Emmah ata nilikua nmekumiss ak ak uko find pamoja n wtoto 🙏🙏 dci mungu amubariki sana ingawa pia yye wapigwa vita akiambiwa nimusalit lkn panapo n mabaya mazuri huwepo pia kwahvyo mungu azid kukupa kibal dci naujasir uweze kuokoa wtto wetu ijapokua majari n changamoto katika maisha lkn naiman pia baraka zako zipo 🙏🙏🙏
wanajisikia nje?wakati wametenganisha watt na wazazi wao,hii mambo ya kidnap watt lini inafika mwisho?ooh lord my God protect all children from the hand of the kidpnas
Kijana mdogo ukashindwa kujitafutia kipato Cha halali ukaona hii ndio kazi ya kutoa roho za watoto WA wenyewe.. yaani vijana kama Hawa mkikamata hawafai uhai inatakiwa kufinishi... kabisa 📌
Aky DCI, madam wa Qatar na team Danguro wale wote mnaokoa watoto God bless u wherever u go
God the way you gave salvation to mama shifuna may you deliver other people who are under satan captivity
Watoto wamelilia police awasaidie na nikweli Mungu akatuma police awasaidie😢😢
Mungu tenda fimbo iwachape walifu😢😢
Emmah ata nilikua nmekumiss ak ak uko find pamoja n wtoto 🙏🙏 dci mungu amubariki sana ingawa pia yye wapigwa vita akiambiwa nimusalit lkn panapo n mabaya mazuri huwepo pia kwahvyo mungu azid kukupa kibal dci naujasir uweze kuokoa wtto wetu ijapokua majari n changamoto katika maisha lkn naiman pia baraka zako zipo 🙏🙏🙏
Good job DCI watu wengi walikuchukia wakakutusi msaliti lakini wakua wanajua wanacho sema God bless you dci to help innocent kids 😢🙏🙏🙏
Mungu wangu 😢😢😢😢Shuka baba utetee watoto wetu😢😢😢
Wapi likes za DCI? Nilimchukulia MTU mbaya without knowing that alijua anachokifanya. Mungu anisamehe
Siwatoke mbio
Dcl ukipata unaua
Machungu kwa watoto
Woooiye haki watoto wako na sinda hii nchi😭, asanty Mungu na dci kuwaokoa🙏
Love you 🥰 ❤❤❤❤Emma CEO GOD BLESS YOU BIG UP.
DCI mungu hakupee maisha marefu insha'Allah 🙏
Mungu wetukumbuka inji yetu ya kenya maovu yameshidi,mungu wangu kumbuka our kids
Blood of Jesus to cover all innocent kids in our country, mungu shush mitume wako kila mahali kutulindia na kuprotect watoto wetu in Jesus name 🙏🙏🙏
I doubted the DCI from what I saw him doing in the past. May God forgive me in Jesus's Name.
me too
Ali change
Me too
We thank God for everything ,,,❤❤❤good job DCI for the resue of the young boys
Oh mungu wangu mbona vile tulindie watoto wetu na wale waovu njia zao xiwe na utelexi its so painful 💔
Eee Mungu wangu😅 kutesa watoi
Mungu tulindie watoto wetu...God bless you DCI and madam Qatar
Huyu Dvi na mama kattar MUNGU awabariki sana
He is a very good n intellegent person our DCI
Good work DCI ❤❤❤❤
Ooo my God may our God rescue you 😢😢
😢😢😢😢emungu uliye binguni jina lako litukuza milele amen saidia watoto wetu mahali watakapo cheza jehova uwalinde
Brave boys God protect you boyz
God bless you team wote wanasaidia watoto
Eee mungu linda watoto wa wenyewe aki 😢😢😢
Dci please accept my apology.i had judged you wrongly. I have now seen that you are good.may the blood of Jesus Christ protect you.
Ameeeeen mungu yupo na watoi wake
Good work dci
Watoto wetu walikosea wapi 😢😢😢na vle shule zimefungwa
Hi Emma u are a strong woman GOD protect u in JESUS name
Jamani wazazi utaeka wapi watoto sahii
Waiting
God bless you Dci,long life
hii youtube ndio imefanya kazi yote,kama sio youtube hawa watu wangua watoto wengi
Brave boys fighting strong
Mungu linda watotowetu aki wah.....hii kenya biashara ndio hii sasa
DCI good job ukipata walifu kuua
Mtoto mdogo anateka watoto wenziwe
Mungu anisamehe ju huyu D C I nilikuwa na mchukia yangu yote
Mungu amutangulie DCI thenks
Unasema ww kwanza mm
Oooh God have mercy to Kenyans, Dci may God bless u kama uli change
Mungu wangu saidia watoto wetu 💔😢😢😢
Very painful 😢😢 DCI kudos fr saving life
Ni mwisho wa dunia watu walikufa wote wakabaki wanyama 😢😢
God protect ur people 🙏
Wooiye 😭😭😭😭😭😭😭
Good job DCI, God bless you
Yani kenya biashara niino tu yarabi tulindiye watoto wetu yarabi 😢😢
Blessings❤
I thank God for th rescue of the Boys . God your faithful..
Ngaai watoto wamekua mbuzi😢😢
Woooiyee watoto wawatu aki
❤
Hi mama
Ooooiii tunaita police and police came for resque
Hi emmah uko ajevp kuhusu mtoto prince yuko sawa juu toka aende a uncle yake kumekimnya hopes ako sawa
Ako poa wako na Mom
@CEOEMMAH alhamdulillah🙏 nice kama
Amen mrembo wetu@@CEOEMMAH
Mungu saidia hawa wa toto
Mungu mwema
Sai wazazi heri mfungie watoto kw nyumba aki ju sai watu wamekuwa wanyama😢 uyu dcl piga risasi ama chisaka atawanyishe kichwa n mwili atuletee kichwa
Mungu wangu😢😢😢😢😢
Aki God nisamee sana nime tamka mambo mengi kuhu su huyu DCI aki
MUNGU funika watoto wetu niuruma sana aki
Alafu nivijana wadogo Tu aki wanataka pesa yaraka aki MUNGU wangu
God is with you continue shouting
Good job bwana DCI
Hi ichi jamani iliuzwa Nasisi ukiwa ndani ndo mana maboss waliyo ununuwa wanatufanyiya hivi
😢😢😢mungu kwa nn binadamu wamekuwa wanyama
Asante sana DCI lakin mm naona huyu dci alichonga huu huu mpango ili tumuamin ya kua hasalit
nilikuwa nimemchukkia DCI nimeanza kumpenda na kumuombea
Hongera dci
Dci ukipata watu kama hawa piga risasi wametuchokesa
Dci kuja sasa
Hello CE0 Emmah
God you
Mashetani wakubwa nyiye watoto njo wamegeuka mizigo yani hawawatu mkiwa mnawashika uweni kabisa kwasababu nawawo hawana huruma namtu.
wanajisikia nje?wakati wametenganisha watt na wazazi wao,hii mambo ya kidnap watt lini inafika mwisho?ooh lord my God protect all children from the hand of the kidpnas
Mh ina huzunisha san Aki
😢😢😢😢
N kijana mdogo aky
😢😢😢😢😢
😭😭😭😭😭😭😭i feel bad seing children suffer
No huyu dci alisuka huu mpanga mm bado siamin kabisa
Kijana mdogo ukashindwa kujitafutia kipato Cha halali ukaona hii ndio kazi ya kutoa roho za watoto WA wenyewe.. yaani vijana kama Hawa mkikamata hawafai uhai inatakiwa kufinishi... kabisa 📌
😢😢😢😢😢😢😢
Hi emma
Na huyu nii kijana wa shule aky
Hao watoto wengine watatu wameokolewa ama
Please let's train our kids some techniques to defend themselves
Hawa piga risasi plz this too much now
Sasa najiuliza vijana nahii wasikae mbali wakae ndani hawa kupimgwa risasi hakuna kubembeleza
Dci rudi uchukuwe Hawa engine plz
Surely si hao watu haki wanatutesea watoto kweli surely whats wrong with pple unyama haki imezidi jameni mitume shukeni mtuokolee watoto wetu
Imgne kubebe mtoi miezi Tisa Na kumlea afke apo Alf gaidi inakam kumchukua amuuze Io pain yote so sad😢😢😢😢
DCI ukipatana namagaidi kaa hawa risasi ya matako
🤲🤲🤲🤲🤲😇😇😇😇🔥🔥🤝🤝🤝🧘🏽♀️🧘🏽♀️🤲🤲
D ci kawa binadamu
Hawatafanikisha mipanho yao ya kuua watoto 😢😢😢
Kwanini.disiyay.asimupigerisasi😢😢😢😢ukimuwona😢😢😢pigarisasi😢😢😢dic.pigarisasi😢😢😢
Diciayi. Turimucukiya. Sasa. Anatuwonyechakaziyake. Mugu. Amubariki🤲🙌🧎➡️🧘🏽♀️🧘🏽♀️🧎🧎
Your hidden camera 🎥 camera is clean imagine.🫡🫡🫡🫡👏👏👏👏👏👏👏👏
😢😢😢😢😢