PART6:MCHAWI ALIEUA WATU MILIONI 2/ILIBIDI KUFANYA NA MNYAMA/WAZAZI WALINIZIKA WAKIJUA NIMEKUFA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 99

  • @veronicanyamsusa4974
    @veronicanyamsusa4974 5 месяцев назад +1

    Asante kwakipindi kizuri ila punguza kuuliza sana mpe nafasi mwenyewe aeleze iga Kwa promova Asante

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 2 года назад +6

    Unajifinza mengi SANA kupitia kazi Yako Davista

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +7

    Lengo la nywele bandia ni kupromote uzinzi. Hizi nywele za kuzimu kazizungumzia Sana Mchungaji amiel katekela aliyekuwa kuzimu nafasi ya tatu toka kwa shetani

  • @lilliannzuki5869
    @lilliannzuki5869 2 года назад +5

    Haiyaaa Davista rudi kwa kinyozi 🤣🤣

  • @f.alovely6419
    @f.alovely6419 2 года назад +4

    Muulize hao wa omba omba sisi wakristo tufanyeje

  • @patrickmaina5459
    @patrickmaina5459 2 года назад +5

    Ukisikia Mtumishi hashuhudii YESU KRISTO N Mungu Mungu tu mana utajua ni Mungu yupi maana miuungu n wengi wakristo tukuwe makini Sana🙏tusiamini Kila Roho Mbali tuzichuguze.......

    • @sarahjacobs8814
      @sarahjacobs8814 2 года назад

      Angalikua sio YESU huyu angekufa kabla hajatoa siri

  • @bonfacemwakapenda8857
    @bonfacemwakapenda8857 2 года назад +3

    Hizo energy nazo nasikia ni mpango wakuzimu

  • @matthieulugerero9355
    @matthieulugerero9355 2 года назад +2

    Unasema kweli mtumishu wa Mungu. Mambo ya Walawi 19:27 inaongeya kuhusu kunyowa nywele. Ni kweli mtumishi

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 года назад +8

    1Petro 3:2-4 “Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi; bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu. Maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani, waliomtumaini Mungu, na kuwatii waume zao.”

  • @gracemkanta738
    @gracemkanta738 2 года назад +9

    Huyu kijana anajua kupangilia vzr story yake..safi sana

    • @javanjsedekia
      @javanjsedekia 2 года назад

      Kweli yupo vizuri kupangilia stori

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 года назад +2

    Nimetegea sana👂Kwa makini sana

  • @sinaloa5698
    @sinaloa5698 2 года назад +3

    Davista mnyooo uliyonyoa huo ni wakuzimuu 🤣🤣🤣🤣😂

  • @sweetlisious
    @sweetlisious 2 года назад +5

    18:38 😄😄😄 Davistar umeshtuka ...ahahahahaha

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 года назад +4

    mimi kwa macho ya kawaida nampenda mwanamke asie vaa nywele za bandia au kaziweka kawaida za kwake

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 года назад +2

    Pamoja saana Mr everything 💪

  • @nanu1534
    @nanu1534 2 года назад +1

    Nice

  • @hoseapatrick2435
    @hoseapatrick2435 2 года назад +2

    Kwa maneno haya, nakubaliana na BIBLIA ilivyosema WAINGIAO NI WACHACHE. Kwa vita hivi, WAKRISTO TUJIKAZENI NA MAOMBI.

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 2 года назад +9

    Kumbe hawa watu omba omba mitaani si wazuri wegine ni mapepo 😫🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @nyamogafamily9549
    @nyamogafamily9549 2 года назад

    Mungu tusaidie

  • @moyojubeki6330
    @moyojubeki6330 2 года назад +1

    Elewaga hapo,davistar!!! Ni dege Hilo Kaka ni dhambi, mabo:19:27soma hapo

  • @saidsaleem1732
    @saidsaleem1732 2 года назад +4

    Kwa nini ao wendi msikitini

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 года назад +2

    Nimewah

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 года назад +2

    Je kuvaa barakoa sio mitindo ya kuzimu???

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 Год назад

    Alisema Yesu kwenye Biblia amtamaniye mwanamke kwa kumuangalia tu amekwisha kuzini naye

  • @zackten8730
    @zackten8730 2 года назад +7

    ningekua ni mimi wala nisingeficha hao watu kwa maana hakuna cha kujifunza hapo,mnaendelea kuficha watu ambao MUNGU anataka muwaibishe ili waache uovu wao ili nyie mnakaa kimwa ili waendelee kupotesha jamii na uovu wao..

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Hawa hapa ruclips.net/video/Fj8fLG1CtQM/видео.html

    • @msaysha5886
      @msaysha5886 2 года назад +1

      Mbona Kawa taja sema Devisti mata amewakata ila sio vzr kuwa taja kudhalilisha watu acha wakae tu ila sisi tu jifunze zaidi

    • @kikoadventures6933
      @kikoadventures6933 2 года назад

      Watakuua, kumbuka ni watu wakubwa wenye mamlaka yao. Wanaweza kukutumia majambazi wakakumaliza

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      @@kikoadventures6933 hawatoua roho lakini.

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 года назад

      @@heritier5119 jombi uko deeep kenyama!!!; waimbishe bablacheee waimbeshee

  • @YohanaMasatya-j4v
    @YohanaMasatya-j4v 4 месяца назад

    We bwana acha aendelee unatupotezea mb

  • @anithamageni2962
    @anithamageni2962 2 года назад

    Namba 1 💃💃💃💃

  • @violethrobson2332
    @violethrobson2332 2 года назад

    Asante Davista

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +1

    Shanga na kikuku ni pepo

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад +1

    Mabus ya mohamed yalitokea kuzimu yalikuwa 100 yameua Sana watu kwa kafara

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 2 года назад +3

    Ume upload saa 5 usiku na Bado nakusikiliza kwanza Ndio nilale

  • @misapinamiswi5751
    @misapinamiswi5751 2 года назад

    Sauti

  • @fredyijumba1023
    @fredyijumba1023 2 года назад

    Davistar eti kwahiyo nimenyoa mnyoo wa kipepo

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 года назад +1

    Davista nyoa upara uwo ni mnyoo wa mapepo 😂 😂

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 7 месяцев назад

    Davista saa nyingine unauliza maswali ya kula MB zetu, sasa kahaba kipara ni swali gani tena ndugu

  • @furahaedmundi2302
    @furahaedmundi2302 2 года назад +2

    Shetani anacopy vitu vyote vinatoka kwa MUNGU aliye hai

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 года назад

    Davista kubali ni mnyoo wa kipepo kubari tu

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 2 года назад

    Kwa hiyo Davistar hiyo design yako ya nywele ni mapepo...weka one size.

    • @elizabethmuia9839
      @elizabethmuia9839 2 года назад

      Yes ni kweli hiyo design ya kunyoa nyewe iwe kwa mwanaume or mwana mke ni Baya ,pia hizo design hazina ndoa pia kwa wanawake kusuka nywele za Rangi nyingi mingi kichwani, ukitaka kujifuza mingi kaka Peter sikiza Ezekiel new life church KENYA

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 года назад +1

    Kikwete

  • @neemamwalende9740
    @neemamwalende9740 2 года назад

    Kaka unaye shuhudiyaa huyoo kaka hapo hataki ukweri anatakaa umpambee kaka ukitaka kupona kubari umenyowa kipepo.

  • @angelmariaotieno2253
    @angelmariaotieno2253 2 года назад

    Davistar umenyoa kipepo

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 года назад

    Mbona usikubali mambo ya mtumishi kasema huko kunyoa kwako ni kwa kuzimu kubali na urekebishe

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 2 года назад +3

    Dogo kwa umri uliokuwa na mambo unayoelezea kuwa uliyafanya, inatia shaka sana hii stori yako

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 2 года назад +1

      Fatilia shuhuda nyingi,unapo ishi maisha ya kuzimu siku moja ya kule sio sawa na siku moja ya Duniani. Mfano unaweza ukaota Ndoto umetoka TZ mpaka Marekani na ukafanya mambo mengi na ukarudi sasa jiulize huo muda wa usiku ulolala mpaka kuamka, katika hali ya kidunia ungetumia muda gani kusafiri na ukafanya yako na kurudi TZ? Msikilize huyu dogo kisha Tafakari

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 2 года назад

      @@charlesmapunda5905 nonsense

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      @@husseinhussein9971 anawaumbua acheni uchawi shetani hana shukrani

    • @mamananga2849
      @mamananga2849 2 года назад

      Miaka5

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 2 года назад

      @@mamananga2849 yap.

  • @ronaldlangat8910
    @ronaldlangat8910 2 года назад

    Ronald pliz do for me

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 года назад +1

    Davistar muulize kuhusu yule mke wake kwa muda wote huo mke yule wa kuzimu alikuwa wapi? Na je walizaa watoto?

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 2 года назад +1

    Watu wanawahi 😂👌

  • @anethswilla7563
    @anethswilla7563 2 года назад

    Kanyoe mnyoo wa kipepo D

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 года назад

    Ya mapepo tena Davista🤣?

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 2 года назад

    Davista ulipo tupo pamoja

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 года назад +3

    Huyu dogo kaanza vizuri alivoanza kusimulia story, ila alivoanza kuelezea/ellaboration anazingua sana!

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 2 года назад +4

      Kwahiyo we unataka aelezee yale unayotaka wewe? Au na wewe ni miongoni mwa hao anaowataja? Relax mkuu.

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 2 года назад

      @@abbyadams8691 fact ndo wale wale

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Watumishi wa kuzimu tulieni muumbuliwe

  • @ndikumasabodiegovevo9091
    @ndikumasabodiegovevo9091 2 года назад

    Davi unamnyoo wakipepu badilisha haraka

  • @bintimrope
    @bintimrope 2 года назад

    Ebwana ndio

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 года назад

    Duh

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 года назад

    Kahaba mwenye kipara 😂 😂 haha

  • @harunsarafu508
    @harunsarafu508 2 года назад

    Mimi nipo makini sana kufatilia hii story amesema alikuwa Mtwara kwenye kikao kulikuwa na kijana alikuwa akiomba mpaka wakashindwa kufanya kikao.sasa mwisho wa huyo kijana ambaye walimfatilia mwisho wake ulikuwaje?

    • @shimii3662
      @shimii3662 2 года назад +1

      Haupo makini,..kasema mwisho Wa cku walipita nae,. walmtumia majini ya paka yakamdistract akaanza kudeal na paka badala ya kusali,..so kasuggest iv ukiwa unasali ata uckie kitu gani usiache kusali coz Mara nying huwa ni mpango wa shetan ili uache kusali

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 года назад

    Majina ya manabii wa uongo ruclips.net/video/Fj8fLG1CtQM/видео.html

    • @mysskibe
      @mysskibe 2 года назад +1

      Nawe ukaona ujiitanishe pamoja na puppet mkubwa sana wa illuminati, huyu si mtu mzuri kabisaa wakiwa na mkewe ni wakala wa shetani

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      @@mysskibe mkewe yupi

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 года назад

      Manabii wa uongo lazima wawekwe wazi Ili wasiendelee kuharibu kanisa

    • @mysskibe
      @mysskibe 2 года назад

      Mkewe Beyonce. Si naona wajiita Jay z.

  • @youngafricans7361
    @youngafricans7361 2 года назад

    Mheshimiwa alitomba mbwa