PENZI LA MAMA MKWE episode { 12 }

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 139

  • @allymangunga6761
    @allymangunga6761 6 часов назад +9

    Mwajuma kayatimba 😂😂😂Leo simu yake imekua yetu Timu mganga , Nguo , mkoba Chupi tutavaa wenyew Timu mganga bado poa tuu😂😂😂 na hatuja toa TIMU MGANGA LIKE NYINGI😂😂😂

    • @RafaJay-xj9rr
      @RafaJay-xj9rr Час назад

      Make apo Kwanza ncheke
      😂😂😂😂😂😂😂

  • @mariyamhappy
    @mariyamhappy Час назад +1

    Mwajuma leo kapatikana😅😅😅 mbwa uyu

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v 3 часа назад +2

    vai punguza mkorogo unakuharibu

  • @TindoFrancis
    @TindoFrancis 7 часов назад +6

    Mambo ni moto leo😂😂😂😂😂mwajuma kajichanganya😅😅😅

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr Час назад +1

    Mwajuma uwo unywele wa njano tena bs inatosha😂😂😂😂

  • @Mzitomatelephone
    @Mzitomatelephone 7 часов назад +6

    Mwajuma kapelekewa moto na Juma jicho #123#

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 7 часов назад +4

    Huyo shemej ako kakosea kuingilia kati ningefrah pale ambapo ungemtafuna maana nako kazuri af kastaarabu yaan mama dada mtu na mdogo mtu ndo wangeelewa kat yao aolewe nan wajichague🤣🤣🤣🤣 nakubali gozi big up

  • @WardaPorojo-x9r
    @WardaPorojo-x9r 7 часов назад +6

    Mama mkwe atakuja aue mtu😂😂😂mana anakuja moto🔥🔥🔥

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 5 часов назад +2

    Mwajuma nduki mwendo wa ngiri mkia juu kikunyio chini....kumbe juma jicho kampakia kasumbua😅😅

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 5 часов назад +2

    Huyuu Mama analaana jitulizma hovyo
    Mwajuma kapelekeshwa mto pole sana Dogo Kipanya mwenyee sulakama muuza bangi

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 6 часов назад +2

    Hii movie nzuri natamani iwe inarushwa kila siku

  • @JamailAmour
    @JamailAmour 6 часов назад +6

    Mwajuma umalaya utakuuwa rafik yangu

  • @sundaychilembo5634
    @sundaychilembo5634 6 часов назад +2

    Nice episode, next brother man

  • @Clara-r2w
    @Clara-r2w 6 часов назад +5

    Mwajuma iyo minywele wala

  • @WardaPorojo-x9r
    @WardaPorojo-x9r 7 часов назад +3

    Mama mwambie ukwer vay kama umeshawai kudate nae jifanye kama wew ndo wakwanza iliajue kama yey ndo kapamia penzi lako😂😂

  • @allymangunga6761
    @allymangunga6761 6 часов назад +3

    Mamaeeee umerukaruka mwajuma michambo Leo umekutana na mganga Mzee wa kazi ndugu yangu huyo kuanzia Leo 😂😂 umezoea kuchukua vibunda vyetu sisi vibamia huyo ndio mganga NYOKA 😂😂😂😂

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 Час назад

    Gozi kazi nzr sana ufike mbali zaidi ❤❤❤❤

  • @MoiseKasongoarcel
    @MoiseKasongoarcel 7 часов назад +2

    Gozi piga titan titan 🤣🌹

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 6 часов назад +3

    Sema kipnya msanii na nusu kila caracter anaivalia uhusika🎉

  • @GetrudaMashaka
    @GetrudaMashaka 7 часов назад +2

    Nipo mwanza nawafatilia sana❤❤❤❤

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 18 часов назад +3

    Nakukubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @montezsharma
    @montezsharma 27 минут назад

    Twapenda kazi yako ❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @BrunoRameki
    @BrunoRameki 6 часов назад +2

    Hapo sawa kabsa goz wakat sahihi

  • @TryphosahKakuti
    @TryphosahKakuti 7 часов назад +4

    Leo nimekuwa wa Kwanza... congratulations Gozi kazi yako n nzuri🎉🎉🎉

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 5 часов назад +1

    Kazi nzuri bro gozi Big up sana

  • @NafueAthunan
    @NafueAthunan 5 часов назад +3

    Na ww Vai stuka mama Ako anatoka na gozi

  • @edisonkimaro4792
    @edisonkimaro4792 5 часов назад +3

    Kazi nzur

  • @AbdallahYasini-h4o
    @AbdallahYasini-h4o 7 часов назад +2

    Wakwanza mimi leo😂😂😂😂

  • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
    @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 2 часа назад

    Gozi nakupenda sana kaka from Kenya 🇰🇪 mombasa 🎉🎉

  • @MusyokiKimeu-u1k
    @MusyokiKimeu-u1k 7 часов назад +2

    Wakumi Leo waahhh 🔥🔥🔥🔥🔥❤❤

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o 4 часа назад +1

    Mwajuma mwajuma Leo umepatikana 😂😂😂😂 mama mkwe naye Yuko mbioni kutoka penzi lake😂😂😂😂😂 makubwa but so much love ❤❤❤❤❤❤❤

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 4 часа назад

    Gozi nipe mwajuma mkomavu hili ni enjoy maisha 😂😂😂 ndugu zangu na wapenda toka Congo 🇨🇩 Lubumbashi.

  • @Mrlugy-tz
    @Mrlugy-tz 6 часов назад +1

    Huyuu mama anatak bintie aachane na goziii ingalii ATA yeye kashindwaaa😅😅

  • @Dekogundanieli
    @Dekogundanieli 5 часов назад +1

    😂😂 goz kawa sukari ya warembo yaan Kila manz inamfagilia aty🎉

  • @ManuMusicOg2002
    @ManuMusicOg2002 6 часов назад +1

    Moto Ni Mkali Sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Renkay-c3k
    @Renkay-c3k 18 часов назад +3

    Eagerly waiting from Kenya 🇰🇪

  • @juliusjkalela9164
    @juliusjkalela9164 2 часа назад

    🤣🤣big up kwa mganga juma jicho ila chakula kimejireta tena shikilia hapo hapo

  • @mbwanangare3233
    @mbwanangare3233 7 часов назад +2

    Mbona mumeikstikasha. Jaman. Imekuwafup

  • @mariegoretteshondingarugam3714
    @mariegoretteshondingarugam3714 50 минут назад

    Munacheza vizuri nagojeya kuendelea😂leo!Mwajuma amekipata😂

  • @abubbacarcarimo2624
    @abubbacarcarimo2624 7 часов назад +2

    Good job brother Gozy. From Mozambique🇲🇿 Nampula

  • @KitunduErnest
    @KitunduErnest Час назад

    Story ni ya kawaia sana sema inabebwe na vitu vichache sanaaa

  • @saumuzimba1160
    @saumuzimba1160 6 часов назад +1

    huyu mama mkwe hutokea kama jini vile 😂😂😂

  • @TigerKingazi
    @TigerKingazi 2 часа назад

    Episode ijayo naomba Vai ajue ukwel kuhus mama kwa gozi

  • @TumaMwinyi-sk6dw
    @TumaMwinyi-sk6dw 5 часов назад +1

    Nitarud baadae nimeitwa na wazaz nikanyonye 🤗🤣🤣🤣

  • @GastonKailanya
    @GastonKailanya 6 часов назад +1

    Goz unyama sana nakukubal

  • @LilianJuma-q6y
    @LilianJuma-q6y 15 часов назад +1

    Director gozi Mimi binafsi nakukubali sana , yaan tunakula kuku Hadi vifaranga chukua maua yako🎉🎉❤❤💪💪💪💪💪 stronger together 💪💪💪

  • @BrendaKenzie
    @BrendaKenzie 4 часа назад

    Kazi safi sana❤❤

  • @kharimjohneric5499
    @kharimjohneric5499 5 часов назад

    🎉🎉🎉 Ila mmeniwahi

  • @danielmugambi8639
    @danielmugambi8639 Час назад

    Nataka nijuwe ni ipi Vai atajuwa kama mama yake kamsaliti.moov kali.Courage Mr Gozi

  • @Mzitomatelephone
    @Mzitomatelephone 7 часов назад +2

    Wazazi wanakuita ukanyonye,

  • @slokidog
    @slokidog 3 часа назад

    kazi nzuli sana Gozi

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 5 часов назад +2

    Natokea kukapenda hako kamwajuma mkomavu kanawanyoosha

  • @AngelaNikson
    @AngelaNikson 5 часов назад +1

    Gozi na mademu jmn

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v 3 часа назад

    😮😮😮😮😮mwajuma leo kapatikana

  • @flashbreezytz7472
    @flashbreezytz7472 4 часа назад

    Gozi n🔥🔥🔥🔥

  • @UwajenezaJazira-cv7et
    @UwajenezaJazira-cv7et 7 часов назад +2

    Leo mbona mapema? Kazi nzuri ndugu zetu

  • @Emanueldiwani
    @Emanueldiwani 7 часов назад +4

    Tupo live na gozi apa

  • @MaurineNyaboke-el6sx
    @MaurineNyaboke-el6sx 3 часа назад

    Mama vai anajifanya kumfokea dadake vai na yeye ndo anatoka na mkwe wake. Tabia mbaya sana

  • @MonaaOm
    @MonaaOm 11 минут назад

    Mwajuma kapatikana 😅😅😅😅

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Час назад

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @RafaJay-xj9rr
    @RafaJay-xj9rr Час назад

    Mwajuma mkomavu kayatimba hukoo!!!
    😂😂😂😂😂😂
    Kakutana na mguu wa mtoto

  • @EmmanuelChikombo
    @EmmanuelChikombo 6 часов назад

    Kali sana

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean 4 часа назад

    Mouvi za Spartacus 😂😂 Mtoto kautaka 😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 7 часов назад +1

    Gozi kaka🎉🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 6 часов назад

    Mama Vay ulimwambiya Vay analiyaliya namapenzi sasa we kikowapi mbona umeanza kuliliya mapenzi😂😂😂😂

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 2 часа назад

    Mwajuma 😂😂😂

  • @FaridaOmar-c7m
    @FaridaOmar-c7m 5 часов назад

    🎉🎉

  • @StafordFelician
    @StafordFelician 2 часа назад

    Hii kal kwa mganga tena, goz e umeijiwa kaa kwa wenge.

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 7 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤ kutoka kenya 🇰🇪

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 10 часов назад +1

    Sawa

  • @Awoshy
    @Awoshy Час назад

    Yaani Juma tunakutafuta kule mkeo kaja na mtoto anahangaika kwa kina Kipara kumbe upo huku unapeleka watu🔥😂😂na kujifanya mganga😂😂😂

  • @SaidaKatoa
    @SaidaKatoa 5 часов назад

    ❤🎉🎉

  • @anasio-h7i
    @anasio-h7i 7 часов назад +1

    Kazi nzuri

  • @TigerKingazi
    @TigerKingazi 2 часа назад

    MwJuma Leo kakutana namwenzie

  • @lovenesskyungai7882
    @lovenesskyungai7882 4 часа назад

    Mwanaume anaitwa kipanya 😂😂😂 bdo unamngangania😂😂😢

  • @ArafaAmirAmir-ci7ld
    @ArafaAmirAmir-ci7ld 2 часа назад

    Gozi kilanga upunguzege

  • @imrandosantos9470
    @imrandosantos9470 16 часов назад

    Kazi yako ni kali sana, tuko pamoja
    (Kutoka Moçambique)

  • @mariyamhappy
    @mariyamhappy Час назад

    Watoto wa 2000 balaa 🎉🎉❤😂😂

  • @mohamedyjuma459
    @mohamedyjuma459 2 часа назад

    Mgangaaa🙌🙌

  • @EjideSilas
    @EjideSilas 6 часов назад

    Juma jicho tumeanza kukuona ukiwa mweusi tii lkn ushaanza kujikuta dullah makabira

  • @mariyamhappy
    @mariyamhappy 13 часов назад +1

    ❤❤❤❤

  • @TigerKingazi
    @TigerKingazi 2 часа назад

    Kaka angalia San hao mademu watakualibia kwavai

  • @MichaelJohnmaliam
    @MichaelJohnmaliam 4 часа назад

    Gozi upo vzr

  • @Awoshy
    @Awoshy Час назад

    🔥🔥🔥

  • @Annajumwa
    @Annajumwa Час назад

    Jina la wimbo

  • @SebastianGodfrey-k8q
    @SebastianGodfrey-k8q 2 часа назад

    Mama waajabu uyu

  • @SebastianGodfrey-k8q
    @SebastianGodfrey-k8q 2 часа назад

    Mwajuma umalaya unakuua

  • @RuthReuben-h2h
    @RuthReuben-h2h 5 часов назад

    😂😂😂ila mganga

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 7 часов назад

    Wa kwanza toka drc kalemie ❤❤❤

  • @yassinduma8357
    @yassinduma8357 18 часов назад +1

    Wooow

  • @CynthiaBwonya
    @CynthiaBwonya 7 часов назад

    Wa kwanza leo nmewahi❤

  • @Awoshy
    @Awoshy Час назад

    Juma 😂😂😂😂Maalim mbona eftano yako unataka kutoka na uhai wa mwenzio 😂

  • @NafueAthunan
    @NafueAthunan 5 часов назад

    Wewe gozi ndio maan unafumaniwa wanakuja watt wa elfu mbili unaongea nao mpk unafumaniwa

  • @Bongosource
    @Bongosource 6 часов назад

    WA KWANZA MIMI HAPA

  • @RaifaMalewa
    @RaifaMalewa 16 часов назад

    jomn ata kwang video haifunguki tuambieni basi shida nin et director gozi au mda bado

  • @mwanamisi1808
    @mwanamisi1808 5 часов назад +1

    Much appreciation Gozii unajua sana mzee baba.

  • @chadrackrunogeza3302
    @chadrackrunogeza3302 8 часов назад

    Apaa niko na hesabu dakika kwa iyooo natakaa nione matokeyo ya Vay na mdogo wakoo wakikufiya bwa TX man ❤❤❤❤❤ nakukubali brother yangu,,,,,kutoka Drc kalemie nafatiliya kazi kwa umakini sana courage amigo🎉❤❤

  • @Mrlugy-tz
    @Mrlugy-tz 6 часов назад

    😅😅

  • @Felix2024-r6g
    @Felix2024-r6g 6 часов назад

    Kali