He went to US mostly due to the future of his children education. Education is free upto grade 12. He has to invest in his retirement. But I believe he will finally retire in Kenya especially after children go to college.
Our family home schools. It's free in both countries. However, USA citizenship (dual citizenship) and English are goals for the family to make living a little on both sides simple option. @@kamaujo2000
Baba Jimmy your just next to my home.apo chini kwa karimi.nlisomea apo penye unaishi ikiwa secondary school(Harvest secondary school).from 2011 to 2012.hiyo nyumba unaishi used to be our boys dormitory. Wish ningekuwa uko ushago ningekuja nikusalimie.now am in Nairobi
@@Carolyneadhiambo-e6lhuko ni kwetu wacha kunipanga😂😂😂😂iyo mawe Haina mtu we are all neighbors adi sisi shamba ya kwetu Iko adi Kwa iyo mawe ingekua kulipisha pia sisi tungelipisha ju iyo shamba ilikua ya wakoloni na my grandpa ndio alishika iyo shamba so tulia
The most amazing video have watch in the internet today, Congratulations and my Supper HERO goes down to the lady who climbed the rock to top.Cheers🙏🙏🦢👍🫂
You look happier in Kenya 😊. And even happier with your lovely family. Murudi huku. Your videos made me go back to church today.
He went to US mostly due to the future of his children education. Education is free upto grade 12. He has to invest in his retirement. But I believe he will finally retire in Kenya especially after children go to college.
@kamaujo2000 I know, just expressing love for his family
Our family home schools. It's free in both countries. However, USA citizenship (dual citizenship) and English are goals for the family to make living a little on both sides simple option. @@kamaujo2000
Absolutely true, he enjoys it more while in kenya
America kuko stress sana hakuna happy life uku I’m telling you.
I had chills when you guys were climbing the rock.
Thank you for being mindful to kina Silo and everyone.
So happy to see people sharing a great time together. That was a nice view.
Thank you Baba Jimmy for this beautiful video!👏🙌🎉Those big panyas are hyraxes.
Poa sana, This real togetherness in Christ.Salamu kutoka Ugerumani. Mubarikiwe sana.
Beautiful senary after church hiking our country is blessed.
Baba jimmy anajua kuweka watu kwa kanisa. Kwa kuwafanya wa jienjoy. Kazi zuri ya Mungu 🎉🎉
You guys had fun, God bless baba Jimmy.
So much fun🎉baba Jimmy and his friendsare such a vibe❤😊
Mawe tatu my village I love my home so much ❤️♥️ ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
You radiate the love of christ so much
Pangeni siku Baba Jimmy mkuje kutembea coastal region, Lamu. I'll be happy to meet you guys.
The video looks good from this side.kisumu BLESSINGS ❤🎉
This reminds me of chimney rock 🪨 climbing in North Carolina, you should visit there when you come back.
Baba Jimmy your just next to my home.apo chini kwa karimi.nlisomea apo penye unaishi ikiwa secondary school(Harvest secondary school).from 2011 to 2012.hiyo nyumba unaishi used to be our boys dormitory. Wish ningekuwa uko ushago ningekuja nikusalimie.now am in Nairobi
Nilikua nashangaa iyo place looks familiar sana ju najua Kwa Karimi but shule hukua ndani kiasi right?? Mi natoka huko Kwa mawe penye wako sasa
@WincylerMaraka mimi niwa mruli jirani ya karimi
@@sultanmswahilitv4864oooh najua huko ju pia huyo ng'ang'a Ako na boma ingine huku kwetu mawetatu
Good job baba Jimmy, ubarikiwe sana❤🎉
17:03 She reached the top and I am so inspired!
Karibu vihiga 😊 pia upande mlima .. maragoli hills
Baba big up with your team...
Goodtimes. You and your team should also try mt Longonot😊
❤❤❤❤
Wanaume mnapenda kijitafutia risk....hio mawe😅😅😅😅😅😅weee tawe
baba jimmy tunafurahi ukiwa happy
Yesu wa tongareni alipanda mlima?😂😂😂😂😂 Huyo msee huñimaliza
😂😂😂
I enjoyed watching the video, but me,I can't climb hata kwa dawa
Tulikua tuki renya kuni uko❤❤❤❤❤
Amazing 😊
This is so amazing, so enjoyable
I will chose this channel every day 😂❤️
'Na si mkate yoyote tunataka supa loaf'😂🤝
😂😂😂😂😂😂eti nani ataplay roll ya shetani😂😂😂ak nyinyi
At arudi kenya nyinyi mmechizi😂😂
Hapo kwa kupanda mawe, mimi ungeniwacha hapo chini! Mko na roho
Baba Jimmy uko funny walai😂😂 nipitieni guys
hakika hii video imebamba sana... asante sana baba Jimmy
👏👏👏 to that lady
Baba jimmy hiyo simu yako ni type gani?? Hiyo zoom power nimependa
Pixel 9 pro xl
Wooooow ❤❤❤❤🎉🎉
Too risky 😮
But fun
Haki baba jimmy,you are just a vibe...ati nani anataka kuenda mbinguni direct😂😂❤❤
How do you go hiking in crocs
Na si mkate yoyote tu, tunataka superloaf 😂😂😂
Looks fun lakini these guys need hiking shoes. I have missed belonging to a church, community
Uyu ndio anaonyesha upendo kwa watu wote...
Salute to that lady
My home hood I miss home
Wahhh aki amevaa champali na nguo kuhike.😂😂
Aki amejaribu 😄😃
Una market hio mawe tatu watu wa hapo waanze kujenga hotels
Babà Jimmy unapenda sana watu. Mje m subscribe ni na 4 subscribers tu wajameni😅
Hao majamaa uko nao ni comedians😅😅😅
Eti hata lunch ilikua mchele tu 😂😂
Huyo mzae bado anaitisha 50 ya entrance ama aliacha ????
Kwani uku ni wapi
Bado🤣
Baba Jimmy ana walk kuwaliko, na nyinyi ni wamutaani
Wazungu huwa flexible.. niko germany na hata sipendi kuenda hike na colleagues.. wanatembea haraka ni kama hawa feel anything
Aii that was fast. You edited ama. Mawe Tatu ni karibu kwetu Soysambu
Missing this place
papa chimmy ni lechend kapisa🤣
Si hapo ni karibu lukhome ?
Ni wapi exact location please ?
Mawe Tatu iko Soy Sambu ama Sikulu?
Pongezi kwa huyo mama alinga,ngana na akapanda hadi kiileleni.cogragulations girl child.
Nice sasa ambia watu wajenge hotel huko tukuje kukula ugali na nyama choma
Come from ndalu nawaona sana
That lady really tried Mimi atakuattempt siwezi mnaweza niacha niwachungie pikipiki
Guys nipitieni 🙏🙏🙏
Nijikute😅😅😅
Don't you think you guys are taking a very big risk climbing those steep rocks? Isn't it risky baba Jimmy? 🤔😟
Nipeeni josphat😢sina wazazi mm
Huko ni kwetu baba jimmy.
Aki nimeona kwetu na vike niko far😢hapo tu penye mlipark on your right nyumba iko tu moja Kwa shamba 😂😂😂
Ngai! Baba Jimmy, thiis is very risky
Watu wa Baba Jimmy tufuatane
Utaniwachia io pikipiki ukienda kuona mama jimmy
Hao watu sikuizi wako na ujinga ati unalipia ...wish mngepitia gate yetu ju sisi hatupendi ujinga ya kulipisha
@@WincylerMaraka kwani unataka iwe free kwanza kama ingekuwa kikuyu angejenga hotels hapo biashara iendelee baba jimmy amewamakertia
@@Carolyneadhiambo-e6lhuko ni kwetu wacha kunipanga😂😂😂😂iyo mawe Haina mtu we are all neighbors adi sisi shamba ya kwetu Iko adi Kwa iyo mawe ingekua kulipisha pia sisi tungelipisha ju iyo shamba ilikua ya wakoloni na my grandpa ndio alishika iyo shamba so tulia
@@WincylerMaraka sasa Mungu aliwaletea investment na hamjajua ungekuwa creative ungelilia kuwa employed sai baba jimmy ame wa marketia
@@WincylerMaraka..
Be carefully please
Hakuna ka barabara iko na Rami huku.
superloaf lazima itajwe tu ata kama....
Wee atleast nimeona Mawe tatu nimeishi nikiskia wamama majirani wanaendanga uko kuombewq sijui kung'olewa mifupa na misumari kwa mwili🤣🤣🤣🤣
Wue hapa ukipanda na mtu Ako na beef, wewe kwisha😂😂😂
first
Swali ni, hii nyangau itapiga kura, na kama inapiga ituambie inapiga wapi. Umefika muda wakutambua madoadoa
Masomo haija kusaidia wewe😮
@GideonBett-o8u ntakubinja masikio ndio uelewe kinachosemwa. Burkenge ww
@@Pheonix-o9n fanya hivo basi😂😂....alafu uendee fees yako
@@GideonBett-o8u 😂😂😂 ghasia
Sii ungepepako chakula pwanaa., wee unachua ata lunj iligua mchele
The most amazing video have watch in the internet today, Congratulations and my Supper HERO goes down to the lady who climbed the rock to top.Cheers🙏🙏🦢👍🫂