Ray Vanny amfanyia kejeli Willy Paul baada ya kusema wimbo wa Mmhhh ni "takataka"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 89

  • @mrphylophylo7842
    @mrphylophylo7842 День назад +3

    rayvanny is low key a chill guy

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata День назад +10

    Na wimbo huo ndio nyimbo kali zaidi

  • @manyoya7439
    @manyoya7439 День назад +28

    VANNY BOY hana chuki na WATU coz kwanza anamzidi KILA kitu🎉

    • @AndrewKyule
      @AndrewKyule День назад +3

      nikiwa na elfu ishirini za kenya mimi ni millionea tanzania.Na mnasema mnahela.Mnatumia magazeti nini..

    • @prosperswai490
      @prosperswai490 День назад +6

      ​@@AndrewKyulewe ndo umetumia matako kbs unafikiri iyo ishirini ya Kenya kuipata ni sawa na ya bongo sio 😅😅😅

    • @AndrewKyule
      @AndrewKyule День назад

      @@prosperswai490 kama kwenye biashara ya familia langu fridge moja ni elfu sabini za kenya.Wewe unaongelelea elfu ishirini...Hakuna mkenya anae weza kuekeza hela zake tanzania.Huko nikutafuta hasara.gazeti tunaifanyia nini sasa.Hio pengine mpanguzie matako

    • @eleven-in5qw
      @eleven-in5qw День назад

      Willy Paul ata lavalava hamuwezi jamaa hananga show nje ya kenya

    • @silvanfelicianmvungi271
      @silvanfelicianmvungi271 День назад +1

      ​@@AndrewKyuleSawa lakini sisi ni Watanzania sasa hizo hela za Kenya hatuna shida nazo na Wala hazitusaidii chochote nyie bakini na hela zenu,nosense

  • @PaurothyAcademy
    @PaurothyAcademy День назад +11

    Afute kama ni takataka

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 День назад +4

    To me ngoma mbili za willy paul zilizonibamba kushinda zote ni hiyo takataka pamoja ile ft marioo

  • @paulinewangila-cs6ys
    @paulinewangila-cs6ys День назад +9

    NILIJUWA HAYA MAMBO YAMEISHA,YANALETA HATARI MTAANI SANAA TULETE HABARI ZA KUELIMISHANA NA UPENDO SISII NDUGU KABISA TUMEOWANA KATI YA NCHI MBILI NA WAJUKUU WAKUBWA❤❤

    • @modenasayi
      @modenasayi 15 часов назад

      Pumbavu wewe tena ukome ukomanzike we are not related to kunyans in any way. UKOME in capital letters mshenzi wewe!!!

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 часов назад +1

      @modenasayi POLE SANAA KAMA NIMEONGEA VIBAYA,KAMA HUU NDIO USTARABU NA MATUSI ULIO NAYO,UBARIKIWE USIWAHI KOSA CHOCHOTE MAISHANI MWAKO TUNAJUWA UNA MAGARI,MAJUMBA,KIWANJA LAKINI USIWE NA MADHARAU HAKUNA AJUWAYE KESHO NI FUMBO...

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 12 часов назад +1

      @modenasayi KUNA WALIO TAMBA HII DUNIA...SIO KILA TAJIRI ANATIA BIDII, UTAJIRI WAKO USIKUFANYE UWE NA KIBURI...TEMBEA LIBYA,HOSPITALINI WATU WANAVYO HANGAIKIA UHAI, KAMA HUU NDIO (UTU) HERI WEWE MWEREVU)UNAPATA PUMZI YA BURE WENGINE TUNANUNUA NDIO MAANA UNATAMBA UBARIKIWE👏

    • @modenasayi
      @modenasayi 11 часов назад

      @@paulinewangila-cs6ys We are not related with kenyans tribalists let that sink in your head again. That's the realisty you cant run away from the truth in the name of kupendana hapa!!!

  • @tembatembele5332
    @tembatembele5332 День назад +6

    Nahis namba zinavyo ongezeka rayvan ananufaika c ipo kwenye you tube yake

  • @jumaabdallah5575
    @jumaabdallah5575 День назад +7

    Akili ndogo haiongozi akili kubwa..!!
    Rayvanny maji hufuata mkundo akili za baba ake..!!
    #WCB Baba laoo

  • @AndrewOdionyi
    @AndrewOdionyi День назад +2

    Am a Kenyan but will Paul curse it following him for backsliding gospel music 😂😂😂

  • @JeremyKokoyo-q8c
    @JeremyKokoyo-q8c Час назад

    Baadhi ya wasanii wa TANZANIA Pamoja na watu wa Media wana kiki Alikiba Harmonize Ommydimpoz Mario Chege Dudu baya niwatu wazuri hawana maringo kama Mke wa Pididdy Diamond inafaa apigwe marufuku asiwai Perform hapa Kenya huyo ni kubwa Tanzania wala si Kenya bidii anajifanyia wala hafa nyii wakenya Kenge nyinyi

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 День назад +7

    WATAELEWA NINI MAANA YA BONGO = wako kimya ila akili na busara imetawala..

  • @CamweziKarashnekov
    @CamweziKarashnekov День назад +3

    Kama ni attention poze kaipata ila carrier yake naiona mwisho kbsaaq

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 16 часов назад +1

    Okay sawa sisi hatuna ubaya tumekubali ní takataka ila ujue bila vanny boy hatunge kujua sisi hatutaki Kiki ushindi tumekupa sisi hatuna tatizo na munthu

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 13 часов назад

      Unajua ukiwa mtoto akakunyea mkono huwezi kuukata utanawa utaendelea na safari. ❤❤❤❤❤ Vanny boy ndio tabia zetu Tz hatunaga ugomvi.

  • @deva_africa
    @deva_africa 15 часов назад +1

    Ila Kenya dah, me nahis wana matatizo ya akili

  • @FreddyJackson-d3m
    @FreddyJackson-d3m 3 часа назад

    Rayvanynn nimtu mpoa Sana

  • @dayahkibadeni185
    @dayahkibadeni185 День назад +6

    Am from kenya and i know Willy in personal level the guy ni mtu wa kiki, willy paul can do anything just to trend, like now he got wat he wanted

    • @jaelkaninikimeu9374
      @jaelkaninikimeu9374 День назад

      I knew it from the beginning.😂😂bullying someone above u is a criminal offence in heaven 😂

    • @musiccaentertainment100k8
      @musiccaentertainment100k8 15 часов назад

      Hkna mkenya akona jina kama hyo tunawajua umbwa nyinyi

    • @fredkeya5637
      @fredkeya5637 2 часа назад

      Wewe si mkenya Wakenya tunajuwana

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 День назад +1

    Ila willy Paul mpuzi sana 😂😂😂😂

  • @KETV-pj5xt
    @KETV-pj5xt 13 часов назад +1

    By the way where was Willy Paul's manager?

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u День назад +2

    Bibi Willy Polee hata akirudi kulogaa kwa babu na bibi yake..mziki wake hauta bamba😂

    • @ProJays
      @ProJays День назад

      Wako ndio wababa kenge

  • @ThekingBoyug
    @ThekingBoyug День назад

    5hat is very good

  • @kenndennisofficial1489
    @kenndennisofficial1489 5 часов назад

    Ray mkweli

  • @Denew-c5y
    @Denew-c5y День назад +1

    There is a news wave in music but watanzania.hawataki kukubali wait and see pozeè akitak over toka kwa huyo takataka mondi

    • @paulmbonika2459
      @paulmbonika2459 День назад +3

      😂😂 okay ... we waiting... mmeshindwa ruto mkauana, sembuse Simba la Masimba

    • @MomaDedu
      @MomaDedu День назад +1

      😂😂😂😂 where are dreaming from si bora useme Bien japo kwa Mondi aaaaah

  • @judithnanyingi-fg1db
    @judithnanyingi-fg1db 16 часов назад

    Will paul n mjinga tu amepambana n bahati akaona ameshindwa 😂

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 11 часов назад

    Udugu umala🇹🇿✌️

  • @ReyvidVidboy
    @ReyvidVidboy 19 часов назад +2

    Ajue huo ni wimbo ulomleta bongo huyo bwabwa

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw День назад +2

    Kama hautaki avunje mkataba auondoe RUclips tuone

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico 24 минуты назад

    Pia willy ako na.matharao

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 15 часов назад

    Willy anajua rayvanny ameisha so hana waiwasi..

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 15 часов назад

    Huyu jamaa nae anaforce beef

  • @Vlkstudios
    @Vlkstudios 11 часов назад

    N hasira... 😅 tu depression

  • @ReganMallya-w5w
    @ReganMallya-w5w День назад

    Hiyo ni kwel kwanza willpuol Hana pesa

  • @fredkeya5637
    @fredkeya5637 2 часа назад

    Acha uchoche tunajuwa mtu upendelea kwao

  • @CollinsShikundi
    @CollinsShikundi День назад

    Kweli watanzania ni mango be too ...ata kwe I d ya pozze Iko na vius wangapi

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 13 часов назад

    Willy poze wivu tu

  • @tgsayron6268
    @tgsayron6268 День назад

    Gangstar effects in Africa NI Kiki.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 День назад +5

    Mjinga sana huyo willy. Awashukuru watanzania mpuuuzi mmoja huyo. Wivu tyu ndio maana anaeenda kushuka viwango. Mpumbavu sana huyo watanzania hatujazoea kelele.

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 День назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @bravinloka8959
    @bravinloka8959 День назад +3

    Mark me guys...tumekuwa na mr.nice na wengineo bt saii hawapo kimziki...wasafi itasahulika tu alafu Kenya itatawale kimziki tena..Willy Paul anajulikana kila place,bet me

  • @Aishajohn-o3m
    @Aishajohn-o3m День назад

    Mpuuzi uyu

  • @Mariam-f6f
    @Mariam-f6f 14 часов назад

    Kumbuvu zenu mtuachia willpoul wetu 🇰🇪 ni yetu so tunaweza kusema chochote mjue ss ndo kusema

    • @millymilly7244
      @millymilly7244 13 часов назад

      Hapana jamani wakenya tujifunze heshima muhimu hata kama Willy Paul alikosewa angetafuta njia nyingine ya kujieleza pasipo na vurugu❤

    • @MeshiliTemba
      @MeshiliTemba 9 часов назад

      Kaambie mama yako

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr День назад +2

    😅😅😅😅

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 День назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🗣🔥🔥

  • @Ambazo
    @Ambazo 14 часов назад

    Kuna vile mtu anaeza kutoa view yake kwa nyimbo?

  • @kevo_da_clever
    @kevo_da_clever День назад +1

    Poze ni kijana hajatairiwa jaluo jinga

  • @12345678938129
    @12345678938129 День назад +3

    Rayvanny anataka kutembelea kick . Na ivi alikuwa aongelewi, Willy Paul amempa trending ya bure

    • @LeoniaLyimo
      @LeoniaLyimo 13 часов назад

      Sasa mpumbavu ni nani aliyetoa kiki au aliyepokea kiki.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 День назад +3

    Don’t cut the hand that feeds you
    Kitawaramba wabongo soon

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu День назад +2

      Githeri bongo ni chakula cha ng'ombe,
      Burnaboy yuko banned uk na Sa ila maisha yanaenda.

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 День назад

      Kwa kipi nyie ng'ombe 😂😂😂mmfyuuuu

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys День назад

      ​@@NgasaMaduhu mhh hizi comment jamani ama tuko siku za mwisho na hatujuwi

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys День назад

      @@rosemahenge9071 Tuwe na heshima kila mmoja aliumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu,hata kama unamiliki kila kitu duniani uwe na utu basi hasira isikutawale sisi ni ndugu hakuna ajuwaye kesho(MOLINGO)pumzika kwa amani

    • @m-jay2840
      @m-jay2840 День назад

      @@NgasaMaduhu time will tell let’s watch and see kiburi yenu tawapeleka wapi

  • @MalickZambiko
    @MalickZambiko День назад

    😂

  • @millymilly7244
    @millymilly7244 13 часов назад

    Mimi ni mkenya , lakini ukweli willy paul anapenda kiki za kijinga

  • @ELVISBAHASPORTHUB
    @ELVISBAHASPORTHUB День назад

    WaTanzania Mko na ufala Sana kwanzo Sns I think pia mumeanza ufala huo juu I think mnafaa muwe neutral kwa hizi issue but it's like Huyu wily Paul alikosea na wengi sana wamesema n waandaaji WA hili tamasha ndo walikosea shame on you Tanzanian

  • @GeoffreyOwen-n3d
    @GeoffreyOwen-n3d День назад

    😂