Kardinali Pengo Akosa la Kusema, Atoa Shukrani za Dhati kwa Waamini "nawapenda Jana, Leo na Kesho"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 13

  • @barnabaleonard5156
    @barnabaleonard5156 2 года назад +1

    Tunamshkulu mungu kwa maisha yako baba kardinali pengo umekuwa mnyenyekevu na mtii mbele za mungu wako balikiwa sana baba

  • @ProphetM-c9o
    @ProphetM-c9o 3 года назад +1

    Ahsante, Baba Askofu, Kardinal Polycarp Pengo.
    Wewe ni mtu uliyejaaliwa unyenyekevu wa kweli na wa kutoka moyoni mwako.

  • @Bongolflex
    @Bongolflex Год назад

    Hii video sitoacha kuingalia,sad is when legends gets old

  • @innocentludovick4724
    @innocentludovick4724 3 года назад +2

    Mungu ni hekima isiyo na mwisho ujana wenye hekima uzee wa busara

  • @gustavkunkuta6733
    @gustavkunkuta6733 3 года назад +1

    Baba Muadhama Cardinal Pengo, Tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uwepo wako na pia kwa uchungaji wako uliotukuka. Unyenyekevu, upole na kiasi ni tunu ambazo tunajifunza toka kwako. Mungu akubariki.

  • @mickyngingo8603
    @mickyngingo8603 3 года назад +1

    Mungu akubaliki

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 2 года назад

    Hotuba nzuri imeeleweka na kwa kweli Watumainio bwana na kama Mlima sayuni

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 года назад +1

    Asante sana Baba na sisi tunakupenda zaidi daima♥️♥️♥️🙏🙏🙏

  • @annahpsimon1156
    @annahpsimon1156 3 года назад +1

    Mungu azid kukuweka tunakupenda Baba 🙏🏿

    • @lgffumbuka183
      @lgffumbuka183 3 года назад

      Na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu.....

  • @jenipherkyando4822
    @jenipherkyando4822 2 года назад

    Uzidi kung,ara baba kwa hekima zako tunakupenda sana wana iringa

  • @laurencialeonard3932
    @laurencialeonard3932 3 года назад

    Aminaaa🙏🙏🙏

  • @Bongolflex
    @Bongolflex Год назад

    Hotuba iliyo tukuka