Mhubili hapo kuhusu sadaka ,sadaka zilitolewa hata kipindi yesu alipo kuwepo kumbuka yule mwanamke Yesu alimshukulu kwa kutowa sent ya ke aliyo kuwa nayotu.Halafu kwa mitume napo Mtu aliye itwa Hanania na Mkewe walikufa kwa kudanganya kuhusu matoleo kwa mapato yao.
Samuel nd. Nafikiri labda hukuelewa muktadha wa mada. Bila shaka sadaka zilitolewa hata kipindi cha Bwana Yesu na Mitume lakini mada inazungumzia kutoa kwa fungu la kumi!! Kutoa fungu la kumi ilikuwa ni amri kwa Waisraeli pekee na si kwa Wakristo! Je, Wakristo wanatoa sadaka ki vipi? Bibilia inasema katika 2 Wakorintho 9:7,''7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu''. Unaona tofauti?? Fungu la kumi ilikuwa ni kwa lazima bali kwa Wakristo si lazima utoe sadaka - tenda ulivyokusudia moyoni mwako na utoe kwa moyo mkunjufu. Ningependa usikilize mada yote sehemu ya I na 2 kisha utaelewa vizuri.
Asante sana Mhubili lakini mambo mengine yameleta utata:Kama kuhusu kula eti Nguluwe na mengine yaliyo kuwa hayakubaliki kula alivyo onyeshwa paulo Mandiko yenyewa yamejitafusili yenyewe kuwa haikuwa kweli nguluwe bali ilikuwa mfano wa kupeleka ijili kwa watu wa mataifa na ajabu ni kwamba paulo mwenyewe hakula.
Kaka Samuel, imekupasa kujua kwamba hakuna utata wo wote katika neno la Mungu. Zaburi 12:6,''Maneno ya Bwana ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba.'' Kula nguruwe na wanyama wengine ilikuwa ni katazo kwa Waisraeli pekee na sio kwa Wakristo!!! Hebu tusome; Matendo ya Mitume 11:6-9,''Nikakitazama sana, nikifikiri, nikaona wanyama wa nchi wenye miguu minne, na wanyama wa mwituni, nao watambaao, na ndege wa angani. 7 Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule. 8 Nikasema, Hasha, Bwana, kwa maana kitu kilicho kichafu au kilicho najisi hakijaingia kabisa kinywani mwangu. 9 Sauti ikanijibu mara ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najisi.'' Umeona?? hebu tuthibistishe Zaidi; 1 Timotheo 4;1-5,''1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; 3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli. 4 Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani; 5 kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.'' Umeona hayo?? Bwana Yesu Kristo pia alinena; Marko 7:19,'' kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.'' Umeona? Kaka Samuel imekupasa kujua kwamba bibilia inazungumzia vipindi viwili, kipindi cha Waisraeli na kipindi cha Wakristo huwezi kuvichanganya pamoja! Kwa nini? Bibilia inasema; Mathayo 9:16,''Hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu; maana kile kilichotiwa huondoa kipande cha lile vazi, na pale palipotatuka huzidi.'' Natumai umeelewa au kupata wazo. Mithali 15:23,''Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
IDHAA YA UKWELI uwongo kabisaa huo pole maana hakuna unachojua juu ya hilo MBNA nzi huli MBNA kinyonga huli MBNA nge huli zivitakatifu ivyo acha kudangany watu
Roho mtakatifu ananiambia Upo wrong mtumishi kwasababu ukiangalia kwenye agano jipya Anania na safira walitoa fungu la kumi ingawa hawakutoa kama walivyotakiwa Pili sisi ni uzao wa Ibrahim na sisi ni wana wa Israel wa kiroho, tunapaswa kuyafauta yote ambayo yameandikwa kwenye biblia ispokuwa Yale ambayo yalikuwa anam-farce Yesu kristo!
Gud bwoy; Natumai upo mzima wa afya kwa neema ya Mwenyezi Mungu. Asante kwa maoni yako lakini ningependa kukushauri kulingana na maandiko matakatifu. Imekupasa kutahadhari wakati unapozungumza maneno yanayomhusu Roho Mtakatifu. Kwa nini? Hebu tusome: Luka 12:10 Na kila atakayesema neno baya kunihusu mimi Mwana wa Adamu atasamehewa. Lakini mtu anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa. Umesema Roho Mtakatifu amekuambia kwamba nimekosea kwa sababu Anania na Safira walitoa fungu la kumi. Je, unaweza kunipa mistari ambazo zinathibitisha madai haya? Nionyeshe mahali popote katika agano jipya ambapo Wakristo waliamriwa kutoa fungu la kumi.
+IDHAA YA UKWELI wakati Kabla sijaleta hilo fungu nataka kujua ninyi idhaa ya ukweli ni uzao wa Ibrahim (waisrael wa kiroho) au laa? Pili: Kwasababu umesema fungu la kumi ni kwa wasrael pekee je, wewe sio muisrael?
Gud bwoy tafadhali tufanye mambo kwa utaratibu. Hatua kwa hatua. Bibilia inasema; 1 Wakorintho 14:40 ''Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.'' Maswali yako nitayajibu lakini mwanzo jibu maswali yangu. Kisha tutaendelea na yako..asante
Amina
Amen ...
Amen
ukoloni mamboleo umeingia kwa wachungaji kuwanyonya maskini alafu wenyewe wanatembelea gari za kifahari namaisha mazuri hizo hela wasaidieni maskini,
Mhubili hapo kuhusu sadaka ,sadaka zilitolewa hata kipindi yesu alipo kuwepo kumbuka yule mwanamke Yesu alimshukulu kwa kutowa sent ya ke aliyo kuwa nayotu.Halafu kwa mitume napo Mtu aliye itwa Hanania na Mkewe walikufa kwa kudanganya kuhusu matoleo kwa mapato yao.
Samuel nd. Nafikiri labda hukuelewa muktadha wa mada. Bila shaka sadaka zilitolewa hata kipindi cha Bwana Yesu na Mitume lakini mada inazungumzia kutoa kwa fungu la kumi!! Kutoa fungu la kumi ilikuwa ni amri kwa Waisraeli pekee na si kwa Wakristo! Je, Wakristo wanatoa sadaka ki vipi? Bibilia inasema katika 2 Wakorintho 9:7,''7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu''. Unaona tofauti?? Fungu la kumi ilikuwa ni kwa lazima bali kwa Wakristo si lazima utoe sadaka - tenda ulivyokusudia moyoni mwako na utoe kwa moyo mkunjufu. Ningependa usikilize mada yote sehemu ya I na 2 kisha utaelewa vizuri.
Tithe is not for the church today
Naomba number yako kaka
Tafadhali wasiliana nasi ukitumia email hii; idhaayaukweli@gmail.com
Asante sana Mhubili lakini mambo mengine yameleta utata:Kama kuhusu kula eti Nguluwe na mengine yaliyo kuwa hayakubaliki kula alivyo onyeshwa paulo Mandiko yenyewa yamejitafusili yenyewe kuwa haikuwa kweli nguluwe bali ilikuwa mfano wa kupeleka ijili kwa watu wa mataifa na ajabu ni kwamba paulo mwenyewe hakula.
Kaka Samuel, imekupasa kujua kwamba hakuna utata wo wote katika neno la Mungu. Zaburi 12:6,''Maneno ya Bwana ni maneno safi, Ni fedha iliyojaribiwa kalibuni juu ya nchi; Iliyosafishwa mara saba.'' Kula nguruwe na wanyama wengine ilikuwa ni katazo kwa Waisraeli pekee na sio kwa Wakristo!!! Hebu tusome; Matendo ya Mitume 11:6-9,''Nikakitazama sana, nikifikiri, nikaona wanyama wa nchi wenye miguu minne, na wanyama wa mwituni, nao watambaao, na ndege wa angani. 7 Nikasikia na sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.
8 Nikasema, Hasha, Bwana, kwa maana kitu kilicho kichafu au kilicho najisi hakijaingia kabisa kinywani mwangu.
9 Sauti ikanijibu mara ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najisi.'' Umeona?? hebu tuthibistishe Zaidi; 1 Timotheo 4;1-5,''1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;
2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.
4 Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;
5 kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.''
Umeona hayo?? Bwana Yesu Kristo pia alinena; Marko 7:19,'' kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.'' Umeona? Kaka Samuel imekupasa kujua kwamba bibilia inazungumzia vipindi viwili, kipindi cha Waisraeli na kipindi cha Wakristo huwezi kuvichanganya pamoja! Kwa nini? Bibilia inasema; Mathayo 9:16,''Hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu; maana kile kilichotiwa huondoa kipande cha lile vazi, na pale palipotatuka huzidi.'' Natumai umeelewa au kupata wazo. Mithali 15:23,''Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari.
True
IDHAA YA UKWELI uwongo kabisaa huo pole maana hakuna unachojua juu ya hilo MBNA nzi huli MBNA kinyonga huli MBNA nge huli zivitakatifu ivyo acha kudangany watu
Je, unakusudia fungu la kumi lisitolewe?
Roho mtakatifu ananiambia Upo wrong mtumishi kwasababu ukiangalia kwenye agano jipya Anania na safira walitoa fungu la kumi ingawa hawakutoa kama walivyotakiwa
Pili sisi ni uzao wa Ibrahim na sisi ni wana wa Israel wa kiroho, tunapaswa kuyafauta yote ambayo yameandikwa kwenye biblia ispokuwa Yale ambayo yalikuwa anam-farce Yesu kristo!
Gud bwoy; Natumai upo mzima wa afya kwa neema ya Mwenyezi Mungu. Asante kwa maoni yako lakini ningependa kukushauri kulingana na maandiko matakatifu. Imekupasa kutahadhari wakati unapozungumza maneno yanayomhusu Roho Mtakatifu. Kwa nini? Hebu tusome:
Luka 12:10
Na kila atakayesema neno baya kunihusu mimi Mwana wa Adamu atasamehewa. Lakini mtu anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.
Umesema Roho Mtakatifu amekuambia kwamba nimekosea kwa sababu Anania na Safira walitoa fungu la kumi. Je, unaweza kunipa mistari ambazo zinathibitisha madai haya? Nionyeshe mahali popote katika agano jipya ambapo Wakristo waliamriwa kutoa fungu la kumi.
+IDHAA YA UKWELI wakati Kabla sijaleta hilo fungu nataka kujua ninyi idhaa ya ukweli ni uzao wa Ibrahim (waisrael wa kiroho) au laa? Pili: Kwasababu umesema fungu la kumi ni kwa wasrael pekee je, wewe sio muisrael?
Gud bwoy tafadhali tufanye mambo kwa utaratibu. Hatua kwa hatua. Bibilia inasema;
1 Wakorintho 14:40
''Lakini mambo yote na yatendeke kwa uzuri na kwa utaratibu.''
Maswali yako nitayajibu lakini mwanzo jibu maswali yangu. Kisha tutaendelea na yako..asante
Uko wapi namba yangu 0758136451
Nawapataje! Watumishi Wa Mungu Mafundisho Mazuri sana Yananibariki Ningependa kuwafahamu zaidi
0784262367 :WhatsApp
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia email hii: idhaayaukweli@gmail.com Asante.