IBADA MAALUM YA WANAWAKE: NYOTA YAKO ITANG'AA NA UTAPATA WASAIDIZI KUKUFIKISHA KWENYE MWISHO MWEMA
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema na maalum ya Wanawake kwa mwezi Mei 2023 inayokujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "NYOTA YAKO ITANG'AA NA UTAPATA WASAIDIZI WA KUKUFIKISHA KWENYE MWISHO MWEMA". Ibada hii ni maalum na inahusika na kukujulisha NINI CHA KUFANYA NA NINI HUWA ADUI WANAFANYA, WANAIBA NA KUPITISHA KWENYE NYOTA ILI USISAIDIWE NA PIA KUJUA NAMNA ILIYO SAHIHI YA KUFANYA NA KUFUATA MAELEKEZO YOTE AMBAYO ROHO MTAKATIFU ATATUPA ILI WANAOTAKIWA KUKUSAIDIA WAKUFUATE SIKU ZOTE.
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Hallelujah
Ameen Ameen
Najiungamanisha na madhabahu hii na nyota yangu ing'ae Mimi Martha John Mtesigwa popote ilipo ibiwa irudi kuanzia Sasa kwa jina la yesu
Mungu ninajiungamanisha na madhabau hii ya hearts of worship Emmanuel lauriano mwenda naomba mungu amtoe kwenye kesi na apate kibali Cha kuwa huru
Ninajiungamanisha na madhabau hii ya hearts of worship ninaomba mungu unikumbuke na unitoe kwenye kidungo hich
Amen🙏
Asanteee Yesu 🙌🙌
Mtajiiii😂😂😂😂🙌🏻
Gloria and her company.Esther,Shakira na Josephina na mawakala wote
Amen
Amen today is day
Jamn mama hakika umetumwa kung'arisha nyota yaangu maama kuna mda huwa nawaza niko kwenye ndoto kumbe ndo maisha nayaishi lkn naona sio maisha yangu yaan hizo point zote ulizoelezea yani ni maisha yangu nimejisikia kulia jaman hebu na mimi leo nifunguliwe kutoka kwenye hiki kifungo
Nyota yangu na ing'ae leo
Ameeem
Usiku wa leo kila adui yangu wa siri anaaibika
😂😂😂😂
Amen
Amen