Hapo sawa👍 Mr. Sam. Kaa mimi nimehama wiki jana, kutoka Garissa NE Kenya, mpaka Thika karibu na Makongeni. Na kubali Garissa kuna pesa, lakini kwa mfano, ile distance nilikuwa nikilipa kutravel Kes 100/- huko na bodaa, saa hii na lipa mbao (Kes 20/- ) same distance kwa kutumia tuk tuk. Na uliza, iko sense gani utengeneze pesa mingi na bado ibaki huko huko ulipo ipata? Haimaki sense hataa.
Kuna aina ya personality ingine ungetaja. Hypochondriacs, kwanza wife. Othis aliruka kichwa sababu wife wake alikuwa anaenda hosi kila siku na akipimwa daktari haoni shida iko wapi. Othis aliishiwa juu ya kulipa medical bills mpaka akaguruka. Siku hizi yeye huzurura zura huku Denver Colorado akiimba nyimbo za kijaluo.
Maybe she was psychosomatic former cs joe mucheru divorced such a wife she was always sick without any sign of sickness ,but the wife claimed to have fibromyalgia.
You have a complaint coming towards and against you kumbe you want people to be foolish perhaps is what you expect. . Like the Holy Book says "A fool keeps their mouth shut at the gate". Mjinga wewe tuangushie kaa topic ingine kina manaa
Very true Brother.very powerful Teachings i need to wake up.very important that’s a wake up call to many.God bless
“Jee Huu ni Ungwana II”, big up brother love it.
I approve this message 💯.
Mr Sam, Bananaland, hapa nakuunga mkono kabsaa watu wa tabia ya aina hii ni mtu utimuwe mbio.
🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Yes
Yes yes Sam is baaaack! By the way kuna buda wangu mmoja anaongea upuuzi 24/7 nimemkimbia
Ukweli mtupu.
Asante
Exactly💯
True n true 👍🙏🏻
Ukweli mtupu!!❤
Kweli tupu!
Hapo kwa giving...its a tick
Hapo sawa👍 Mr. Sam.
Kaa mimi nimehama wiki jana, kutoka Garissa NE Kenya, mpaka Thika karibu na Makongeni.
Na kubali Garissa kuna pesa, lakini kwa mfano, ile distance nilikuwa nikilipa kutravel Kes 100/- huko na bodaa, saa hii na lipa mbao (Kes 20/- ) same distance kwa kutumia tuk tuk.
Na uliza, iko sense gani utengeneze pesa mingi na bado ibaki huko huko ulipo ipata?
Haimaki sense hataa.
Good Message. Excuse, Exchuse Sasa juu ya nthenya.😅 😊
Asante kwa mawaidha. I also hate whiners 😅
Are you a creator of life of others It’s blessings that make you from God ?
This is considered short clip! 🤭
Kuna aina ya personality ingine ungetaja. Hypochondriacs, kwanza wife. Othis aliruka kichwa sababu wife wake alikuwa anaenda hosi kila siku na akipimwa daktari haoni shida iko wapi. Othis aliishiwa juu ya kulipa medical bills mpaka akaguruka. Siku hizi yeye huzurura zura huku Denver Colorado akiimba nyimbo za kijaluo.
Maybe she was psychosomatic former cs joe mucheru divorced such a wife she was always sick without any sign of sickness ,but the wife claimed to have fibromyalgia.
🤣 mtu saba only kwa church . Umewahi sikia ngoma ya jua kali na Nonini ( mtu saba) hao ndio huyu pastor akanao kwa church yake.
Eeee, hata mimi nilielewa mtu saba kwa church 😂😂😂😂
Thank you Mr Sam for this very wise teachings. Hii ndio channel mi hu watch kama movie.❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉