ALLY KAMWE AWAJIA JUU SIMBA/VIONGOZI WOTE NCHI HII NI YANGA/AL HILAL WAMEJICHANGANYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 ноя 2024

Комментарии • 22

  • @Lenatus-l9i
    @Lenatus-l9i 4 дня назад

    Kalibu sana na pale musikimbie Tena

  • @bernardndemba2253
    @bernardndemba2253 4 дня назад

    Hifadhi maneno

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 3 дня назад

    Huyu kijana ukimuona tu amepagawa kweli yaani vipigo alivyovipata vimemchangsnya sana kiasi Cha kutaka viongozi kuhusisha na club.halafu hajui kusoma alama za nyakati. Sijui ataficha wapi sura yake.kwa yanga hii ambayo bado haijatulia kabisa na kocha mpya

  • @LatiphaJuma-x4x
    @LatiphaJuma-x4x 2 дня назад

    Hajui alisemalo mpenzi maelekezo ya usemaji asiwe anavuka mipaka

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp 4 дня назад

    Ali kamwe umechanganyikiwa na kipigo cha Tabora.

  • @UpendoJackson-s3r
    @UpendoJackson-s3r 3 дня назад

    Unako elekea utawagombanisha viongozi na mashirikisho ya soka...au ndio unathibitisha kuwa kilichotikea mwanza ni mipango yenu na hao viongozi mnaowathibitisha kuwa ni mashabiki na wanachama wenu, maana tuseme walikuwa wanajaribu kuokoa jahazi sasa. Au tuseme, Tabora wamekuchanganya kbs huwezi kupangilia maongezi yako.

  • @PeterIdd-d3c
    @PeterIdd-d3c 4 дня назад

    We tangu kumekucha huongelei mambo yenu simba tuuu khaaa

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry 4 дня назад

    Ally kamwe hajui kuisemea krabu yupo kishabiki zaidi

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Kwani yanga nae anaadaa team tena ?

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Wanapiha makofi ovyo tiket elfu 3000 ila uwanja adi sasa hujajaa

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Yaani kesho wakipigwa watapotea hawa wataumwa mwezi mzima

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Yanga kila siku munaiga simba haya mambo ya kwenda mtaani mumeiga mlesema nyie siyo wa kwenda mtaani mbona leo leo unaeenda mtaani

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 4 дня назад

    Mwaka huu wa ubaya UBWELA,, mlijue ilo , kwani viongozi wanaocheza upira ,,

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Hahaha kweli yanga mashabiki wake ni upepo wa tanga

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Tunausumbulia huo mpira

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 2 дня назад

    Unazengua sana kwahiyo wewe unamaanisha taifa hili wote yanga viogozi wote hupenda team zote siyo kuwa wanapenda yanga tu acha kutengeneza chuki kwa wapenda soka

  • @martinsanguyan4015
    @martinsanguyan4015 4 дня назад

    ni kampeni au 😂😂😂

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 4 дня назад

    DOGO ALLY KOMWE SIO KILA KITU UONGEE ONGELEA TIMU YETU YA YANGA.ACHANA NA SIMBA

  • @MawazoWilliam-g9l
    @MawazoWilliam-g9l 4 дня назад

    Natokea mkoa wa songwe,wewe martin sanguya Raha jipe mwenyewe timu yenye Raha niyanga hatuna tjmu ya strees yanga daima mbele,hapo kampeni haifiki nifuraha tu .

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 2 дня назад

    Sasa hiyo Ni fitna ,Na kama Sio fitna Basi Rais anapendelea ,

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 4 дня назад

    Tabora,wamchanganya,sana,huyu,,jamaa,tuombe,mungu,tusipasuliwe,tena,ikitokea,tumepasuka,tena,tutakuwa,na,vichaa,wengi,sana

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 3 дня назад

    Huyu aliyha binti kikamwe anatafutwa uko tabora amekimbia fungate amekimbialia mjini anatangatanga anatapatapa anangaika ovyo kazi yake ni kulopoka hana jipya amebakia mdebwedo kila mtu anajipigia sijui anachokitka nini, wakati ameshafunga ndoa yakikirsto uwezi kuolewa tena.