Uko vizuri sana Steve Mweusi. Ushauri kwa vijana kama hao, inatakiwa wajiandae kiakili sio kimapenzi, yaani wasipende kua wepesi tu, ila wajiandae na uzito pia.
Its funny until I rem ,I went through the same😭😭😭😭. I made a decision to keep it, n today I'm happy,,,my baby is very bright and receives presents all through. He introduces me as ,"my beautiful mum"❤❤❤❤
Uko vizuri sana Steve Mweusi. Ushauri kwa vijana kama hao, inatakiwa wajiandae kiakili sio kimapenzi, yaani wasipende kua wepesi tu, ila wajiandae na uzito pia.
kila igizo yenu hajra akiwemo huwa inavutiaga sana,bigup sana hajra
Heeeeh🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri sn blessed
Nipo mezan nasubiri part 2, n nzuri sana
Living legendary 🔥🔥 steven mweusi
Wanaharibu sana wasichana je angekuwa mtoto wake
wow nice Steve mweusi big up bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow what a movie,nimependa sana
Kaka stive ahujawayi kuniangusha unanitesa nambavuza ni princekutoka burundi bujumbura
Nzuriii keep it up
Nashukuru mungu ninalea wanangu mimi mwenyewe sitegemei bwana mwanaume wala ndugu yake😂😂
Tafadhali jamani tunaomba muendelezo wa hii kitu maana kama inaleta historia nzuri mbele
Maana hapo Stiven kesha yabananga
Nzur sana
Mh
Tumeipenda toa part 2
Hii kar stiv black we noma
Mmmmmmm umetisha s
@@jacksondeo6280 ametisha atulete part 2 amaje wase
Hata wake wawe na vituo sio kila anae muona ndie
Naku pongeza Steve uko vizuri sana umenipa fundisho la mahisha
😂😂😂😂😂 !!! Steve bwanaa
Chips mayai ndio usababisha mimba zembe,tuweni na uruma basi tunapokua na makubaliano.
😂😂😂😂steevu siku moja uta tu uwa na cheko,niku fuatiliya toka Congo DRC,Goma
Sema kimeumana
Huyo jamaa alipitelea wapi
Pamoja Sanaa Steve
Hilo cinema limeweza kweli.. much love from Kenya. Start acting bongo movies now
Wanaume wengi ni vibaka baba
Eti ww in nani UNISEF 🤣🤣🤣🤣daaaah huyo mamdogo amenimaliza mbavu eti 💙big love Steve and the group from Kenya
Tafadhali Hii movie muendeleze iko na somo
HUYO MWANAMUME MWENYEWE ANAKUWA MTOTO WA NJE SIO BURE.
🤣🤣🤣🤣Mamdgo nae pambe 😂😂😂😂 Steve mweusi Nakubali Sana 🙌🏼🔥🙌🏼
Steve cha kuharibu mambo🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Majibu ni baada ya kutuma video nyingine
hapo sasa ndo mumeanza kucheza filamu .siyo zile story mulizokuwa munafanya kila siku eti munacheza filamu
Jamaaan Steve kwani lazima utokeee uharibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
Part 2,nawakubali sana
Kukimbia tatizo siyo njia ya kulimaliza💪
Steve napenda tu kufuatilia filamu zako hongera natoka kenya
Wanaume tukuwe nauruma Kweli
Stive nakubari mwanangu kazi nzuri
Huyu upara hayo macho yanatisha kwel😂😂😂😂
Its funny until I rem ,I went through the same😭😭😭😭. I made a decision to keep it, n today I'm happy,,,my baby is very bright and receives presents all through. He introduces me as ,"my beautiful mum"❤❤❤❤
Nimekuwa wa nane
Gonga like hapo kwanza❤❤😮😂
Steve nliskia kulia ukipoichana like koti, niko hapa Nairobi, nakuoenda sana kaka😂
Steve unaongea sna😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzur🤗🤗🤗
Steve king of comedy
Stive rafikiyangu uko vizuri kwaku igiza🙏🙏
Huyu kipara alikuwa wapi jamani.....ametisha sana 😂😂😂
Dah' Wa nyumbani Umetisha
Ni shida
Huyu stivu chizi kweli hhhhhhhhhh
Ma binti njo na shauriya wakuwe na uliza mbele , piya wa ume wa kamate na kuitika responsability zao . mi ni jean claude kutoka drc kalemie
😀😀😀😀😀😀😀
Steve eeeeeeeeeeeeeeeeee
Tafadhali sisi kama mashabiki wenu tunaomba muwe mkiigiza movie ndefu kuanzia lisa
🤣🤣🤣🤣😂🤣
😭😭😭
Ajira is so beautiful ♥️♥️♥️
Akuna ushauliiiiii apo Show show
Jaman imeniuma mpaka machozi yamenitoka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗 steve kafichua siri yote
😂😅😂😢😢😢😢kipara chawasha kinyolewe tena😢
Good job Steve
Steve kayatibua tena
Ikitokea ukampamimba mwanamke nivema ukamuoa mimi mwenyewe natamani nipate mwanamke wa kunizalia duh iyujamaa nae kachemka aisee
Ila stivu umekua mmbea Sana et
tunaomba part 2 from 🇧🇮
Alichokifanya mma mdogo ni sawa kabisaa
Stivu bwana 😂😂😂😂😂
Hararii
Nafurai kwa mafundisho yako
Tunaomba Party Two
😂😂😂😂😂
TOP🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wachafu
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Tunawashauri dada akija mtie mimba halafu umfukuze ndio watoto wawe kina diamond na Eminem
Filamu ya Kiswahili kutoka Inchini Burundi akishirikiana na wa Tanzania
ruclips.net/video/8S6iPmpTezc/видео.html
😂😂🥲😂😂🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂