Faida Ya Sala Ya Istikhara Na Dua/Ushuhuda Ni Kisa Hiki Cha Mtu Aliyerogwa/Sheikh Hashimu Rusaganya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 4

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Месяц назад

    Shukran

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 4 месяца назад

    Ma shaa Allaah

  • @othumanomary4032
    @othumanomary4032 4 месяца назад +1

    Tunaomba na sisi utuelekeze Kwa hao wanaosoma ruqya

  • @naswiharashid7166
    @naswiharashid7166 3 месяца назад

    Kweli sheikh mm nilikuwa mgonjwa sn mpaka nikafika india na siwezi kueleza hayo maradhi itakuwa topic kubwa nilipofika india nikafanyiwa ma test mengi nikawa sina kitu nikarudi zangu kwetu kenya baada ya miezi yakarufi tena hayo maradhi hapo nikakumbuka kuswali swala ya Istikhara ili niende kwa doc gani bora atakae weza kunitibu baada ya siku 3 nikaota niko katikati nazunguliwa nilipoamka ah ile doto ikanitoya shaka nikaendeleya kuswali nikaomba kwa masheikh wangu wanilete mwalim wa ruqia kunisomeya sigapo ndio nikajulikaniwa nina sihri nikawa nasomewa mpaka ss niko kwa matibabu hayo Shukran Allah