Man Utd Kumsajili Davies Januari? | Man Utd Transfer News
HTML-код
- Опубликовано: 10 дек 2024
- Ruben Amorim anataka mchezaji wa kushoto anayweza kukaa kwenye mfumo wake vizuri. Hali ikoje kwa sasa??
Follow us on instagram: united_tza
Twitter/X : x.com/united_tza
Tiktok: tiktok.com/united_tza
#manutd #manchesterunited #football #united
❤
nd tunapo feli kungangania wachezaji na washachoka
Luke shaw atarudi fitty baya sana . Atafanya mambo mtashangaa endapo hatapata injuries. But Alfonso akiletwe itakuwa poa.compe roho safii
kerkez ni bora ukizngatia umri piah anajituma mno.. kwangu mm naona kerkez ni better option na ni cheap
Huyo luke shaw mmmmh hatoweza kua tena fit na ingewezekana ni wa kumsukuma tuu
❤