Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kiswahili changu ni haitoshi kabisa🤣 Lakini nitajitahidi!!! Nikikosa, nijulishe🙏🧡
Usijali
Nice food
So yummy!
🥰🥰
Ushind wew ni mzur♥️♥️❤️❤️
Nakupenda sana ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿
Wow! ♥️♥️
Ubarikiwe sana Teacher Ushindi mungu amekuleta duniani kwa ajili ya kutupa Bright watu wa Korea na Tanzania. Nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ukipata bahati yakuonana na Lee byung hun na Kim tae-hee waambie nawapenda sana
Looks delicious!😘🥰
Helo from Tanzania natamani siku moja nije korea nile chakula chenu😋
Jamaniiii unakiswahili kuzuri tena hataaa kutuzidi sie
Come back to 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hii misosi yote Ni shillings ngapi...nimepnda ilo bakuri kubwa Kama supu hivi😋😋😋😋😘
Karibu Korea sana🥰
Ufanye Video ya ASMR itakua nzuri sana 😍
Unakuja Lin Tanzania ushindi?
😋😋 😍😍
Ukirudi TZ nitakuomba unileteye sojju na tupike jajmiyong
Anaongea kiswahili vzur sanaaaaa
Unni nikiwa Tanzania 🇹🇿 naweza kutengeneza kama iyo
Pendasana dadaushindi
Kwanini munakula kwa kutumia vijiti?
Wooow Ushindi 😘😘😘
Du unakula vykula vyote mwenyewe au na mtu mwingine
Teacher moja ya ndoto zangu katika maisha yangu ya safari ni kuja Korea. @Napenda sana korea@Nakupenda sana Teacher wangu Ushindi
Karibu sana🙏
Ushindi Korea huko hakuna ugali eti
Rudi Tanzania ushindi 🤣🤣
Umewahi kunywa mogul (pombe yenu ya asili)
Mchoyo unakula peke yako
mwalim Ushind mimi napenda sana kuongea,kusoma na kuandika Kikorea kwa sababu napenda kuangalia move na filam za kikorea kamm-sam-da
😍😍👍👍
Vyote unakula wewe? Ushindi?
(Nina njaa ✔)
Asante sana🙏👍