Hatari nyingine hii hapa !!! Askofu Gwajima aelezea madhara ya kwenda kwa waganga wa kienyeji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 40

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 3 года назад +3

    *mm nimuislam pure Tena nikiongozi ktk uislam huwaga cnaga kawaida yakuwafuatilia WACHUNGAJI lakini wee GWAJIMA wallah umenisababisha nikufuatilie Sana Tena Sana unajuwa speaaaaach hongera Sana*

  • @lizlovedbyGod
    @lizlovedbyGod 3 года назад +3

    Gwajima niombee...
    Mungu wa Gwajima nirehemu.

  • @loycep7785
    @loycep7785 3 года назад

    Ubarikiwe Mtumishi yaani nimecheka sana lngawa unasema kweli tupu Mungu atusaidie inahuzunisha ssna
    Mungu atufunguo macho ya Rohoni😀😀😀😀😀🙏🙏

  • @eliakulondwarachidfondatio3634
    @eliakulondwarachidfondatio3634 3 года назад +5

    Jambo mchungaji mimi naku fuatiliya kutoka Congo drc Bukavu nataka Siku moja nikutane nawewe

  • @johnshija2271
    @johnshija2271 3 года назад +4

    Barikiwa mtu wa Mungu

  • @sharondivine8994
    @sharondivine8994 3 года назад

    I really appreciate God for you Bishop, the teaching is owesome!

  • @pandelababaofficial5056
    @pandelababaofficial5056 3 года назад

    Ahahahaaaaaaa !!!!!!!
    Askofu wangu beans asifiweeee dah!! Nakupenda sana babangu

  • @sesiliamwakalinga2239
    @sesiliamwakalinga2239 3 года назад

    Kwa kweli unanifundisha haswa nafunguka mno. Asante baba

  • @sebastianmwita9149
    @sebastianmwita9149 3 года назад +1

    Baba preach, I follow you for long time

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 года назад

    Very true daddy Gwajima

  • @gisubizoteddy3388
    @gisubizoteddy3388 2 года назад

    Baba yangu nakupenda sana

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 года назад

    Wao wavaa sura ya shetani. Namimi nimevaa sura ya Mungu zinapigwa humu humu. Kwa Jina la Yesu

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 3 года назад

    Gwajima umeongea kuhusu mtoto wa kupatikana kupitia mganga kuwa sio vitoto halisi ni vishetani, ujumbe wako huu utasababisha wazazi wawatupe au kuwaua watoto wao, hii statement yako sio nzuri
    Mwingine anaweza kwenda kwa mganga kisha akapata mimba natural halafu atafikiri katoto haka ni ka mganga sasa anaweza kumdhuru mtoto, mtoto akibihave vibaya basi mzazi ataona ni kashetani.

  • @marrymussa4244
    @marrymussa4244 3 года назад

    Mery mussa .kwa maarifa hayo baba niende WAP babaangu. Nakupenda sana. Sina baba mwingine ila wewe.

  • @solangesoso3100
    @solangesoso3100 3 года назад

    Umenifurahisho mno🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🥰🙏

  • @mosespeter9185
    @mosespeter9185 3 года назад

    Ubarikiwe Baba

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 3 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥👍👍

  • @stellaelias8174
    @stellaelias8174 2 года назад

    Kweli Baba mashetani mifumo ya wanadamu yapo tunaishi nao mitaani

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 Год назад

    Pipi Za USIKU😂😂😂

  • @thehopetv6299
    @thehopetv6299 3 года назад

    😂😂😂 mama waliiiiii, pipiiiii, kakuzimu hakoooo

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 года назад +2

    Mtoto anamtoa Mungu binaadamu awezi kuumba mtu akamuweka tumboni ila Mungu pekee ndio awezae hilo

    • @josephatjoseph1755
      @josephatjoseph1755 3 года назад +1

      una mtoto wa dawa nn heheh

    • @emmanueljohn7
      @emmanueljohn7 3 года назад +2

      Sawa ila Nafsi yake inategemea imetoka wapi kama Unapenda Waganga was Kienyeji Huwezi zaa Malaika Utazaa Mapepo

    • @mtewatina9471
      @mtewatina9471 3 года назад +1

      Kwani wewe hujui Kama shetani aliishi mbinguni Tena nimsaidizi Wa Mungu? Hivo alitupwa duniani na ujuzi wote. Hivo usidanganyike achana na Hao waganga

    • @francismangula2715
      @francismangula2715 3 года назад

      Kama una katoto ulikatoa huko n katoto kadawa hako usijifariji

    • @gibsonntihana6175
      @gibsonntihana6175 3 года назад

      Mungu pekee ndie mchambuzi wa yote mana hakuna mtu awezae kujua kujua kuwa uyu moja kwa moja ni kwa jehenamu akifa ila imeandikwa mbinguni watu wataingia kwa neema!!!hivyo msihukumiane jmn before hamjafika mbinguni

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 года назад +2

    Chuma katika wakati wake

  • @beatricefilbert1171
    @beatricefilbert1171 2 года назад

    Yesu tuokoe

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 3 года назад

    PREACH 🇺🇸😂🤣🤣

  • @jordanfromyt2861
    @jordanfromyt2861 3 года назад

    Utazadhan masiara but in real life yana tokea hivo hivo

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 3 года назад

    Tangu uwe mbunge sasa Bishop tai kubwa

  • @sideonedeone8893
    @sideonedeone8893 3 года назад

    Hiyo hatari

  • @raimundozacariasjonas7426
    @raimundozacariasjonas7426 3 года назад

    Hee aya maono hatari..Apigwe mtoto wa dawa

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 3 года назад

    🤣😂😂😂😂🤣🤣🙏

  • @monicanelisha1299
    @monicanelisha1299 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣

  • @bonifasiemanueli2708
    @bonifasiemanueli2708 3 года назад

    Ks