Wanachama CCM wamshukia Dkt. Bashiru
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- Baadhi ya wanachama wa CCM wamekikosoa kauli ya Dkt. Bashiru Ali aliyewataka wakulima wadogo kuungana na kuwatisha viongozi na watawala akisema kuwa viongozi hao, amani, mshikamano na umoja hauwezi kuwepo bila kuwepo kwa wakulima.
Asante. sanatu. mzehe. waliyoba kweli. tunaenda. kubaya
Safi Sana mzee umeupiga mwingi
Warioba genious sana
Warioba ana busara sana, tunakupongeza mzee wetu - wewe kweli ni institutional memory ya nchi yetu.
Shikamoo Mzee Warioba . Mwenye akili kakuelewa mno
Mungu akuongee umri
RIP mzee baba Magufuli 🙏 pongezi warioba pongezi Bashiru
MZEE,HAO WANAO MKEMEA BASHIRU ,wanatafuta umaarufu tu,Kwa Mwenye akili timamu ,BASHIRU hajakosea,hao ndio wanomshambulia ndio vilaza,,nakutafuta uongozi Kwa lazima,
Kigwangala kaa kimya! Pimbi wewe, msikilize mwanasiasa mkongwe
Mtu mzima dawa sasa hao washenzi nadhani wamesikia na wakitaka wamwondoe na huyu mzee kwenye chama.
Wewe kigwagala ni mwizi acha aseme ukweli doctor bashiru
Kigwangwala mjinga hajui chochote
Kigwangala anatafuta uwaziri anamwonea donge mwenzie Bashe kupata Uwaziri
Ukubwa ni dawa mzee wetu warioba ni kweli
Wambie mzee
Mzee uko sahihi sana waambie ukweri,wabunge wengine hawajielewi wanataka waonekanike tu wameongea
Mzee kaongea vzr sana hata mm sijaona kosa lake bashiru kwakuwa hajamtaja mtu hapo mbona
Kujipendekeza anataka cheo huyo Ili mama amuone
Naona mzee kama umeweka upepo sawa vile,tuweni huru kukosoa na kukosolewa.
Mm naona Dkt Bashiru hajakosea... Kuongea ukweli sio dhambi tufike mahali tuseme ukweli.. hali haiko sawa kabsaa na huo ndio uhalisia... Kigwangala nae anatakiwa atathimini kauli zake maana hoja haipogwi rungu ila inazidiwa na hoja iliyo Bora zaidi
Wamezowea kutuzurumu ndio Mana hawataki ukweli
Bashiru hana baya nivile2 wanapenda kupiga makof kilak2
Haya ndo maneno ya busara hoja ya mtu sio ustashi
Hayo ni maon yake watu waache kujipendekeza
Hawa ndo wazee wa busara na si kila kitu ni kusifia hongera mzee kwa uzalendo wako
Mbona ni kawaida kutoa maoni binafsi, Au km Hoja imetolewa isipingwe kwa kumwadhibu mtoa hoja, Bali ajibiwe kwa Hoja maana ametoa hoja,
Lakini kukimbilia kwenye stahiki zake ili kumnyong'onyesha sio vema,
Hata Mh. Rais huenda ana mtazamo Mzuri tu kuhusu hii Hoja,
Si vema kuanza kupambana na Bashiru km Bashiru Binafsi, Tupambane na hiyo Hoja.
Mzee wangu warioba usimtetee Bashiru kakosea mbona akiwa kwenye serikali ya Magufuri hakuwahi kuyanena hayoo angekuwa na kauri hizo kipindi kile hata leo tungemwelewa lkn ni ukweli ulio wazi kuwa Bashiru hajaridhika na uteuzi wa ubunge angekuwa waziri haya leo asingeyasema
Hayo matatizo ni Leo? au ni siku zote?
Wewe jeeee kigwangala
Nimekuelewa mzee baba! Kumbe hata huyu Bashiru anajivunia walau chembe ya uhuru wa maoni ulipo ktk utawala huu. Katika utawala ambao yy alipata fupa ilikuwa nadra kwa mtu kuthubutu kutoa maoni yake kwa lugha kama ile ambayo ingeonekana ina uchochezi na kejeli dhidi ya wenye mamlaka!
Ukiwa na uweza uelewa huwezi kukwaza wazo la mwenzako toa hoja ndiyo ukomavu
Shida iko wapi Dr .mnataka kutengeneza nchi ya kioga.usahihi wa kauli ya bashiru itafteni kwa makundi anayoyazungunzia na kwa wananchi,wanachokisifia aliowaita bashiru "mawakala" wananchi hawakiungi mkono.hivo pimeni usahihi wakauli za bashiru bila hisia ya kuzalilishwa" kutokubali kukosolewa hakuwezi boresha mapungufu mlioyonayo."
Kigwangala ovyo xana tena kigeu geu toka ulipotumbuliwa na Jpm
Jimbo la huyu jamaa Kuna hadhi gani?maana kama yeye anatetea chama badala ya wanachi inakuaje??
Kingwala hebu tuache unafiki neno kuupiga mwingi Lina maana gani?
Shida sifa imekuelemea Toka ilipo semwa Katiba ya walioba mbona hujawahi kuikana ukasema ni Katiba ya wananchi ,
Jamani msukuma ameanza kudharau kusema. atafia kwenye. ubunge yeye ninan jamani wajifunze KWA MZEE josephu walioba hao wanatafuta chama. Kukiwekka pagumu Kama alipokuwa amekifikisha kikwete
Wachumia tumbo wanaomba uteuzi kwa kujikomba. Kigwangala ana uCCM gani kuliko Bashiru au wizi alioufanya akiwa waziri wa Maliasili na utalii sasa anajifanya mkulima?
Huyo ndie alieanza mapambio na ni mbunge aongeleee bungeni mbona kipindi cha utawala wake walimfukuza MEMBE
Mzee wa busara Umeongea pointi. Nadhani machawa wamesikia kina kigwangara , Msukuma, kibaji
Wewe Hamis Kigwangala Ndio Hueleweki Kabsa Sijui Ata Unahitaj Nini Katika Taifa Ili Na Wala Htukuelew Upo Wapi Acha Kudandia Gari Kwa Mbele Sikiliza Hoja Na Jibu Kwa Hoja Sio Chuki Na Fitina
Tutaona mengi ila ushauri tu wabunge wakumbuke kazi yao!! Kutatua kero za wananchi sio kusifia serikali!!
Dona unga ni tsh 1700,sembe 1800 jamani mtu akusema mfano unga ni 1700 ni dhambi??
Kigwangara wewe ni mjinga Huna lolote una tafuta teuzi.
Huyu kigwangala ni mbunge wangu lakini naona kabisa jinsi gani tunambunge mpum*avu😨 anakimbilia apokonywe ubunge kisa kutoa hoja zake😭😭
Kina kigwangala, Lusinde, Msukuma wanalinda matumbo Yao tu nashindwa kujua wanatumia ubongo gani au ndiyo hawajui majukumu ya mbunge, hatari sana kuwa na wabunge vigeugeu
Huyu ni mjinga mwingine ambaye hawezi kuvumilika! Kigwangala nadhani hujawahi kuwa mjinga Ila kwa Sasa umeanza kuonyesha ujinga hadharani ili kuvizia uteuzi ni upuuzi wa kijinga kabisa!
PAMBAAAAAAFUUUUUUUÙU KIGWA