Daaah pesa pesaaaaa pesa 🙌🙌🙌 ngoja nikasikilize nyimbo ya tunda #pesa Allah Kareem binaadam tuna roho ngumu sana kwakweli tuishin kwa wema na tumuogope Mungu haya yote hayawezi kutokea Allah awarehemu wotee waliokwisha tangulia Amiiin yarrab 🤲😢
Ipo mahakama ya kweli inawasubiri mbinguni , wasijione wao ni washindi duniani as kila nafsi itaonja umauti.Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani marehemu , Amen
Dah mimi sijui ingekuwaje hili swala ni gumu mnoooo,hivi sheria ikoje umeelezea vizuri,huyu dada kaiwawa na waliouwa wanajijua wapo mtaani kwavyovyote hii dhambi haitawaacha salama wajue hilo.sheria itasema ila Mungu atasema nao.watapigwa na Mungu hadi washangae
Mke wa Msuya, kama hujaua, basi pole kwa hali iliyokukuta. Lakini kama kweli umeua, elewa Mungu yupo macho siku zote, Mungu halali, Atahukumu bila upendeleo. maana Mungu sio mjomba wa mtu.
Malipo ni hapa hapa duniani mie hii familia naijua vizuri.Erasto ametafuta Mali Kwa kushirikiana na familia Yao hasa dadake mkubwa Segorina toka waliuza nguo pale soko kuu mireranina hajaanza kujihusisha na mdini.anaejua ukweli wa hili jambo ni Mungu na wauaji
Yote Kwa yote ,mungu anaona ,anasikia,halali Wala hasinzii,,Kikubwa kama alihusika ktk Hilo matokeo ya malipo tutayaona hapa hapa tukiwa hai ,waliohusika mara nyingi Huwa na mwisho mbaya sana 😢😢😢
Mungu nimwema mama wa watoto ni bora ushinde uungane na watoto wako wameteseka ķimwili kiroho. Mungu akulinde uweze kukaa na watoto wako jamani take care of yourself and your family. Remember prayers and fasting in your life is key of life
1.Sheria duniani, haki Mbinguni. 2. Watumishi wa serikali (upande wa jamhuri), malipo madogo na hakuna uwajibikaji ukishindwa au kuleta mkanganyiko, tofauti na malipo aliyopata Kibatala, lazima aumize kichwa 3. Hati ya mashitaka ilisema kushiriki kuua au kupanga njama? Kama haikusema hata wakili wa mchongo angeshinda hii case, sababu watu na mahela yao hawawezi kwenda wao kukata shingo, wanatumwa vidampa. 4. Wakili wangu hana muhuri bado.
Yaaaani kimsingi ni kwamba unaweza kutenda kosa kweli. Ila mshtaki wako hama hajui wapi pa kukushika vizuri na vifungu gani vya kuzingatia na vitu gani vya kusema na kutokusema. Basi swala la ww kushindwa ni kawaida
MTUHUMIWA tangu polisi alikubali kua kafanya kosa sasa utasemaje mtuhumiwa hausiki nyie wanasheria na polisi mbinguni mtapasikia tuu hamtendi haki mnanyanyas sana watu na mm walionionea wote ipo siku yatawatokea puani nawambia serikal hamna haki kabsa mnakera na mnaboa sana tupo hapa nawaangalia tuu nawaesabia siku nawambieni mtu kua amekubali kaua afu mnakataa nyie mungu anawaona endeleeni kutupotosha
Wewe uliye leta makara hii pia unatetea wauuaji bila aibu na kisa chakutuletea hii makala nikutuaminisha kuwa jaji na mahakama wakoo sahihi..naamini yatakukuta nawewe iko siku aina jina😢
Kweli kabisa jaji mkuu yupo mbinguni. Aneth amepumzika. Sisi tunapigania mali ambazo tutazoacha punde. Hakuna atakaeishi milele hapa duniani. Vyote hivi tutaviacha hapahapa duniani. @@KanadeMrangu
Mtamtetea uyu mama lakini nibora Sheria ichukue mkondo wake ahukumiwe kuliko aue wenzake alafu atoe pesa nawakili amsimamie kuwa anahaki Kama atabaki huruma lakini hatayafurahia maisha nae mungu atamshuhurikia maana anakuona nawewe unaemtetea iyo ni njaaa mungu anawaona mkitengeneza maneno ya uongo ukweli unaonyesha mke WA marehemu ni muuwaji
Mahakamani hakuna haki ni upuuzi tu unaendelea huko. huko ni sehemu ya kuoneshana nani ana mpunga zaidi. Mlalamikaji ukiwa na hela Mtuhumiwa anaenda na maji mapema tu haijalishi kafanya au hajafanya. hapo hela za Marehemu Bilionea Musuya ndio hizo hizo zimetumika kumaliza mambo.
Daaah Allah Kareem binaadam tuna roho ngumu sana kwakweli tuishin kwa wema na tumuogope Mungu haya yote hayawezi kutokea Allah awarehemu wotee waliokwisha tangulia Amiiin yarrab 🤲😢
Kama huyu mama alihusika kwa ushahidi nao uona kama amehusika akatumia rushwa kuachiwa sasa hana maisha huku mtaani gadhabu ya Mungu imewaka juu yake na hao washenzi alio waajiri watateseka aana mpaka wataondoka na huyo Jaji alihukumu kama amekula rushwa basi hana Muda nrefu wakuishi kwa amani.Damu za hawa ndugu zina walilia
Ukweli ni kuwa kama kweli hawakuhusika mungu ndiye anayejua na malipo ni hapa hapa duniani. Damu ya mtu haimwachi mtu salama na wala rushwa kutaka kuneemesha matumbo yao kwa dhuluma ya roho ya mtu majibu yapo mbele watayakuta tu. Na kama ni kweli hukumu inawasubiri kwa mungu hapo ndio itakuwa tamu au chungu.
Hii case inasikitisha na naikumbuka ilivyotokea. Hii ni fundisho kwa wengi mnaopenda kuchukua mali za ndugu zenu. Mtu ametafuta hela na mke wake ni mali ya mke na sio wazazi wala ndugu. Ni mali ya mke na watoto. Mtu akiona haki haipatikani mahakamani basi anaweza kufikia kufanya mambo mabaya ambayo hakudhamiria kufanya. Cha kujifunza hapa ni kuwa tafuta mali yako. Mali ya ndugu sio yako.
@@edakilibika5935 umesema wewe. Nimesema watu wakikosa hakim mahakamani ndio wanafanya mambo mengi mabaya. Ninavyokumbuka hii case hao ndugu za mume hawakumtendea haki huyo mama. Haina maans ndio a license to kill but I am not surprised by what she did.
Yan hapo hata msemeje inaonyesha ni kweli na msichana wa kazi ndio kila kitu ktk ushahidi. Na kama huyo mama alikiri mpaka hapo Kuna nn? Mpaka aachiwe huru? Jamani kweli ndio maana unaambiwa marehemu hana haki hapa duniani lkn kwa mungu itapatikana tu.
Msipende kuhukumu watt kwani huyo msichana wa kazi alienda wapi siku ya mauwaji mbona hakuwa kwa bosi wake angekuwepo angewaona wauwaji laivu. Huyo msichana ni shahidi wa kutengeneza tu na ndio Mungu kawaumbuwa mashahidi wametofautiana. Mama pole sana nanda kale watt wako. Tumaomba tu wakuwekee ulinzi maana hao wifi zako na wake zako wanatamaa ya Mali za watt wake sana wasije wakakuuwa na wewe wakasingizia Mungu kajibu.
MTUHUMIWA tangu polisi alikubali kua kafanya kosa sasa utasemaje mtuhumiwa hausiki nyie wanasheria na polisi mbinguni mtapasikia tuu hamtendi haki mnanyanyas sana watu na mm walionionea wote ipo siku yatawatokea puani nawambia serikal hamna haki kabsa mnakera na mnaboa sana tupo hapa nawaangalia tuu nawaesabia siku nawambieni mtu kua amekubali kaua afu mnakataa nyie mungu anawaona endeleeni kutupotosha
Sijui km aliua au alibambikiwa tu huyu mama. Ila nililia sana kipindi watoto wake huyu mama wakiacha shule na kunyanyaswa na upande wa baba Yao. Kiukweli ndugu upande wa mume sijui waliumbwa CA siku gani
MAHAKAMA ZA TANZANIA HAZITENDI HAKI....huyu mama bila shaka anahusika ila anatumia pesa .Mama alikiri kuuwa kabisa ..Sheria za TANZANIA ni za ovyo sana
Wakili kaeleza vizuri sana hapo kachambuwa vizuri tu mtu anaweza kukiri kosa hata kama hajafanya hilo kosa ili kuepuka kipigo au vitisho kwa hao waliomkamata ili mradi wamuachie uhai akajitetee mbele (mahakamani)
Sheria ni tasnia ya kijanjajanja na kihunihuni inahitaji watu wenye uadirifu wa hali ya juu sana. Kwa maoni yangu, mswahili hajawahi kuwa ni mtu wa haki kwahiyo hii tasnia haimhusu. Suala la haki, nani kafanya nini na nani hajafanya ni ngumu sana kufahamu Afrika. Mara nyingi, wenye hela wamekuwa wakikwepa suala la haki na sioni ajabu katika kesi hii. Mwanasheria ni Mungu tu and probably wazungu ambao uadirifu kwao ni jambo la kawaida sana sio watu wa deal na ujanjaujanja kama waswahili.
Ningependa zaidi kusikia ushahidi wa moja kwa moja au kimazingira ya SIMU iwapo kama ilifanyika. Pili hitimisho Vina 7 ilikuwaje halikufanyika kabla ya hukumu? Damu ya marehemu/ ndugu kushabahaishwa na ya mtuhumiwa kupitia kifaa cha ncha kali kilichokutwa eneo la tukio.
M2 kakiri kuuwa alafu anaachiwa Hakika Mungu sio mwanadam kama alihusika kuuwa mtoto wa mwanamke mwenzie tena alietoka kupata majanga ya kuuliwa mtoto mwingine aisee Utalipwaa
Maelezo ni mengi yanachosha kwa maana nyingine yanachengachenga, ila ushauri wangu wewe nenda kashadadie kesi ya mtu halafu ukakiri mbele za hao mnaoita walinzi wa amani halafu ukute huna hata mia mfukoni. Ukitoka uje unywe pepsi baridi kwa mangi hapa.
Huyu wakili anaeongooe nae naona kama kuna walakini ,huo kesi wametumia udhaifu wa baadhi ya vifungu na kuna harufu ya mambo fulani kutengeneza mazingira ushahidi uharibike
nadhani nimekuelewa koote ispokuwa sehemu ya mwisho.. kwamba vinasaba vilivokutwa kwenye kisu vilishabiana na mtuhumiwa namba 2, then walitakiwa kuchukua sample ya damu ya marehemu kulinganisha na mtuhumiwa namba 2,ili kujua ikiwa vinashabiana kati ya hawa 2, swali (1) kulikuwa na umuhimu gani wa kulinganisha kati ya vinasaba vya marehemu na mtuhumiwa namba 2? swali (2) vinasaba vilivokutwa kwenye kisu kilichitumika kwenye mauaji hayo vinaweza kushabiana na watu zaidi ya moja yaani vishabiane na mtuhumiwa na wakati huo huo vishabiane na marehemu?
🚶haki ni kwa wenye pesa na kama wenye pesa wakikosa haki basi jua wako na utofauti na wenye nchi🚶yaani hawaelewani aidha wanamigogoro yao binafsi au mabifu yenye chuki ndani yake🚶🚶🚶
Hao walikuwa na nia kabisa walikuja mara ya kwanza mara yapili wakamwambia huyo dada wa kazi haondoke. Kingine huyu dadd wa kazi angerpoti tu umauti usinge mpata
Yaani mtu unaropoka tu sheria hujui unaropooka. Yaani huwezi hata kufikiria mtu kauwawa Dar kigomboni kibada wauwaji wakamatiwe Arusha tena wote wawili. Nyie acheni hizo
Jamani mkifanya biashara msishee na ndugu km kaka na dada baadae zinaletaga shida km hizo kuuana napili? Hizo hukumu za duniani ni za kipesa km unayo hata uue unatoka faster namahakani mwenye pesa ndo anakuwa na haki hivyo baadae ya hukumu duniani tunangojea hukumu ya mungu Iko juu mbingini hivyo msihofu Bado Moja asiedanganyika nae ni mungu peke yake subirieni ila nashauri pataneni tuu mkingoja hukumu ingine
ukweli anaujua mungu juu ya mauwaji ayo sasa mama msuya ukiwa umeusika kweli subiri mama utaozaaa ukiwa hai ila ikiwa ijausika na mauwaji ayoa utatunzwa na mungu kwenye kila eneo maana mungu anawaheshi wajane
Daaah pesa pesaaaaa pesa 🙌🙌🙌 ngoja nikasikilize nyimbo ya tunda #pesa
Allah Kareem binaadam tuna roho ngumu sana kwakweli tuishin kwa wema na tumuogope Mungu haya yote hayawezi kutokea Allah awarehemu wotee waliokwisha tangulia Amiiin yarrab 🤲😢
Mwenyezi Mungu anawajua waliofanya hivyo,,,pole sana kwa familia ya mfiwa,,,
mtuhumiwa kaua ila wanatupotosha tu apa
Yaaani inauma sana jamani 😭😭😭
Ipo mahakama ya kweli inawasubiri mbinguni , wasijione wao ni washindi duniani as kila nafsi itaonja umauti.Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani marehemu , Amen
Kweli usemavyo
Ukweli siku zote utawatesa kama sio wao basi Mungu atawanyooshea njia na kuwafutia kila hila
Nimefurahi sana umetuchambulia vizuri na tumeelewa.kweli Mungu yupo
❤❤ahsante sky kwa kutuletea mwanasheria kutujuza nn kimetokea mahakaman❤❤❤
we unashukuru nn wakat anatupotosha
Hakimu wa Haki ni Mungu!
Nikweli usemacho
Dah mimi sijui ingekuwaje hili swala ni gumu mnoooo,hivi sheria ikoje umeelezea vizuri,huyu dada kaiwawa na waliouwa wanajijua wapo mtaani kwavyovyote hii dhambi haitawaacha salama wajue hilo.sheria itasema ila Mungu atasema nao.watapigwa na Mungu hadi washangae
Daa!Advocate umechambua vizuri sana,nimeielewa kesi na hukumu,tuache tu,nitoe pole kwa Familia ya Maisha kupoteza ndugu wawili, Mungu awape nguvu
Mungu ndiye mhukumu wa haki na anaujua ukweli wote
Haya chukueni hela mtajirike lakini damu ya mtu haimwagiki bure Mungu atahukumu
Mungu atasimama Damu ya know Aneth Italia daima kibatala Mungu halali wala hasinziii
Mke wa Msuya, kama hujaua, basi pole kwa hali iliyokukuta. Lakini kama kweli umeua, elewa Mungu yupo macho siku zote, Mungu halali, Atahukumu bila upendeleo. maana Mungu sio mjomba wa mtu.
Kweli kwa binaadamu ataficha lakini kwa Mungu je napo ataficha
Mpaka hapo anayo haki kuwa huru tena
Mungu amejibu maombi ya wengi! Mama yangu na bosi wangu pole sana na mungu akupe nguvu ya uvumilivu
Anakuja wewe
Malipo ni hapa hapa duniani mie hii familia naijua vizuri.Erasto ametafuta Mali Kwa kushirikiana na familia Yao hasa dadake mkubwa Segorina toka waliuza nguo pale soko kuu mireranina hajaanza kujihusisha na mdini.anaejua ukweli wa hili jambo ni Mungu na wauaji
Mm kiukwel yule hakimu wakili mimi kiukwel nimewaombea kwa mungu kiukwel wakawe kuni tena kuni za milele
Jizongeni ila kuna mikono ya Allah inawasubiri
Yote Kwa yote ,mungu anaona ,anasikia,halali Wala hasinzii,,Kikubwa kama alihusika ktk Hilo matokeo ya malipo tutayaona hapa hapa tukiwa hai ,waliohusika mara nyingi Huwa na mwisho mbaya sana 😢😢😢
Huyo mama unamuonaje kwanza anavoangalia
Namuona anakiburi hatari
Yesu ameua tena munguangu mali hainadhaman kama utu
LAW VS JUSTICE. THANKS A LOT LAWYER
YOU EXPLAIN VERY PROFESSIONAL WITHOUT HARD FEELING
Explained
Ndo tunajifunza kiinglish ndg yanguu, mambo ya now and past... kazi kweli
Mrija vs mrita
Mungu nimwema mama wa watoto ni bora ushinde uungane na watoto wako wameteseka ķimwili kiroho. Mungu akulinde uweze kukaa na watoto wako jamani take care of yourself and your family. Remember prayers and fasting in your life is key of life
Sheria ni kinyume cha haki wachache sana wataelewa hii
1.Sheria duniani, haki Mbinguni.
2. Watumishi wa serikali (upande wa jamhuri), malipo madogo na hakuna uwajibikaji ukishindwa au kuleta mkanganyiko, tofauti na malipo aliyopata Kibatala, lazima aumize kichwa
3. Hati ya mashitaka ilisema kushiriki kuua au kupanga njama? Kama haikusema hata wakili wa mchongo angeshinda hii case, sababu watu na mahela yao hawawezi kwenda wao kukata shingo, wanatumwa vidampa.
4. Wakili wangu hana muhuri bado.
Yaaaani kimsingi ni kwamba unaweza kutenda kosa kweli. Ila mshtaki wako hama hajui wapi pa kukushika vizuri na vifungu gani vya kuzingatia na vitu gani vya kusema na kutokusema. Basi swala la ww kushindwa ni kawaida
MTUHUMIWA tangu polisi alikubali kua kafanya kosa sasa utasemaje mtuhumiwa hausiki nyie wanasheria na polisi mbinguni mtapasikia tuu hamtendi haki mnanyanyas sana watu na mm walionionea wote ipo siku yatawatokea puani nawambia serikal hamna haki kabsa mnakera na mnaboa sana tupo hapa nawaangalia tuu nawaesabia siku nawambieni mtu kua amekubali kaua afu mnakataa nyie mungu anawaona endeleeni kutupotosha
Wewe uliye leta makara hii pia unatetea wauuaji bila aibu na kisa chakutuletea hii makala nikutuaminisha kuwa jaji na mahakama wakoo sahihi..naamini yatakukuta nawewe iko siku aina jina😢
uonezi kabisa,ngoja Mungu ni mkuu ataleta Magufuli mwingine mtakoma na uonezai ameuwawa kabisa,mnabadili kisa mmepewa hela
kweli kabsa 😢
Wakati wa Mungu ni sahihi aliye hukumu ni Mungu siyo mwanadamu
Mungu ndo akimu wa kwel! Sante Kwa ufafanuzi wa kisheria
Kama ndio ivyo watoeni wafungwa wote magerezani kwa ufafanuzi uwo hakuna mfungwa.naiomba serikali ivunje magereza iwe open space😢😢
Judge wa kweli ni Mungu mwenyezi kupitia mwanae bwana wetu yesu kristo haya mengine ya sheria za dunia ni kudanganyana tuh
👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏
Kweli kabisa jaji mkuu yupo mbinguni. Aneth amepumzika. Sisi tunapigania mali ambazo tutazoacha punde. Hakuna atakaeishi milele hapa duniani. Vyote hivi tutaviacha hapahapa duniani. @@KanadeMrangu
Mungu akasimame katika haki
MWANASHERIA UPO VIZURI SANA KATIKA KUTOA MAELEZO TUNAKUELEWA VIZURI MNO 🙏👍👏
Kama waliua, basi Shuhuda ni Mungu, hivyo yeye alishasema Auaye kwa upanga atauliwa kwa upanga
Mtamtetea uyu mama lakini nibora Sheria ichukue mkondo wake ahukumiwe kuliko aue wenzake alafu atoe pesa nawakili amsimamie kuwa anahaki Kama atabaki huruma lakini hatayafurahia maisha nae mungu atamshuhurikia maana anakuona nawewe unaemtetea iyo ni njaaa mungu anawaona mkitengeneza maneno ya uongo ukweli unaonyesha mke WA marehemu ni muuwaji
N kwl aliua😢😢😢dunia bana…alo kufa sku zote ndo mwenye hasara….angenyongwa huyo
Sura tu inaonyesha...
Kabisa
Msihukumu mkaja mkahukumiwa.
Mahakamani hakuna haki ni upuuzi tu unaendelea huko.
huko ni sehemu ya kuoneshana nani ana mpunga zaidi.
Mlalamikaji ukiwa na hela Mtuhumiwa anaenda na maji mapema tu haijalishi kafanya au hajafanya.
hapo hela za Marehemu Bilionea Musuya ndio hizo hizo zimetumika kumaliza mambo.
Kweli hawa wanasheria wanachoangalia ni maslahi yao binafsi na siyo haki
Daaah Allah Kareem binaadam tuna roho ngumu sana kwakweli tuishin kwa wema na tumuogope Mungu haya yote hayawezi kutokea Allah awarehemu wotee waliokwisha tangulia Amiiin yarrab 🤲😢
Mkiisha maliza kesi kwenye mahakama za duniani.... Tukumbuke kuwa kuna mahakama ya Mungu mwenye kutoa haki ya kweli....
Wakili unajaaa ndio inayoongea,dunia imekwisha mtu anaua binaadamu wenzie kama kuku kweli inasikitisha sana duuuh
Ila kuna watu wana Roho mbaya sana Toto zuri hivo unathubutu kulichinja kama Kuku
Km wameua kwel hakimu wa haki ni mungu pekee ndio atawahukumu ila pia na wao wakae wakijua ipo siku watakufa..
Anauwaje mtu yuko arusha aliyekufa kafa dar??🤷🏻♂️😅😅😅
Kwan usafir wa kumpeleka mpk Arusha hamna? Mtu kabla hajafanya mauj hakurupi anajipanga vzr wanaokurupuka ni wachache sana ila damu ya mtu haipotei
Hatakam atafurah baada ya kushinda kesi ajue kuna mahakam ya mungu ,
Mungu tujalie wake wema ila wadada wa kaskazin ni mafia ndio maaan wengi wao wamelaaaniwa na mungu
Yaani jamani huyu mama wamemuonea sana na hii yate imefanya hata wauwaji wasijulikane
kweli MUNGU ndio hakimu wa kweli
Mungu ndiye hakimu mkuu
Kama aliua kweli mungu aliye silin atakumchoma moto na kama alisingiziwa maamuz yote ni mungu
Kama huyu mama alihusika kwa ushahidi nao uona kama amehusika akatumia rushwa kuachiwa sasa hana maisha huku mtaani gadhabu ya Mungu imewaka juu yake na hao washenzi alio waajiri watateseka aana mpaka wataondoka na huyo Jaji alihukumu kama amekula rushwa basi hana Muda nrefu wakuishi kwa amani.Damu za hawa ndugu zina walilia
Ana Hatia mke Wa marehemu Msuya iyo kesi alitengenezewa Kwa walikuwa na uchu Wa Mali za Mumewe
Ana Hatia Au Hana Hatia?
@@trophywilson7211ndio hapo sasa😂😂
Kwaio wamemsingizia mpaka kuua mtu
Kumbe hakuna ambacho hakiwez kupinda mbele ya pesa..😢
Watu wa psychology….. si hua mkiangalia face tu mnapata majibu…. Embu tupeni ukweli basi au hamjaona vizuri bado….
Ukweli ni kuwa kama kweli hawakuhusika mungu ndiye anayejua na malipo ni hapa hapa duniani. Damu ya mtu haimwachi mtu salama na wala rushwa kutaka kuneemesha matumbo yao kwa dhuluma ya roho ya mtu majibu yapo mbele watayakuta tu. Na kama ni kweli hukumu inawasubiri kwa mungu hapo ndio itakuwa tamu au chungu.
M mungu walouwa uyu mtu tena wasixhukue hata mwezi nao wafe kikatili na kifo cha dhariri
Mdogo wa msuya mzuri kwakweli huu ukoo wazuri kaka mtu naye mzuri .
Sanaaaa Yan MashaAllah 😊❤️😘
Hii case inasikitisha na naikumbuka ilivyotokea. Hii ni fundisho kwa wengi mnaopenda kuchukua mali za ndugu zenu. Mtu ametafuta hela na mke wake ni mali ya mke na sio wazazi wala ndugu. Ni mali ya mke na watoto. Mtu akiona haki haipatikani mahakamani basi anaweza kufikia kufanya mambo mabaya ambayo hakudhamiria kufanya. Cha kujifunza hapa ni kuwa tafuta mali yako. Mali ya ndugu sio yako.
Na waligawiwa lakini hawaridhiki bado
Mda mwengne huyo mtafutaj je km na ndug pia wamechangia je man kuna mda ndug mnampa ndug yen pesa ya mtaji.
Kwahiyo unasaport mauaji??
@@edakilibika5935 umesema wewe. Nimesema watu wakikosa hakim mahakamani ndio wanafanya mambo mengi mabaya. Ninavyokumbuka hii case hao ndugu za mume hawakumtendea haki huyo mama. Haina maans ndio a license to kill but I am not surprised by what she did.
@@FatumaMohamedi-t6t kumpa mtu mtaji haina maana unyang'anye mke mali zake.
Damu ya mtu haiendi bure huyu mama hatakaa kwa amani maisha yote
Yan hapo hata msemeje inaonyesha ni kweli na msichana wa kazi ndio kila kitu ktk ushahidi. Na kama huyo mama alikiri mpaka hapo Kuna nn? Mpaka aachiwe huru? Jamani kweli ndio maana unaambiwa marehemu hana haki hapa duniani lkn kwa mungu itapatikana tu.
Huyo binti anahitaji ulinzi kwa maisha yake yaliyobaki!
Msipende kuhukumu watt kwani huyo msichana wa kazi alienda wapi siku ya mauwaji mbona hakuwa kwa bosi wake angekuwepo angewaona wauwaji laivu. Huyo msichana ni shahidi wa kutengeneza tu na ndio Mungu kawaumbuwa mashahidi wametofautiana. Mama pole sana nanda kale watt wako. Tumaomba tu wakuwekee ulinzi maana hao wifi zako na wake zako wanatamaa ya Mali za watt wake sana wasije wakakuuwa na wewe wakasingizia Mungu kajibu.
Mawakili wanapindisha Sheria ili wapige pesa.Mungu pekee ndie jaji wa kweli
Nlitaka kushangaa SNS wasilete ufafanuzi juu ya hii kesi.... Finally mmeleta SNS mpo juu mbarikiwe sana tunajifunza mengi🙏🙏🙏🙏 mnastahili tuzo
MTUHUMIWA tangu polisi alikubali kua kafanya kosa sasa utasemaje mtuhumiwa hausiki nyie wanasheria na polisi mbinguni mtapasikia tuu hamtendi haki mnanyanyas sana watu na mm walionionea wote ipo siku yatawatokea puani nawambia serikal hamna haki kabsa mnakera na mnaboa sana tupo hapa nawaangalia tuu nawaesabia siku nawambieni mtu kua amekubali kaua afu mnakataa nyie mungu anawaona endeleeni kutupotosha
Sijui km aliua au alibambikiwa tu huyu mama. Ila nililia sana kipindi watoto wake huyu mama wakiacha shule na kunyanyaswa na upande wa baba Yao. Kiukweli ndugu upande wa mume sijui waliumbwa CA siku gani
MAHAKAMA ZA TANZANIA HAZITENDI HAKI....huyu mama bila shaka anahusika ila anatumia pesa .Mama alikiri kuuwa kabisa ..Sheria za TANZANIA ni za ovyo sana
Wakili kaeleza vizuri sana hapo kachambuwa vizuri tu mtu anaweza kukiri kosa hata kama hajafanya hilo kosa ili kuepuka kipigo au
vitisho kwa hao waliomkamata ili mradi wamuachie uhai akajitetee mbele (mahakamani)
Mh ngumu kumeza
Uchaga zaidi
Yupo M ungu aonaye sirini.
Jamn Aneth continue to rest in power
Wakate rufaa hili limwanamke nilikatili sana ,sura mbaya
Sura inatisha
Hollywood wamefanikiwa sana kwa hili! ... yaani kuhusisha sura za watu na tabia za watu! 🤣
Sheria ni tasnia ya kijanjajanja na kihunihuni inahitaji watu wenye uadirifu wa hali ya juu sana. Kwa maoni yangu, mswahili hajawahi kuwa ni mtu wa haki kwahiyo hii tasnia haimhusu. Suala la haki, nani kafanya nini na nani hajafanya ni ngumu sana kufahamu Afrika. Mara nyingi, wenye hela wamekuwa wakikwepa suala la haki na sioni ajabu katika kesi hii. Mwanasheria ni Mungu tu and probably wazungu ambao uadirifu kwao ni jambo la kawaida sana sio watu wa deal na ujanjaujanja kama waswahili.
Ningependa zaidi kusikia ushahidi wa moja kwa moja au kimazingira ya SIMU iwapo kama ilifanyika.
Pili hitimisho Vina 7 ilikuwaje halikufanyika kabla ya hukumu?
Damu ya marehemu/ ndugu kushabahaishwa na ya mtuhumiwa kupitia kifaa cha ncha kali kilichokutwa eneo la tukio.
M2 kakiri kuuwa alafu anaachiwa Hakika Mungu sio mwanadam kama alihusika kuuwa mtoto wa mwanamke mwenzie tena alietoka kupata majanga ya kuuliwa mtoto mwingine aisee Utalipwaa
Sheria kitu cha kindezi sana, ushidia kido unaweza ukamfanya a guilty person to just out free AF
Kwahyo wauaji serikali haiwatafuti tn.. ila hapo ni sheria imepindishwa
Maelezo ni mengi yanachosha kwa maana nyingine yanachengachenga, ila ushauri wangu wewe nenda kashadadie kesi ya mtu halafu ukakiri mbele za hao mnaoita walinzi wa amani halafu ukute huna hata mia mfukoni. Ukitoka uje unywe pepsi baridi kwa mangi hapa.
Mungu ndo Hakimu kila mwanadamu
Aaah no!!, Mahakama umezingua for sure
MUNGU HANA HISTORIA YAKUSHINDWA JAMBO LOLOTE LILE HAPA DUNIANI,,,ANAJUA NI LINI ATAFANYA,,,HASINZII WALA HALALI😢😢😢😢😢
Tumwachie mungu nyinyi mpo kibiashara tu gadeeemiti
Yesu wangu tusaidie
😢😢😢😢 pesa niharamu ila iposiku
Huyu wakili anaeongooe nae naona kama kuna walakini ,huo kesi wametumia udhaifu wa baadhi ya vifungu na kuna harufu ya mambo fulani kutengeneza mazingira ushahidi uharibike
nadhani nimekuelewa koote ispokuwa sehemu ya mwisho.. kwamba vinasaba vilivokutwa kwenye kisu vilishabiana na mtuhumiwa namba 2, then walitakiwa kuchukua sample ya damu ya marehemu kulinganisha na mtuhumiwa namba 2,ili kujua ikiwa vinashabiana kati ya hawa 2, swali (1) kulikuwa na umuhimu gani wa kulinganisha kati ya vinasaba vya marehemu na mtuhumiwa namba 2? swali (2) vinasaba vilivokutwa kwenye kisu kilichitumika kwenye mauaji hayo vinaweza kushabiana na watu zaidi ya moja yaani vishabiane na mtuhumiwa na wakati huo huo vishabiane na marehemu?
Ukiua kwa upanga unaweza kufa kwa upanga
Tuongee tuache akiba ya maneno
Tembelea magereza utajionea watu masikini walivyojaa kule
Kuuwa ni kuuwa tu,alafu hiidunia tunapita,hiyo raana itawafata tu wauwaji
Huyu na wote waliyohusika ni bure kabisa. DNA ikisha ingia mchezo unaanzia hapo
🚶haki ni kwa wenye pesa na kama wenye pesa wakikosa haki basi jua wako na utofauti na wenye nchi🚶yaani hawaelewani aidha wanamigogoro yao binafsi au mabifu yenye chuki ndani yake🚶🚶🚶
Mtenda haki ni Mungu tuu
Lakini hata kama haja fanya ila sialikuapo 🚶kipindi cha tukio
Kuna wakati mtu anakosa haki yake kwa kutokujua sheria yote kwa yote mungu ndy anayejua ukweli lakini sheria zinawakosesha watu haki zao.
Ila Mwenyeez Mungu halali wala asinzii kama kweli wameuwa hawatakaa muda mrefu na wao watamfuata
Hao walikuwa na nia kabisa walikuja mara ya kwanza mara yapili wakamwambia huyo dada wa kazi haondoke. Kingine huyu dadd wa kazi angerpoti tu umauti usinge mpata
Matajiri hawafungwi nayule alomchoma mkewe namkaa ukute atatoka masikin ndio hulakifungo
Mwana sheria unajizalilisha kwenye hili
Kajidhalilisha vipi Fredi hebu tujulishe wewe unayejua
Yaani mtu unaropoka tu sheria hujui unaropooka. Yaani huwezi hata kufikiria mtu kauwawa Dar kigomboni kibada wauwaji wakamatiwe Arusha tena wote wawili. Nyie acheni hizo
Ndio mana ndugu wanakaza inauma sana
Hizi biashara za kaka na Dada haziwezi eleweka zinaletaga shida sana ,jamani kina Dada kaka zenu wakioa gawaneni mtaji vinginevyo!!
HONGERA mke wa B/ MSUYA Mungu azidi kukulinda uweze kuendelea kuwalinda na kuwalea watoto wako
Uyu anneth aliniuma sana😭😭😭
Huyu mama ningekua ndugu wa marehem ningemuua Mimi mwenyewe kama alivyomuua ndugu yangu
Damu ya mtu haijawahi kumuacha mtu salama kama kuna ukweli ndani yake subirini muone msipate tabu.
Nilichogundua sheria zimetengenezwa na pa kutokea ni hela yako tu...
Jamani mkifanya biashara msishee na ndugu km kaka na dada baadae zinaletaga shida km hizo kuuana napili? Hizo hukumu za duniani ni za kipesa km unayo hata uue unatoka faster namahakani mwenye pesa ndo anakuwa na haki hivyo baadae ya hukumu duniani tunangojea hukumu ya mungu Iko juu mbingini hivyo msihofu Bado Moja asiedanganyika nae ni mungu peke yake subirieni ila nashauri pataneni tuu mkingoja hukumu ingine
We mwanamke we utaishi milele? Umemua mumeo haijatosha umemua wifi yako hivi we utaenda wapi?
Wakili uko vizur nakupataje
Lakn kwa mda aliokaa jela kajifunza msamehe huyo mama ni shetani tu alimtawala
Woyyyy bhanaee! Mwachieni Mungu.
Kwanini akubali,kwanini labda hii sheria ikoje.niseme kweli nimehusika halafu mlolongo uwe mrefu hivi serious.dah sheria shkamoo
Hujaelewa
ukweli anaujua mungu juu ya mauwaji ayo sasa mama msuya ukiwa umeusika kweli subiri mama utaozaaa ukiwa hai ila ikiwa ijausika na mauwaji ayoa utatunzwa na mungu kwenye kila eneo maana mungu anawaheshi wajane
Hapo Kuna uzembe ulifanyika na upande Fulani
Kuna mwenzake aliua akakimbia miaka tele juzi kauliwa huko huko mosh
jamani dada wa kazi si angemwambia boss wake ukwel jamani kwanini aliamua kukaa kimya mpaka akauwawa?
Ndio hapo sasa!! Mimi ilinishangaza sana, inamaana kwa maelezo yake yeye pia alitakiwa kukamatwa maana kwa kiasi kikubwa amehusika.
Jamani Hammond huyu do wa kazi alikuwa ni wa mchongo na ilikuwaje aka wa hayupo siku ya mauwaji