Things That Make God Angry, But here's the solution.. - Bishop Edward Mwai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 20

  • @karwithaessie2879
    @karwithaessie2879 10 дней назад +1

    True, thank you for this revelation

  • @MunduwaNgai
    @MunduwaNgai 10 дней назад

    Naomba msamaha kwa Mungu. I am the greatest sinner ever on earth

  • @ReginaMwango
    @ReginaMwango 10 дней назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 hallelujah

  • @stephenmuthoga486
    @stephenmuthoga486 10 дней назад

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

  • @roseandeyo4434
    @roseandeyo4434 10 дней назад

    Naomba msamaha Kwa mungu.Apostle mwai uliniombea mguu na mgongo.bado uniombe maumivu iende kabisaa 🙏

  • @AgustinoMdeke
    @AgustinoMdeke 10 дней назад

    Mungu naomba unisamehe leo natubu baba nisamehe🙌

  • @ElosyMukami-u4e
    @ElosyMukami-u4e 10 дней назад

    Amen 🙏

  • @DancanMwendwa
    @DancanMwendwa 10 дней назад

    Amen amen

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 6 дней назад

    AMINA. Kutotimizia nadhiri Mungu Amekuhesabu ukiwa mwenye dhambi. Alafu ukimbie kumwambia Mtumishi wa Mungu haukuwa unataka kuweka nadhiri. Wakati mwingine unatetesha Mungu unamuuliza kwa nini Alikuahidi na Hajatenda, shida sio Mungu ni wewe uliweka nadhiri na haukutimiza.

  • @kirimibretstephen3199
    @kirimibretstephen3199 10 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @pastorcosmaskoome9395
    @pastorcosmaskoome9395 10 дней назад +1

    Hallelujah

  • @miriamndungu3126
    @miriamndungu3126 9 дней назад

    Amen 🙏😢Mimi kuna siku nili jichoma but sikuwa najua nime potea njia 😭 afadhali God ange niambia, Daddy yangu mimi siwezi kubali kuji choma tena 🙆 ilikuwa uchungu sanaa 😢

  • @leahwambugu5902
    @leahwambugu5902 10 дней назад

    God have mercy, nisamehe and from now hence forth nitakuwa nikitimiza

  • @sherrienduati2038
    @sherrienduati2038 6 дней назад

    AMINA. Kutotimizia nadhiri Mungu Amekuhesabu ukiwa mwenye dhambi. Alafu ukimbie kumwambia Mtumishi wa Mungu haukuwa unataka kuweka nadhiri. Wakati mwingine unatetesha Mungu unamuuliza kwa nini Alikuahidi na Hajatenda, shida sio Mungu ni wewe uliweka nadhiri na haukutimiza alafu unakimbia kwa Pasta kumuuliza maswali. Kumbe ni Mungu Amekasirika. Timiza nadhiri yako na kile umeahidi Mungu. Sio kwamba Mungu Hakukuahidi, sio kwamba Mungu Hakukuambia ukaanze hiyo kazi, unaweza anza na Mungu Aiharibu kwa sababu ya kuweka nadhiri na kukosa kutimiza.

  • @carlomugo9324
    @carlomugo9324 10 дней назад

    God forgive me

  • @CelebVibe01
    @CelebVibe01 6 дней назад

    AMINA. Kwa nini kufanya Mungu Akukasirikie na kuharibu kazi yako? Kwa hivyo sometimes sio shetani anaharibu kazi yako. Mungu Akikusarikia Anaharibu kazi yako. Ukiwekea Mungu nadhiri usikawie kuitimiza.

  • @sherrienduati2038
    @sherrienduati2038 6 дней назад

    AMINA. Kwa nini kufanya Mungu Akukasirikie na kuharibu kazi yako? Kwa hivyo sometimes sio shetani anaharibu kazi yako. Mungu Akikusarikia Anaharibu kazi yako. Ukiwekea Mungu nadhiri usikawie kuitimiza. Mungu hapendi mpumbavu. Mtu ambaye ameahidi Mungu na hatimizi Mungu Anamuita mpumbavu. Tekeleza ulichoahidi. Ni afadhali kutoweka nadhiri. Afadhali usiongee kitu yoyote kuliko kuweka nadhiri na ukose kutimiza. Angalia mdomo wako usikuingize kwenye dhambi.Kwa hivyo kutotimiza nadhiri na yale umeahidi Mungu ni kufanya dhambi.

  • @lilian4216
    @lilian4216 10 дней назад

    Bishop Mwai Tafadhali twambie ..what is the solution please?

  • @freddieg2847
    @freddieg2847 10 дней назад +1

    Amen 🙏