MSHAHARA WANGU ALIKUA AKINILIPA YEYE" MANARA ATOA SIRI NZITO, MAZISHI YA SH. BASALEH, MASJID MTORO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 15

  • @kasumunigwasa
    @kasumunigwasa Год назад +3

    Manara unajua kuzungumza

  • @NuhuRamadan-i4h
    @NuhuRamadan-i4h Год назад +2

    Kufungiwa kwake manara kuwa msemaji wa Yanga ni sababu tosha mungu hataki awe katka upuuzi wa mpira

  • @MajibuCredit
    @MajibuCredit Год назад +1

    Fundi sana wa lugha Hajj sanday manara

  • @salmasalim3525
    @salmasalim3525 Год назад

    Manara hajielewi dunia imemcheza

  • @dhannunimkwama1101
    @dhannunimkwama1101 Год назад

    Sisi sio wageni ni wazalendo, tena wazalendo hasa kuliko wao,

  • @abuukarata9653
    @abuukarata9653 4 месяца назад +1

    Mtu kama huyu alitakiwa asipewe jukwaa. Mana ni mwenye kufanya aibu hadharani

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Год назад

    Nimependa sana na kuna ya kujifunza kutoka kwenye hio historia yake brother Hajj. Alikuwa "mwanazuoni, mwanaharakati, Mkarimu, mwenye kutoa na sio yeye kutaka kitu bali yeye ndiye alikuwa mtoa kitu" Allah (s.w) Amfanyie wepesi safari yake. wakati nikiwafikishia taarifa ya kifo na maziko haya kwa wanangu na wana famila yangu kwa ujumla nilipata shida namna ya kumfahamisha na kumuelezea Sh. Basaleh zaidi ya kuwaambia alikuwa "Aalimu, mwanaharakati". Nashauri hizi historia ziandikwe na sifunzwe kwenye vizazi vyetu ili waje kujua kuwa suala la kufikisha ujumbe huu wa Allah (s.w) ni zaidi ya mbio za kijiti na hivyo waheshimu na wachukue ya kujifunza kutoka kwa wanazuoni na wanaharakati watangulizi kama hawa.

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 4 месяца назад

      Hakuna chochote za kujifunza ni mpuuzi tu na wanafanya uislam kuonekana hauna maana

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 4 месяца назад

      @@abuukarata9653 kwanini brother tatizo liko wapi hapo

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 4 месяца назад

      @@hamishassan6784 hujaona shida yake

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 Год назад +1

    haji manara kuwakilisha walimu wamadrasa nikuwadhalilisha walimu wamadrasa maana hana maadili yoyote yakiislaam

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 11 дней назад

    Haji wewe sio kijana