Movie tamu mno. Video iko very clear bt sauti kw jumla iko chini mkuu. Tafadhali ongeza sauti kidogo sababu mara nyingi inanibidi nitumie bluetooth ili niwaskilize sauti yenu vizuri❤❤.
Sikia rafiki yangu tambua Kennedy bado ana bembeleza Sandra,asingeweza kupata nguvu wakati Sandra hataki tena kushirikiana na yeye,ilimbidi apotezee Ili mradi kwanza arudishe mahusiano yao.❤❤❤
Kazi nzuri Hila sauti jamini
Nawapenda wahijizaji wote kutoka kwenyehimuvi
Tuko pamoja mimi namba moja leo like zangu nipeni❤❤❤❤🎉
Hii move kali sana ninaipenda mno❤❤❤❤
Wapili 2 kazi nzuri🤩🤩
Namuweke sauti jmn mnazungumza pole pole sana
Hii movie inaenda pazuri sasa,inaenda kueleweka, episode 2 please 🙏🙏❤❤❤
Kazi nzuri sana episode ingine please ❤❤❤
Mimi napenda tu hako kawimbo kanakoanza ❤
Tamu Sana ❤❤❤ part 3 mbio mbio 🎉🎉
Jamn ungeni group la movie hiiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂
❤🎉kazi nzuri next
Nawapenda ndunguzangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Vp Kennedy amuoe jini like kama ndio kama hapan comment
Kennedy na sandara ndpo n ka mnacheza utto, yan nyie mnaachana mara ngapi mbn sielewi😢
🎉🎉🎉🎉🎉
Sandra Hana amsha amsha ya movie amepoa sana
Kennedy kazi unayo jafari anakugombeza uachane na dada yake,uku anita anakumendea mendea 😅😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwaiyo hapa sandra ulipopeleka chakula likua n vp mbn mnatuchanganya
Mimi nimeelewa nikumbukumbu ambayo haikonekana huku nyuma,hiyo inaeleweka.
Daah!
❤❤❤❤❤❤❤❤
Acheni umbea andikeni comments zenu kwani mpka msome hii yangu😂
nampenda sana Marian n rafiki wa kweli
❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nzuri kabisa😅😅😅
Movie tamu mno. Video iko very clear bt sauti kw jumla iko chini mkuu. Tafadhali ongeza sauti kidogo sababu mara nyingi inanibidi nitumie bluetooth ili niwaskilize sauti yenu vizuri❤❤.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
Mbona hatuelewi we Kened na Sandra nilikua mwala pamoja tena chuki mmmm mfumo umekaaje
Yan apo ndo panachokesha wallah
Yaani Ata sielewi lakini binadamu mna roho mbaya unaangalia tu video hata kulike hamlike jamani 😢😢
😢
😂😂😂😂
Hapa kennedy ulikuja ukamfuma sandra na mume mwngne japo sis tulioneshwa n jini ila ww hukujua, cha ajabu hukumuuliza chochote kamwe😛
Sikia rafiki yangu tambua Kennedy bado ana bembeleza Sandra,asingeweza kupata nguvu wakati Sandra hataki tena kushirikiana na yeye,ilimbidi apotezee Ili mradi kwanza arudishe mahusiano yao.❤❤❤
Sauti ndo tatizo hpa
Patamu hapo kati ya dada na kaka
Kula chuma hicho wewe,, hata Biblia inaruhusu
Hili lishemu lijinga sana kula mama iyo wewe 😁😁
😂 umenichekesha😂😂 hebu ngoja tuone Hadi mwisho 😂
Lijinga kweli
🎉🎉🎉🎉🎉