni fundisho kwa wanaume wapumbavu respect sana kwa jeb
Good job mwanangu since Kijiji cha Azoda vizuri mapambano yanaendelea
So touching 😢Take heart Jebi
pole sana
Such beautiful film ❤️❤️❤️ Jebi Amazing Actor 🔥🔥🔥🔥 Great lesson learnt 🎉🎉🎉 Congratulations producers for bringing such Amazing movie ❤️ love watching ❤️❤️❤️❤️❤️
Bwela filamu zako nazipenda sana
Great
Nimeipenda hii
asante sana na usiache kusubscribe ili kuona michezo mengine mizuri zaidi
❤