Mwaka Sabini na mbili, wakatia fora kweli. Tuko maTineja, Dunia iko wazi. Nduh, kumbe ometungoja itu koroge..... heri tulienjoy Kwa muda. Thanks for the upload.
Hiyo ilikuwa Mara Jazz yaani Sensera; Musoma Jazz ilikuwa ni Segese. Mwalimu wangu wa shule ya msingi pale Mwembeni Dr Ruyembe alikuwa mmoja wa crew ya Segese ingawa yeye alikuwa hasafiri sana na bendi kutokana na majukumu ya kufundisha pia alikuwa mtaalamu sana wa sanaa hadi akapata PhD katika Sanaa.
Mwaka Sabini na mbili, wakatia fora kweli. Tuko maTineja, Dunia iko wazi. Nduh, kumbe ometungoja itu koroge..... heri tulienjoy Kwa muda. Thanks for the upload.
The good old days!! Will never come again!!
Remembering my beloved mother and dad..
This Was hearty, original and we'll arranged music that still sounds latest to a person listening to it for the first time
sweet music. rest in peace my dad.
Bendiciones por la música linda
Remembering very old times my mother ,my friend Mwaisaka Martin may their souls rest in peace
Waouh! Wimbo huu nilisikia nikiwa kitoto kichanga!!!
Real music, sweet memories.
Desde la Isla de bocachica
makes remember a place called pa zulu on copperbelt zambia
Ilikuwa Mara Jazz Band iliyotunga mziki huo wa "kitenge cha sikukuu" na siyo Musoma Jazz Band ambayo ilikuwa ni bendi tofauti na ya pili mkoani Mara.
Naomba wimbo,ya Les volcano,nitabaki nanani
Adorable music
Oh boy child
After dowry ;then kitenge
Aah baane
Nimekoswa kitenge cha sikukuu mie.
Siwezi kusahawu kitsnge
Those were the sweet old days
Who's listening to the lyrics of this hit
Still listening to kitenge chasikuku. (lusaka zambia)
Sasa kwa nini hukuandika bendi gani iliimba wimbo huu?
Walikuwa Musoma Jazz Band?