BIGWA EPISODE_20 (STARRING CHENDU, NYAU, MKUZA AND MAINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 57

  • @mavoejr3072
    @mavoejr3072 8 дней назад +8

    Tulio subiria bigwa kwa hamu tugongen like kwa director chendu ❤

  • @MunaQatar-k3h
    @MunaQatar-k3h 8 дней назад +5

    Kipini😂😂😂Leo ambulance

  • @MKOLOSAIFILM-w2w
    @MKOLOSAIFILM-w2w 8 дней назад +5

    Kaz ya moto sana tumetoka ep1 had sasa tupo ep20 BIGWA SAGALA BIGWA NAHAMALA MWENUYU WATUCHANGANYA

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 8 дней назад +3

    Kazi nzuri sanaaaa chendu Kaa chendu tunakukubali sanaa ❤❤🎉

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 8 дней назад +6

    Nimewahi nipeni like nione raha mie😂

  • @kelvinmvunjapoli2891
    @kelvinmvunjapoli2891 7 дней назад +3

    Jamani muwe mnatoa hata epsode mbili mbili😅😅😅mnakatisha uondo
    Kazi nzuri sana bwana Chendu

  • @doriztanza8998
    @doriztanza8998 8 дней назад +3

    Muvi nzur sana nimetamani ishiishe

  • @LaitiMipiko
    @LaitiMipiko 8 дней назад +3

    Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mkuza kawa mpole leo adi raha❤❤🎉🎉

  • @GetrudaMashaka
    @GetrudaMashaka 8 дней назад +3

    KAZI nzuri sana nimependa ❤❤❤❤

  • @BrysonJohn-
    @BrysonJohn- 8 дней назад +3

    Kaka chendu nakukubili sana hongela sana 🎉🎉

  • @FatmaTaharamohd
    @FatmaTaharamohd 8 дней назад +3

    Da movie mzur Sana nataman UWE unarusha mbilimbili

  • @DzionDide
    @DzionDide 8 дней назад +4

    Oya oya weeee kama tumetoroka milembe

  • @hasanihoseni-x6i
    @hasanihoseni-x6i 8 дней назад +3

    Ndo Watembee ivy uncle chendu jamani😂😂

  • @RashidemmanuelRashid
    @RashidemmanuelRashid 8 дней назад +2

    Kanz nzuri sana❤❤❤❤❤❤❤

  • @zainabyassin75
    @zainabyassin75 8 дней назад +6

    Iko poa inasisimua balaa

  • @khadijahmwero6271
    @khadijahmwero6271 8 дней назад +3

    Wapili 🎉🥳

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 8 дней назад +3

    SASA anamfukuza mwezie yy mbona mjamzitoo 😊

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 8 дней назад +1

    Mbona ni fupi chendu bwana.ninzuri sana naipenda sana ❤❤❤❤❤❤

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 8 дней назад +2

    Sijazoea mkuza kua serious kiasi hicho kwa mwanamke,😂😂😂

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 8 дней назад +2

    Kheee mkuzaa huyuu😂😂😂😂😂😂😂kawa muii

  • @gyressekalumuna8973
    @gyressekalumuna8973 8 дней назад +2

    Good job bwa Chendu ❤

  • @FaridaMousa-xy2rk
    @FaridaMousa-xy2rk 8 дней назад +3

    Wa nne❤

  • @JacquelineErick
    @JacquelineErick 6 дней назад +1

    Napenda angalia uck afu nikilala tu naota

  • @MauwaArfahn
    @MauwaArfahn 8 дней назад +1

    Mwafanya kazi nzuri sana naipenda hii bigwa ❤

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 8 дней назад +1

    😂😂😂😂😂chendu umezidi yaani sai ni mwendo wa kuruka na mwewe....igweeee

  • @VeronicaDiwani
    @VeronicaDiwani 8 дней назад +2

    Bonge la muv yani na hii nyimbo ndio kabisaaa

  • @WakudekaMuwao-n1s
    @WakudekaMuwao-n1s 7 дней назад +1

    Hii ya moto kinyama du!❤❤

  • @LaitiMipiko
    @LaitiMipiko 8 дней назад +3

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @KhamisiOmari-yo7jx
    @KhamisiOmari-yo7jx 8 дней назад +2

    Do uchawi wa chendu ni hatari Hadi watu wote wa mji wanatembea wakiinama kama vile radi hii kali😅

  • @BonifasPaskal
    @BonifasPaskal 8 дней назад +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @MwanahamisiSalumu-uq2pj
    @MwanahamisiSalumu-uq2pj 8 дней назад +1

    😂😂mpaka tambiko likiisha watu wamevunjika migongo

  • @AbdulKinjimbi-n1o
    @AbdulKinjimbi-n1o 7 дней назад +1

    Jaman movie nzuri sana

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 8 дней назад +1

    Kaz nzr❤❤❤

  • @MariamuTogolwa-k7i
    @MariamuTogolwa-k7i 8 дней назад +1

    ii move naipenda kwakweli

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 8 дней назад +1

    kibiriti,usiwahi rudi kwa mkuza😢wewe bado ni mrembo utaolewa.huyo simtu tafadhali sana.

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 8 дней назад +1

    Mapenzi kwel ayana komandoo leo mkuza anavyobembeleza kama co yy vile 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MariamGuyo-c2w
    @MariamGuyo-c2w 8 дней назад +3

    ℕ𝕚𝕞𝕖𝕚𝕡𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕙𝕚𝕚 𝕟𝕪𝕚𝕞𝕓𝕠 𝕤𝕒𝕟 𝕒𝕜𝕚

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 8 дней назад +1

    Movie ikiwa mtakua mmevunjika viuno 😂😂sio kw kuinama inama huko 🎉

  • @UmmiRamadhan
    @UmmiRamadhan 8 дней назад +1

    Good job chendu OG❤❤❤❤

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 8 дней назад +1

    Chendu anawafanya wana kijiji anavyotaka 😂😂😂😂😂 mpaka mkuza nae anatembea kuinama

  • @SalhaAlly-p4k
    @SalhaAlly-p4k 8 дней назад +1

    Huyu dada kajichetua sana apunguze kidogo anaelekea kuboa watu

  • @BabaziMnyamwezi
    @BabaziMnyamwezi 8 дней назад +3

    vipande vifupi sana

  • @MAMALauma
    @MAMALauma 8 дней назад +3

    Watatu

  • @abdallarama4320
    @abdallarama4320 8 дней назад +1

    Kipipi eti wewe yuda😂😂

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 8 дней назад +2

    🔥🔥

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 8 дней назад +2

    Shukran brother

  • @LucasDamásioMateus
    @LucasDamásioMateus 2 дня назад +1

    Jaman kwani nyau bass?

  • @ZalfinaMssa
    @ZalfinaMssa 8 дней назад +1

    Kumbe hata mukuza anaongeaga kisitarabu jmn

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 8 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 8 дней назад +2

    😂😂

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 8 дней назад +1

    ❤❤❤❤😅😅😅😅

  • @dtv6734
    @dtv6734 8 дней назад +1

    Kila Episode naona Chendu huwa anafunga Episode !!!!

  • @FilimonJohn
    @FilimonJohn 8 дней назад +1

    Alooooooo

  • @VeronicaPatrick-r2n
    @VeronicaPatrick-r2n 8 дней назад +1

    💯❤️♥️🤩🏠💓🥰😍🤩😍🥰

  • @shaznillah3599
    @shaznillah3599 8 дней назад +3

    𝙲𝚑𝚎𝚗𝚍𝚞 𝚒𝚢𝚘 𝚗𝚐𝚘𝚖𝚊 𝚟𝚙 𝚗𝚖𝚎𝚒𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 8 дней назад +2

    🔥🔥

  • @obbyguy255
    @obbyguy255 8 дней назад +2

    🔥🔥🔥