Kama tutashindwa kuumpa credit zake Magufuli bs adhabu kubwa itatushukia Siku za usoni. Tuache unafki Kazi kubwa imefanywa na serikali ya awamu ya 5, chini ya Simba wa Afrika John Pombe Joseph Magufuli. Mungu amrehemu ametutendea mema sana Tz
Mim speed Kali ainihusu Sana mim wahudumu tu ndio wananipa rahaaa Sina hata haraka haraka ya Nini ? Wahudumu wanaswauti nyororo sijui nawaza nin mm huko choon sijui muhudum anaweza kutusindikiza jaman🥀🥀🌹❣️
Tuanze route sasa mtoe mkeka wa bei/nauli. Pia hayo majaribio zisiwe behewa tupu wakati watu wapo next time behewa zijae abiria. Tunataka kazi iendelee sio kumsifia tu Mh Rais hilo tayari tunalijua anaupiga mwingi.Ni mi5 tena🖐️✍️🗣️
Muheshimiwa, Rais, Ayati John pombe Magufuli tunamshukuru Sana kwa Haya maono, naamin muh Rais mama Samia anayafuata Haya na ndiyo maana mpaka Sasa kila kitu kinaenda vizuri, naamin mama Samia ni yupo vizuri Sana ila namuombaa Sana hawangalie vizuri watu wake aliowapa majukumu Kwan wengine Kuna uwezekano Mkubwa Uwa wanamuangusha Sana, na raia wakiona hvyo wanabaki kuraumu serikari na mtu wa kwanza wanamlaumu Rais kumbe siyo hvyo, Rais hausike kwa chochote, watu wanaomzunguka tu ndiyo wanamuangusha, NAMPA PONGEZI PIA MAMA SAMIA HOEEEEEE, Asante mama kwa kuvumilia yote, naamin mwakani utapita na utakuja na Sera nzuri za kuinua uchumi wa kila raia au nchi kwa ujumla na kuwa makini na watu WOTE unaowapa majukumu, . UBARIKIWE MAMA.
Cha maana muweke Matanzagazo treni mpya kiandanza kazi Dar mpaka Moro basi Waluguru wahakikishe wameoga nakuvaa ngoo safi kabla ya kupanda treni la siyo wanawaweza wakaingia kwenye treni na magunia ya viazi, jembe na akiwa peku wakitokea milimaya Uluguru kwenda Dar.
@@geraldgogadi7054 Nyerere pia hayupo lakini mawazo yake hutajwa hata miradi zingine aliye anzisha kabla kuondoka uongozini magufuli alikuwa anazitaja.
Watanzania pamoja na viongozi kama kuku atukawii kusaau...mambo yote hayo magufuli tutamkumbuka sana magu. Hii nchi sio masikini viongozi awana uzalendo na nchi yao..
Acheni unafiki na kujipendekeza hii yote ni kazi ya Marehemu Magufuri mpeni Heshima yake yeye ndiye aliyekuwa na maono hays Raisi Samia ameendeleza maono ya Kaka yake Marehemu Magufuri mpeni Heshima yake.
Hii ilikuwa ni East African Community manifesto kujenga SGR kwenye nchinzao ,hii project ikikuwa Kati ya Musseveni,Uhuru Kenyatta na Jakaya Kikwete ,na ikapitishwq katika bunge la Africa Mashsriki na utekelazaji ukaanza wakati wa Mhe Magufuli,na Miundo.mbinu mingi ilimaliziwa na Mhe Samia Suluh Hassan pamoja na ununuaji wa mabehewa na Vichwa na kuwekeza katika umeme wa kutosha.
Asante Magufuli

😂😂😂
😂😂
Hahaha..huyo unasafiri naye night kali,halafu huko ndani ya treni kuna club za pombe
ALLAH Mpumzishe kwa aman anko JPM na umpe uhai na umlinde mama yetu Samia
Msimsahau mtangulizi wake mzee Magufuli mama ametekeleza tumpe ❤❤❤🎉🎉🎉 wote na waziri mkuu bigapu ❤❤❤
Usimsahau mtangulizi. Acheni unafiki
Anasikia?focus kijana
RIP JPM
Kwani wewe, Tatizo lako nini, kwani nani kakwambia kama alioanzisha kasauliwa.
Mama yetu Ameupiga mwingi Sana naitangaza najivunia kutangaza nchi yangu nikiwa 🇺🇲
Aaaaa ❤ Tanzania nchi yetu
Thanks to God, thanks to JPM.
R.I.P UNCLE MAGU
Ahsante Jpm
mbona mnatest wenyew tu tuiten na raia hatutak kusmuliwa
Ukiwa jirani mnapanda tu
lini tena iyo safar m nipo pugu apa nije nione mwenyew alaf kam behew 14 zijazen zote tuone sio kutest tupu bila abilia
Is it open for public viewing/visit while in test runs? When do we know the start of official operation? Nothing stated on your TRC website
Hongera mama Samia Hongera TRC
Magufuli 🎉🔥
Speed===Kasi.
Watanzania bwana! Kiswahili ni chao lakin wanakiharibu
Huhitaji kumtaja Samia,woga tu wa kutumbuliwa 😂😂
Nilishangaa Rais wa Yanga Anampongeza Rais wa Nchi Kwa Timu yake kufuzu Robo Fainali
@@hassan0256 labda Kwa zawadi ya goli la mama 🤣
Tuanze route sasa mtoe mkeka wa bei/nauli. Pia hayo majaribio zisiwe behewa tupu wakati watu wapo next time behewa zijae abiria. Tunataka kazi iendelee sio kumsifia tu Mh Rais hilo tayari tunalijua anaupiga mwingi.Ni mi5 tena🖐️✍️🗣️
Magu njoo ukuuu
Speed ndogo sana. Zipo south ni nouma.
Nmeshangaaaa sana mwendo wa kobe
Majaribio hayafanyikagi na spidi 160 hata siku moja
Nauli shngap jamaniiiii????
Muheshimiwa, Rais, Ayati John pombe Magufuli tunamshukuru Sana kwa Haya maono, naamin muh Rais mama Samia anayafuata Haya na ndiyo maana mpaka Sasa kila kitu kinaenda vizuri, naamin mama Samia ni yupo vizuri Sana ila namuombaa Sana hawangalie vizuri watu wake aliowapa majukumu Kwan wengine Kuna uwezekano Mkubwa Uwa wanamuangusha Sana, na raia wakiona hvyo wanabaki kuraumu serikari na mtu wa kwanza wanamlaumu Rais kumbe siyo hvyo, Rais hausike kwa chochote, watu wanaomzunguka tu ndiyo wanamuangusha, NAMPA PONGEZI PIA MAMA SAMIA HOEEEEEE, Asante mama kwa kuvumilia yote, naamin mwakani utapita na utakuja na Sera nzuri za kuinua uchumi wa kila raia au nchi kwa ujumla na kuwa makini na watu WOTE unaowapa majukumu, . UBARIKIWE MAMA.
kwani ile kilipu yangu ikowapi nijiwa kamata mm naima omary
Kwani za mchongoko ziko wapi nyinyi vipi jamani
Yaani waandishi wanajibu hii hatari sana
Mangufuli😢😢
vichwa vilivyo chongoka viko wapi maana vilionekana kipindi vinatengenezwa sahivi viko wapi🤷
R.I.P Magufuli
Tutakukumbuka Rip magu
Ile ya kuchongoka IPO wapi
Inavutia sana
🇰🇪🇰🇪jirani ataficha wapi sura yake na treni lake la gari moshi la mwaka 1889😂😂😂😂
Mama Samia hoyee
Yaan ktk Tren nzima ni wanawake tu?!
Tuambieni mmetumia muda gani?
Saa mbili,wametaja muda
Siku mtafanya test nyingine itangazwe ili wale wanaosafiri njia hiyo wapate hiyo ofa...
Una mawazo kama yangu
@@AllyGibu-cz2vo wanaogopa ajali kubwa,hao viongozi wamejitolea kuwa sample
hawa jamaa wanaoimba wananikera sana kwakweli hawaezi nyamaza hawa?😢😢
Sasa apo nan kama mama samia kaingiaje tena
Najiuliza hii ni ya mwendo kasi au mwendo wa pole
Mwendo kasi
Endelea kulala JPM
Mmepiga ngapi, maana mmeleta mabehewa ya mtumba na vichwa
Behewa sio za kisasa pamoja na kichwa,Tunfanana nakenya ambao walianza.
Kwenda huko Kenya... usitupigie kelele
Ao mnaandika abiria ni maccm tu, mnachukua wapambe mnasema ni abiria.
Nani kama Magufuli?????
Na huu umeme wa mgao itakuwaje
Cha maana muweke Matanzagazo treni mpya kiandanza kazi Dar mpaka Moro basi Waluguru wahakikishe wameoga nakuvaa ngoo safi kabla ya kupanda treni la siyo wanawaweza wakaingia kwenye treni na magunia ya viazi, jembe na akiwa peku wakitokea milimaya Uluguru kwenda Dar.
Mbona sioni wahudumu wa kiume? Acheni ubaguzi.
Umekosa hoja
Nani kama Magufuli
Hayupo
@@geraldgogadi7054 Nyerere pia hayupo lakini mawazo yake hutajwa hata miradi zingine aliye anzisha kabla kuondoka uongozini magufuli alikuwa anazitaja.
Hayupo na hatotokea
Ukitaka kujua Magufuli alikuwa mtu utaona jinsi wanakwepa hata kumtaja jina lake😅
Wapen na lift sasa watu wa moro na dar kila mkifanya majaribio...
Nani kama Magufuli?
Acheni kumpa kiki ambae kaikuta mpeni sifa zake mwanzirishi
Jamani acheni kampeni za kipuuzi sisi ndo tuna lipa kodi na tozo kila kona
Mbarawa imechoka wapishe wengine
Watanzania pamoja na viongozi kama kuku atukawii kusaau...mambo yote hayo magufuli tutamkumbuka sana magu. Hii nchi sio masikini viongozi awana uzalendo na nchi yao..
Bado speed ni ndogo sana viongozi
Hizo Kodi zetu sasa Samia anakujaje Acheni kujipendekezaza
Hizo testi zenu angekuwepo mwenyewe muazilishi leo tusingekua tunatesti ungekua nj usafili na watu wameshaizoea lkn kwa Sasa mmmmh hakuna kitu
Kwa nini UONGO TU Ndg yangu Kadogosa?? Kipande Mwz _ Isaka ilishaanza ujenzi why Why?? Hii Nchi ni mhm sana sio UONGO TU
Natumaini Magufuli angekua hai wewe usingekuwepo ofisini magoigoi sana
Mradi unapokawia kuanza kuzalisha faida, Costa hupanda na unapoteza maana!!!
Mwamba kaondoka endeleeni kupeleka mchanga ulaya
Kinacho mponza huyu kanga ni mdomo acheni ujinga alah ! Unamwacha wapo mwamba JPM
Acheni unafiki na kujipendekeza hii yote ni kazi ya Marehemu Magufuri mpeni Heshima yake yeye ndiye aliyekuwa na maono hays Raisi Samia ameendeleza maono ya Kaka yake Marehemu Magufuri mpeni Heshima yake.
Serikali ya hawamu ya 6 ztachakaa sasa hivi na hakuna matengenezo, nasubria hadhi ya leo umeme mdgo haiwez kusafiri mpka kesho
Magufuli
Tuache mambo ya kinafik huo mrad pongez zote ziende kwa jpm mzee wetu magu yy ndio chuma na hakij tokea chuma kama hicho kamweeeeee
Hapo mgeweka wanchi wa kawaida na si ninyi wenye nyasifa mbalimbali
Waambie, maana wanajitekenya na kucheka wenyewe
Agizane vichwa vya spidi kubwa kama 360km/h, mwendo Kasi hupunguzwa na dereva pekee
Hio speed kubwa sana walete vya 250km/h tu vinatufaa kwa kuanzia
@@crershawmafia1009 hata hiyo ya 250km/h nzuri
Bila uongozi kama MAGU KAMWE Baba tutakukumbuka
Hii ilikuwa ni East African Community manifesto kujenga SGR kwenye nchinzao ,hii project ikikuwa Kati ya Musseveni,Uhuru Kenyatta na Jakaya Kikwete ,na ikapitishwq katika bunge la Africa Mashsriki na utekelazaji ukaanza wakati wa Mhe Magufuli,na Miundo.mbinu mingi ilimaliziwa na Mhe Samia Suluh Hassan pamoja na ununuaji wa mabehewa na Vichwa na kuwekeza katika umeme wa kutosha.
Magu tuna kukumbuka sana hii serikali ya mama Samia ni ya mchongo tu na propaganda hakuna lolote
NANI KAMA MAGUFULI ???
Huyo mzee ndio aliyegusa Bandari muda si mrefu nasikia na treni yenyewe imeuzwa
Majitu bwana hebu muwe waungwana mngepewe nyie ndio mngekuwa waaminifu saana? Acheni hasadi woote sie wizi hatujapata tu hizo nafasi
Ni kweli hawakupata nafasi wamepata unafiki
vichwa vilivyo chongoka viko wapi maana vilionekana kipindi vinatengenezwa sahivi viko wapi🤷