Kasoro chakula tu!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • Nimeanzisha chaneli hii (Miriam Kwembe - RUclips) ili tuweze kuangalia namna ambavyo biashara mbalimbali (haswa zile ambazo zipo pia hapa nyumbani) zinafanyika kwenye nchi zilizoendelea, kwa lengo la kuburudika, kuhamasika na zaidi, KUJIFUNZA.
    Ukitaka kupiga hatua, jifunze kwa waliokutangulia!
    Ukipenda kufuatilia kwa ukaribu, tafadhali subscribe kwenye chaneli hii (Miriam Kwembe - RUclips) na tazama video ambazo tayari zipo hewani.

Комментарии • 3

  • @ZahidaKaisi
    @ZahidaKaisi 15 дней назад

    Aisee. Hapo ni kama Homecity ya huku kwetu 😃

  • @neemaisaya2565
    @neemaisaya2565 15 дней назад

    Thankyou Miriam