Anayetumwa na mungu anaitwa MTUME . Anayetumiwa na mungu kuonyesha jambo litakalofanyika baadaye au wanaotabiri jambo kwa idhini ya m/mungu wanaitwa/anaitwa NABII . therefore ....KUNA MITUME AMBAO NI MANABII NA KUNAMITUME AMBAO HAWAKUPEWA UNABII . YESU NI MTUME NA NABII . MUHAMMAD PIA MUSSA PIA NA WENGINE WENGI ......
Jesus son of God u mean God has a son and u believe Jesus is lord so you have two God or lord Jesus. Think open minded God is one almighty creater of all
Yesu si Mungu kw sababu Mungu hajazaliwa wala hajazaa na Mungu hafii Wala hana udhaifu wowote
Kabisa
Barikiweni sana sana
Maashalah
Dada pole anachejesha
Mashaa Allah, Kazi nzuri Sana mashekh zetu
Alhamdulillah lazima ujumbe wa Allah ufike
Masha Allah sheikh may Allah bless you
Aamiin amiin amiin sote
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Safi!
Asalam aleikum warahma turullahi wabarakatuh ma sha Allah karanja nilikuwa tumewamiss
Na watazamaji ,bado natafuta kazi ya udereva
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah ikipatikana tutakujulisha
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Mashaallah Allah awape malipo mema Peponi pamoja na waislamu wote Amin🤲
Aamiin amiin amiin sote
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
HAWA WANAOSEMA YESU NI MUNGU NI MAKAFIRI WAKUBWA NA NDIO WANAFANYA MUNGU KUKASIRIKA NA KUADHIBU WATU KWA MAFURIKO YA MAJI NA BALAA ZINGINE.
Kabisa wanaabudu kiumbe badala ya Mwenyezi Mungu
Dungu yangu unajua mungu ni mkubwa hawezi kusema uwongo tukisema mungu ni moja Moroni atakwenda Nani?
Wakristo wana chekesha shekh Salim ungemuliza ye sio mungu sio mtume lakini katumwa ungemuliza ye ni Nani?
Motoni
Jamaa kaleta mpya anataka tu cheze ndombolo msikitini pole mgaratia
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nyote na awalalipe jannatul firdaus
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
Anayetumwa na mungu anaitwa MTUME .
Anayetumiwa na mungu kuonyesha jambo litakalofanyika baadaye au wanaotabiri jambo kwa idhini ya m/mungu wanaitwa/anaitwa NABII .
therefore ....KUNA MITUME AMBAO NI MANABII NA KUNAMITUME AMBAO HAWAKUPEWA UNABII .
YESU NI MTUME NA NABII .
MUHAMMAD PIA
MUSSA PIA NA WENGINE WENGI ......
Waleikum salaam
Nawapenda kwa ajiri ya Allah
Tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
Tatizo la wakristo wengi wapo kushindana sio kusoma na huisi hayo maswali yao magumuuuu kujibu kumbe zaidi ya 1000 nyuma qurani imeshajibu
Assalamualaikum allaikum
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Uislam ni haqi kabisa,
Tena kabisa
Waibrania 1:8 Lakini Kwa habari za Mwana asema Kiti chako Cha enzi Mungu ni Cha milele na milele Na fimbo ya Ufalme wako ni fimbo ya adili
Asalam aleykum sheikh ali kupunguza makali❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Kazi safi walimu alfu apo mkisha tusalimu ama mkimaliza ambia umma i subscribe kwa mafundisho zaidi inshallah ❤️
Inn shaa Allah
Jamaa kaja kuonakana. Kwenye mtadao
I DECLARE IN MY HEART JESUS IS THE SON OF GOD WHO IS MY LORD.
Jesus son of God u mean God has a son and u believe Jesus is lord so you have two God or lord Jesus. Think open minded God is one almighty creater of all
Asallam allay kum napenda kuapamoja nanyi
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh karibu sana
Bwana wee imemalizikia kwenye assssal utamu
Masha Allah mpaka kieleweke inn shaa Allah
Naam sheikh Salim nimefurahi huyo jamaa mlivyomuona time wasters ondoooa tu
Ndio hivyo wanatumwa kufanya hivyo makusudi
So,wakristo wanafanya madhambi na Yesu ameshabeba ..lol!
Ndio huwa wanasema
Iyo jama ni Muongo Kitabu Cha Waibrania 1:8 haisemi hivyo
Watu wengine Ni wanakuja kuharibu debate tu yesu mungu amesoma wapi anajikanyaga tu .....fuckn
Kariuki amemjuwa mapema 😂 tume waster
Hiyo lugha hapo mwisho😮😢
Al akhy pls watch your language
Watu wengine Ni wanakuja kuharibu debate tu yesu mungu amesoma wapi anajikanyaga tu .....fuckn
Allah awaongoze waione haki na waifuate
@@salimdaawah123Aamin ya Rabb
@loner_wolf hiyo lugha hapo mwisho😮😢
Kua mpole ndugu lazima hekma Ili watu wajue ukweli