DUNIA (Ep 25)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @HadiaAmiri-y8z
    @HadiaAmiri-y8z 2 часа назад +197

    𝚝𝚘𝚔𝚊 𝚗𝚒𝚊𝚗𝚣𝚎 𝚔𝚞𝚊𝚗𝚐𝚊𝚕𝚒𝚊 𝚍𝚞𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚖𝚙𝚔 𝚕eo sijawai pewa like nipeni namie hata 5 tu nimkuwa wa kwanza lo 😢

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 2 часа назад +194

    Leo nimekuwa wa 78, Kabla ya yote Wewe Unayesoma Comment hii Mwenyezi Mungu Akubariki Akufanyie Wepesi kwenye Utafutaji wako, Oya Dunia Series Hii Ya Leo Ni fire🔥🔥🎉🎉❤❤

  • @RoidaChaula-l2z
    @RoidaChaula-l2z 2 часа назад +96

    Uyo baba mchungaji anavocare😏😏ila sitaman aje adate na uyo dada me napenda mlevi wake aje abadilike awe mtu mwema

    • @daudbarnaba5634
      @daudbarnaba5634 Час назад +5

      Yaani we unaakili kama zangu asee big up sana🎉

    • @modestajamada3496
      @modestajamada3496 Час назад +1

      😅😅😅😅😅😅

    • @JuliusChacha-xz6eq
      @JuliusChacha-xz6eq Час назад +1

      Kwaiyo unapenda mwenzio aendelee kuteseka,kila siku kilio tu

    • @davidmwemamwanzia
      @davidmwemamwanzia Час назад

      Yeah hata mm nampenda sana mlevi wake hatabadilika

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 Час назад

      Ila wakati mwengine ili Mungu Akuletee kilicho bora lazima Akuondolee kisicho bora❤

  • @NiyomugaboEric-q3s
    @NiyomugaboEric-q3s 2 часа назад +37

    Kutoka rwandaa🇷🇼🇷🇼🇷🇼musininyime hat like kumi nawapenda sna

  • @VicentJonh-b7o
    @VicentJonh-b7o 2 часа назад +104

    Mungu awalinde wote mnaofatilia Dunia gonga like hap🎉🎉py 🎉

  • @DanielGood-m8l
    @DanielGood-m8l 59 минут назад +13

    Mishangazzz ya jordan itamuua pole pole🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥱

  • @Maty-q7k
    @Maty-q7k 2 часа назад +192

    Tunashukur kwa wote mnao tusapoti mungu awabariki sana ongeren sana kwa kusimama na sisi tunawapenda ❤❤

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 2 часа назад +4

      Shikilia huyo mme na ujuwe mpo wawili cheza kiwewe ❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @Manyanya56
      @Manyanya56 2 часа назад +11

      I love u maty

    • @britertv174
      @britertv174 2 часа назад

      Tupo pamoja ila na mimi naigiza naweza kujiunga na nyie

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 2 часа назад +1

      @Manyanya56 na usimwache tafadhali ila mkeo vailet ndio ameyataka

    • @SideqiSi
      @SideqiSi 2 часа назад

      Tunakupenda pia

  • @JumaMagona-z4i
    @JumaMagona-z4i 38 минут назад +2

    Muv nzuli sana big up sana manyanya ukijua kuchepuka ujue na kudanganya ila namwona mchungaj akimtafuna muuza uji ila muv ingenoga kama mudi angejiludi kwa mkewe na kuacha pombe

  • @widamagic
    @widamagic 2 часа назад +129

    Kama unampenda manyanya gonga likes

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 29 минут назад +2

    Manyanya mjanja 😂😂😂😂 kalala Kwa mchepuko kadanganya alikamatwa

  • @ElishaMsikola
    @ElishaMsikola 2 часа назад +70

    Ivi Wanawake mnao angalia hii Dunia mnajifunza kutunza ndoa zenu au😅😅😅

  • @ernestsaid3491
    @ernestsaid3491 2 часа назад +27

    Mimi wa kwanza Leo kutoka Mwanza, Wana Dunia na Wana Mwanza mikoa yote like zenu hapa.

  • @JoramAbdallha-jp2or
    @JoramAbdallha-jp2or 2 часа назад +36

    Jaman kuwahi nimewahi nipewe like leo hadi nichanganyikiwe

  • @nurdinniyonkuru8541
    @nurdinniyonkuru8541 2 часа назад +21

    Wow films kali sana Burundi nzima tuna wa fatilia kwa makini 🇧🇮🇧🇮🍓

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 51 минуту назад +3

    Manyanya mjanja sana kawapanga ni watu wake, gonga like km unamkubali manyanya

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 2 часа назад +33

    Kaka manyanya 😂😂😂😂 haki lazima ipatikane😂😂

    • @ywydhhd7941
      @ywydhhd7941 Час назад +1

      😂😂😂😂😂😂nimecheka leo analala kwa mchepuko , alafu analeta maseke 😂😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y Час назад +3

      Kajuw.kuwakilisha wasaliti😅😅😅😅😅😅 anahakikisha hakamatw kizembe

    • @mwagombamwachupa3396
      @mwagombamwachupa3396 54 минуты назад +2

      Ukiskia jina MANYANYA ogopa sana,,ile style ametumia after kulala kwa mchepuko kiboko🤣🤣🤣

    • @IbraheemJulius
      @IbraheemJulius 21 минуту назад

      Akili kubwa sana manyanya katumia..​@@mwagombamwachupa3396

  • @ericmukabwa4563
    @ericmukabwa4563 Час назад +16

    Nashukuru sana kwa vai kuumizwa😂😂😂 manyanya chukua yule tena vai ateseke kwa sana kwa sababu vai na exe wangu hakuna tofauti😂😂

  • @SmilingBiscuits-qo8fj
    @SmilingBiscuits-qo8fj 2 часа назад +22

    Kumbe mm ndo wa kwanza leo, naomba like na comment zenu wadau

  • @hafidhabdallah6292
    @hafidhabdallah6292 2 часа назад +31

    Wa kwanza kutoka zanzibar mwera naomba like zangu

  • @BrownMichael-001
    @BrownMichael-001 2 часа назад +11

    Mimi huyo vai tu nataka kuona mtiti jamaa asipolud home itakuaje mahana yeye ata kama atoi haki ya mume lkn yuko sahihi hajaeahi mchti jamaa mh lkn kzini kunakazi bado ni fumbo hiii dunia kweli jmni ni meng tunayaona kweny families zetu kama unakubalian na mm weak alama ya upnd❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @angeirat
      @angeirat 2 часа назад

      Niyeye arisababisha hayoyote ndomana bikishafika tunajuta ningekua ,mambo ashaharibika ,pole sana mue munajifunzia hap wanawak wake kama vai😂

  • @CamiliusLeonard
    @CamiliusLeonard 2 часа назад +23

    kaka enderea kuchepuka mkeo atajifunza ki2 ndoatakuwa na heshima 👍😀😃😄😄

    • @waridiyusufu
      @waridiyusufu 2 часа назад +2

      😂sio vizuri Ivo aludi kwa mkewe

    • @lindauma982
      @lindauma982 2 часа назад +2

      😂😂😂 hyo ni funzo kwa wanawake wenye wananyima waumewao unyumba vai ni yy na biashara ,akiombo kitu ananyimana😂😂😂😂

  • @doristuppa
    @doristuppa 44 минуты назад +2

    Yaan mm Naahidi kumcare mume Wang kumuheshimu kumpenda aisee sitaki yanikute km ya vailet aisee yaan hii movei me inanifunza hakimungu mume Wang alikutana na matrida nimekwisha habari yang😅😅😅

  • @moseslimota3144
    @moseslimota3144 2 часа назад +5

    Nawaza tu kwa sauti ya chini, "vipi hii Tamthiliya ingekuwa inaonyeshwa kwenye mojawapo ya TV hapa Tanzanian " haki ya Mungu tungekuwa tunalipia ving'amuzi kama vichaa.

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 32 минуты назад +1

    Mshangazi nae kavurugwa na mpenzi hiii kweli Dunia

  • @DenisChuwa-p7i
    @DenisChuwa-p7i Час назад +6

    Ila mi nachekaa..Ety uyo mshangazi naye mapenzi yanamuendesha....Nachoka mimi nachoka sanaa😂😂😂😂

    • @Chasakafu
      @Chasakafu Час назад

      Ndo maana ya dunia 😂😂😂😂tutaona mengi sana

  • @HajiOmary-jz7ce
    @HajiOmary-jz7ce 2 часа назад +18

    Team Dunia Leo mapema..tunawakubali sana

  • @jonasmollel9049
    @jonasmollel9049 2 часа назад +25

    Wapili kutoka 🇰🇪

  • @SamweliJoseph-lw2qz
    @SamweliJoseph-lw2qz 2 часа назад +38

    Hakika Dunia ipo kwaajili ya jamii nzima na ina endea kutoa funzo kubwa sana kama una pata funzo lolote kupia move hii naomba like yako hapa

  • @sergesntunzwenimana
    @sergesntunzwenimana 2 часа назад +22

    Leo nimekuwa wakwanza❤❤❤❤kutoka burundi naomba like

  • @Simababy-g7h
    @Simababy-g7h 2 часа назад +18

    Eeeeeh aiseeee mkoo vizurii😂😂😂😂😂😂 nikajuaa mm ndo wakwanzaa hayaa naombenii like😂😂😂

  • @ImaIma-q9w
    @ImaIma-q9w 2 часа назад +10

    Nakubali sana Kazi yenu🎉🎉🎉mnajua mnajua mnajua tena

  • @HussenRamadhani-g9w
    @HussenRamadhani-g9w Час назад +1

    Good job manyanya

  • @BabaTrevor-z9i
    @BabaTrevor-z9i 2 часа назад +12

    WA kwanza Leo kutoka Kenya...naombeni likes

  • @IbrahimuBaruty-ds8xl
    @IbrahimuBaruty-ds8xl 38 минут назад +1

    Mapenz yanatesa hadi wazee sa kam wale wabibi wa watu wanechanganywa na jordan

  • @joshuandaki8077
    @joshuandaki8077 Час назад +4

    0:13 huu wimbo umeendana sana na anachopitia manyanya😂

  • @TwallayhatOmary-k3s
    @TwallayhatOmary-k3s Час назад +3

    Manyanya anatoa Siri zetu wanaume et anatufelisha 😂😂😂😂big up familiar dunia

    • @UmayyaMunisi
      @UmayyaMunisi 38 минут назад

      Kumbe ndo kazi yenu😂😂

  • @SemafaraChongera
    @SemafaraChongera 2 часа назад +22

    Mister manyanya amesha chiti muke wake😂😂 aaah manyanya we kiboko pamoja namichongo yako wife amesha amani uli tekwa kumbe mati ka kuteka kitandani😂😂😂😂😂

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y Час назад +2

      Katekwa mpka.wimbo tyr kashawek kma katekwa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @xaviodominic-tm1bn
    @xaviodominic-tm1bn 36 минут назад +1

    Yaan hapa vaileth ndo anafundishwa yy si ajui kucare bas watu wa kucare wapo

  • @AyubuKamendu-r7l
    @AyubuKamendu-r7l Час назад +3

    Manyanya ametumia degree ya sita kumzuga mkewe, ameingia na mkwala wa hatari 😂😂😂😂

  • @AlekwaMpenzu
    @AlekwaMpenzu Час назад +2

    😂manyanya ameanzaa kudanganya dadeq😅😅 haki lazma ipatikaneee

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 2 часа назад +14

    Wakwanza from 🇲🇿🇲🇿

  • @DismasJoseph-s9v
    @DismasJoseph-s9v 2 часа назад +9

    Jamani mm nimeipenda inyimbo nitaipataje

  • @JoyceSanca
    @JoyceSanca 2 часа назад +10

    Nimekuwa wa kwanza leo movie nzur sana nipen like zangu bac

  • @DekelvaSoujaboy-mb8ps
    @DekelvaSoujaboy-mb8ps 2 минуты назад +1

    Kila penzi litaonja umauti ♥️♥️ naona manyanya Alisha fall in love kwa matty ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩

  • @EnockKyasa
    @EnockKyasa 2 часа назад +12

    Wakwanza mm nipeni like zangu ❤❤❤😅😅😅😅

  • @GemaMuemedeMuemede
    @GemaMuemedeMuemede 2 часа назад +5

    Wa kwanza leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @princemauricegims8862
    @princemauricegims8862 2 часа назад +8

    Léo wakwanza kutokeya Congo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BagenzaAsmani
    @BagenzaAsmani 2 часа назад +7

    Mimi kwetu🇧🇮🇧🇮🇧🇮wakwanza mnipe Maua yangu hindou Dunia.

  • @mikeblaisedrc8697
    @mikeblaisedrc8697 2 часа назад +10

    Wakwanza mimi nipe lik zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MR.DIESEL-i7z
    @MR.DIESEL-i7z 2 часа назад +7

    Mnajitahidi sana kuwahi kutoa next episodes 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @defaomkubwa204
    @defaomkubwa204 2 часа назад +13

    Jani naombeni nichukueni na mm na weza

  • @SalumKibangu
    @SalumKibangu Час назад +2

    Safari hii manyanya kaja na kali sana😂😂😂 Duuuu iyo plan ngoja niitumie na mimi 😅😅

  • @davinaemmanuell-uj5or
    @davinaemmanuell-uj5or 2 часа назад +7

    Nimekuwa mtu wa tatu jamani hongereni kwa kazi nzuri❤❤❤

  • @isabellahchuma
    @isabellahchuma 2 часа назад +8

    Kazi safi sana guys,big it up,from kenya tunawakubali✅💯💪🏻❤

  • @Abdallahmgenge
    @Abdallahmgenge 2 часа назад +7

    Wa kwanza leoo nipeni mauwa yanguuuu

  • @RojaMiche
    @RojaMiche 2 часа назад +4

    Ooooh nice sana manyanya so good idea

  • @MonaUmkuruthum
    @MonaUmkuruthum 2 часа назад +17

    Huw napenda mwanaume Kam manyanya aise hui movie inafunza

  • @ShackDasca
    @ShackDasca 2 часа назад +10

    Manyanya SoMo Wangu daaah🎉🎉🎉 umetisha

    • @AureliaNyaumba-i4q
      @AureliaNyaumba-i4q Час назад +1

      Manyanya kiboko nimekubali sana hiyo plan

    • @ShackDasca
      @ShackDasca Час назад

      @@AureliaNyaumba-i4q huyu jamaa Anajua San

  • @salamamaulid8532
    @salamamaulid8532 2 часа назад +11

    Wa kwanza jaman naomben like 10 tu

  • @KhamisSuleiman-nb9eu
    @KhamisSuleiman-nb9eu 2 часа назад +7

    Wa kwanza naombeni duwa zenu❤❤❤

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 2 часа назад

      Mungu yupo nawe Amen mtegemee kwa kila jambo

  • @SaraJames-b2q
    @SaraJames-b2q 2 часа назад +10

    Umetisha manyanyaaa Tena upo srz kama kwer viliii ulikamatwa wanaume Mungu anawaona

  • @GLIPNEXT
    @GLIPNEXT 2 часа назад +9

    Manyanya unataka nini lakin 😂😂

  • @WardahYusuf-rp1we
    @WardahYusuf-rp1we 2 часа назад +7

    Leo mm ndo wakwanza😂😂❤❤❤❤

  • @OmaryMbaruku-ob8te
    @OmaryMbaruku-ob8te 2 часа назад +5

    Sema many manyanya mnachelewa sana kutoa episode inayofuata

  • @hancebariki
    @hancebariki 2 часа назад +8

    Namba moja

  • @MariamLawrence-h7l
    @MariamLawrence-h7l 51 минуту назад +1

    kaka manyanya katekwa na penzi la kitoto cha 2000😂😂😂😂

  • @GloiSa-of6vo
    @GloiSa-of6vo 2 часа назад +4

    Ni bongo tu ndo watu wanaigiza kulala na wakiwa wamechomekea na Mkanda umefugwa kabisa. Ila kiukweli mna chemsha sana😂😂

  • @Leyla-n6x
    @Leyla-n6x 2 часа назад +2

    Duh ndy nimechelewa❤😂🎉😢😮😅😊

  • @SabrinaNurudini
    @SabrinaNurudini 2 часа назад +6

    Pg kelele kwa dunia yetu🎉🎉

  • @DanielChaula
    @DanielChaula Час назад +1

    Ivi mwanaume kusema #siendi ni haki kweli ❤❤❤

  • @rhemalidyo7037
    @rhemalidyo7037 2 часа назад +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Pendeni hii moviiii❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @waridiyusufu
    @waridiyusufu 2 часа назад +17

    Wanao amini church boy atachukuwa goma la mudy gonga like hapa

  • @PriscaSamaki
    @PriscaSamaki 2 часа назад +10

    Leo wakwanza kukoment naombeni like jmn

  • @JOANJEPLETING-x2p
    @JOANJEPLETING-x2p 2 часа назад +3

    Manyanya Una akili Sana aisee ❤ nawapenda sana

  • @jescafesto5748
    @jescafesto5748 2 часа назад +6

    Nimeisubir kwa hamu hatar ❤❤❤🎉🎉

  • @PurityMusyoka-n6q
    @PurityMusyoka-n6q Час назад +1

    Waaaa Nimechelewa but leo duh mko poa mpost tu Kila siku ❤❤🎉🎉

  • @MwanaidisalimMwandzala
    @MwanaidisalimMwandzala 2 часа назад +8

    Wa kwanza Leo like zangu na Mimi Kwa mara ya kwanza nimewai

  • @EugêniaAlbino-m3p
    @EugêniaAlbino-m3p 2 часа назад +6

    Kaka manyanya naipenda sana kazi yako Mungu akubariki tele.

  • @EliascosmeChikumbidile
    @EliascosmeChikumbidile 2 часа назад +23

    Wankwaza Leo kutoka mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 like zangu please

  • @InnocentAbel-e2t
    @InnocentAbel-e2t 2 часа назад +5

    Leo nimewash kabs 🎉 sem nin mnachelewesha kabs an

  • @ZaynabDeco
    @ZaynabDeco 2 часа назад +7

    😂😂humu naona omba omba wa like wengi sana 🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @Mc.Mwagamwaga
    @Mc.Mwagamwaga 12 минут назад +1

    Nakubari sana mko powa sana 🙏🙏 mcmwagamwaga bukoba tanzanian 🙏🙏

  • @MrambaKii-chone
    @MrambaKii-chone 2 часа назад +4

    Inapendeza lakn manyanya unauzembe mko atakushtukia skitambo ngoja tu

  • @AyubuKamendu-r7l
    @AyubuKamendu-r7l Час назад +1

    Vailet tayari ameanza kuota moto wa dharau yake

  • @mr.dakv.i.psalon9588
    @mr.dakv.i.psalon9588 2 часа назад +6

    The first one... Wa mwanza leo ni mimi... Like zen plz

  • @JosephatLuvanga
    @JosephatLuvanga 2 часа назад +4

    Tuliwasubiri kwa hamu.....my best movie ever

  • @AllyMwazoa
    @AllyMwazoa 2 часа назад +5

    Ugali maharage na Dagaa za kila siku zisizo na sababu mijadala na mizozo.Vimefanya manyanya Ahamie kwenye kuumwagilia moyo.

  • @KarolinaOman
    @KarolinaOman 39 минут назад

    Duh hii move hatari ,nimeisubiri kwa hamu ,team manyanya mpoo like hapa tusonge nayo ❤❤❤

  • @SalmahAbdallah13
    @SalmahAbdallah13 2 часа назад +3

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza 😅😅uchuro

  • @wafalmeclassic6253
    @wafalmeclassic6253 Час назад +1

    Vai,mwanamke mpumbavu kaivunja nyumba yake mwenyewe 😂

  • @MNYARUALIM
    @MNYARUALIM 2 часа назад +8

    Nimechelewa fimbo za nihusu

  • @AtuSamoto
    @AtuSamoto 2 часа назад +1

    Manyanya shikamoo 🙋saluti kwako kaka mmmh umenishinda tabia

  • @CesarCosma
    @CesarCosma 2 часа назад +12

    Wapili kutoka Congo like zangu jamani🎉🎉🎉

  • @JoyceSanca
    @JoyceSanca 2 часа назад +1

    Ila mnachelewa sana sahv jaman mpaka cku 5 hamtoi movie kweli

  • @halemeh9826
    @halemeh9826 2 часа назад +3

    Nimewai nimekuwa wa pili 🎉🎉❤❤

  • @lindauma982
    @lindauma982 2 часа назад +1

    Manyanya ameamua kutafuta plan b eti ohh alishikwa nkt😂

  • @EstridaIlomo-j5p
    @EstridaIlomo-j5p 2 часа назад +5

    Leo nimekuwa wa kwanza

  • @fanuelmahenge2853
    @fanuelmahenge2853 2 часа назад +11

    Nimekua wa 117 nipeni like zangu hapaaaa❤❤❤❤

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 2 часа назад +9

    Jaman xaiz tu mxhafika mia 😂😂 xax mm nitakua wakwanza lin jaman kwel muna magodoro yenu youtube umu hongeren 😂😂😂😂

  • @AdelaNyansio-em1ef
    @AdelaNyansio-em1ef 25 минут назад +1

    Yani sasa hivi Dunia na Chini kwa mpalange ndo Tamthilia nzur Tz