TOP 10 WACHEKESHAJI MATAJIRI WENYE FOLLOWERS WENGI TIKTOK 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 70

  • @nifferoutfit
    @nifferoutfit 8 месяцев назад +16

    Napenda jinsi Mr Mwanya anavyoweza kuchekesha na kugusa maisha ya kila siku. Anajua jinsi ya kutufurahisha

  • @inackboy5226
    @inackboy5226 8 месяцев назад +28

    Ucheshi wa Steve Mweusi ni wa asili na unanivutia sana. Ni mchekeshaji namba moja kwangu

  • @nifferoutfit
    @nifferoutfit 8 месяцев назад +10

    Ndaro wangu jamani 🙌🔥🔥

  • @Newfootballdata.77
    @Newfootballdata.77 8 месяцев назад +9

    Dullvan ni mchekeshaji wa hali ya juu sana. Video zake zinanifanya nicheke na kuhisi furaha kila wakati

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 8 месяцев назад +5

    Steve Mweusi ni mchekeshaji wa kipekee sana. Naipenda jinsi anavyoweza kugeuza hali ya kawaida kuwa kichekesho kikubwa.

  • @FOOTBALLTRANSFER24
    @FOOTBALLTRANSFER24 8 месяцев назад +13

    Clam Vevo anajua jinsi ya kunifanya nicheke hadi machozi yatoke. Video zake zinatia furaha kila siku❤❤❤

  • @ChasTz
    @ChasTz 8 месяцев назад +4

    Napenda ucheshi wa Mr Navy OG. Anaweza kubadilisha siku yangu kuwa bora kwa vichekesho vyake

  • @RuhuneKabose
    @RuhuneKabose 7 месяцев назад +1

    Steve nakukupamauwa unajuwasana❤❤❤❤

  • @VeronicaBoniphas
    @VeronicaBoniphas 7 месяцев назад +1

    Jaman steve wangu

  • @RuhuneKabose
    @RuhuneKabose 7 месяцев назад +1

    Steve anajuwa sana tena sana wenyeniwangu

  • @ubuyumediatz
    @ubuyumediatz 8 месяцев назад +10

    Mr Mwanya ni mchekeshaji anayeleta furaha isiyo na kifani. Ucheshi wake unanifanya niwe na siku nzuri kila mara.

  • @AnaDamiani-cn6cz
    @AnaDamiani-cn6cz 8 месяцев назад +2

    vevo alipokuwa uchekesaji nilikuwa naye, na alipohana na kuwa silias pia nimehama nae.nampenda kwa uwezo wake,tena huko kwenye tamthiria ndo kauwa kabisaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉maua yake kwakweli.

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 8 месяцев назад +3

    Shaffi Brand ni mchekeshaji bora sana. Ucheshi wake ni wa hali ya juu na unanifurahisha kila mara

  • @SIMULIZIZAGECHA
    @SIMULIZIZAGECHA 8 месяцев назад +4

    8:07 ni noma

  • @EvaristPius
    @EvaristPius 7 месяцев назад +1

    Steve namba one

  • @MartinSilungwe-ws2se
    @MartinSilungwe-ws2se 7 месяцев назад +1

    ❤ Steve ❤

  • @NEWDATA24
    @NEWDATA24 8 месяцев назад +5

    Ndaro ni mchekeshaji namba moja kwangu. Ucheshi wake ni wa asili na unanifanya nicheke kila mara😂

  • @PeterWilliama
    @PeterWilliama 7 месяцев назад +1

    Sasa c wako sawa sawa na stve mweusi

  • @RuhuneKabose
    @RuhuneKabose 7 месяцев назад +2

    Steve unajuwasa namiyeuna nivutiyaka

  • @MRDATINGTZ
    @MRDATINGTZ 8 месяцев назад +2

    Ucheshi wa Hakika Ruben ni wa kipekee na unanifanya nicheke kwa sauti kubwa. Keep up the good work

  • @MelaniFortune
    @MelaniFortune 8 месяцев назад +1

    Steven number moja🇨🇩

  • @MabukaIvan
    @MabukaIvan 7 месяцев назад +2

    Poasana Steve mweusi nandalo watuwema kabisa ameuka sisi kama watu was Uganda tunaflasana kutoka Tanzania namimi ninketamani kufika Tanzania majina mabuka Ivan ninkeompa number ya Steve pamoja nandalo nisungumuze nao😅😅😅

  • @TamuTamutv95
    @TamuTamutv95 8 месяцев назад +4

    Hakuna anayenifanya nicheke kama Mboneke. Ucheshi wake ni wa hali ya juu na unanivutia kila mara."

  • @MartinNiyukuri-n2t
    @MartinNiyukuri-n2t 7 месяцев назад +1

    Steve ndo namba 1 tukisema ukwel

  • @bawazzproduction
    @bawazzproduction 7 месяцев назад +2

    Kicheche Achana Nae 😅 Umbwa Sisi

  • @paulawakajala
    @paulawakajala 8 месяцев назад +1

    Napenda ucheshi wa Dullvan. Ni mbunifu na anajua jinsi ya kuvutia watazamaji wake kwa vichekesho vya kweli.

  • @mmhmedia8375
    @mmhmedia8375 8 месяцев назад +3

    Matop 10 ma Nini 😅 shafii ni noma

  • @CHASTZA
    @CHASTZA 8 месяцев назад +1

    Hakuna kama Clam Vevo! Ucheshi wake ni wa kipekee na unaniweka kwenye furaha kila mara. Keep it up

  • @AnjelaniLokendo-ed1lb
    @AnjelaniLokendo-ed1lb 7 месяцев назад +1

    Stivu ndo namba 1

  • @Officialfaldo
    @Officialfaldo 8 месяцев назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉 good 🎉🎉🎉

  • @MwanasitiHassan-x3j
    @MwanasitiHassan-x3j 7 месяцев назад

    Safi vevo❤

  • @DissoTalent-kj7kc
    @DissoTalent-kj7kc 7 месяцев назад

    Mimi nampenda clam vevo

  • @TamuTamutv95
    @TamuTamutv95 8 месяцев назад +3

    Ninavutiwa sana na ucheshi wa Kicheche. Ana kipaji cha kipekee cha kuburudisha na kufurahisha

  • @Makondetv
    @Makondetv 8 месяцев назад +3

    Steve 🇲🇿

  • @EdinaRugemalila
    @EdinaRugemalila 8 месяцев назад +1

    Steve na NDARO ndo noma wengine utoporo

  • @STORYZALEO
    @STORYZALEO 8 месяцев назад +4

    Kila video ya Ndaro ni kichekesho kikubwa. Ana kipaji cha kipekee cha kuburudisha na kufurahisha!"

  • @SangwaLubanga
    @SangwaLubanga 8 месяцев назад

    Kicheche nakuja tz nipo congo nakupenda sana ❤❤❤

  • @NEWDATA24
    @NEWDATA24 8 месяцев назад +3

    Hakika Ruben ni mchekeshaji mwenye kipaji cha kipekee. Video zake zinanifanya nicheke kila siku😊

  • @EmanuelMawazo-y2j
    @EmanuelMawazo-y2j 6 месяцев назад

    Hongera dg ndaro

  • @STORYZALEO
    @STORYZALEO 8 месяцев назад +2

    Mr Navy OG ni kipaji halisi. Video zake zinafurahisha na kutufanya tucheke kwa sauti kubwa

  • @WakilishaTV1
    @WakilishaTV1 8 месяцев назад +8

    Kicheche ana uwezo wa kunifanya nicheke hata siku yenye huzuni. Video zake ni dawa ya furaha

  • @NanckTz
    @NanckTz 7 месяцев назад +1

    Kama una mkubali Mr Mwanya kama mm dondosha like 👍

  • @BLACK.ANGEL_58
    @BLACK.ANGEL_58 8 месяцев назад +1

    Matajiri au wana maisha mazuri awaijui njaa kwa sasa

  • @salm6649
    @salm6649 8 месяцев назад

    Mr mwanya ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @NgoyAdalbert
    @NgoyAdalbert 7 месяцев назад

    Kicheche ndio number moja😅😅😅utacheka mpaka uchanganyikiwe pumbavu Zaki

  • @SIMULIZIZAGECHA
    @SIMULIZIZAGECHA 8 месяцев назад +5

    Mboneke ni kipaji halisi! Kila video yake inaburudisha na kutufanya tucheke kwa sauti kubwa

  • @cassimoassane6503
    @cassimoassane6503 6 месяцев назад

    Clam Vevo nakubar sana

  • @SharifaAmour-lr8re
    @SharifaAmour-lr8re 8 месяцев назад

    Hatariaoo😜😋🤩😎🥺🇹🇿

  • @EdwinPaul-fr9ro
    @EdwinPaul-fr9ro 5 месяцев назад

    Namkubali Sana hakika ruben

  • @MahamaenockMahama
    @MahamaenockMahama День назад

    Clam kwang ni no 1 anavutia sana

  • @Officialfaldo
    @Officialfaldo 8 месяцев назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SamuKassim
    @SamuKassim 8 месяцев назад

    Nawapenda wote kwa ajili ya Allah ❤❤❤

  • @mugishaJackson-hz3rp
    @mugishaJackson-hz3rp 8 месяцев назад

    stive bana number one

  • @keshenidaniel770
    @keshenidaniel770 8 месяцев назад

    Ndaro namba Moja Tz

  • @IsmailiKhalifa-rf1id
    @IsmailiKhalifa-rf1id 7 месяцев назад

    Namkubali kicheche

  • @DestinKulondwa
    @DestinKulondwa 5 месяцев назад

    Stive anaweza

  • @tundacappuccino
    @tundacappuccino 8 месяцев назад +1

    Kila video ya Shaffi Brand inanifanya nicheke. Ana kipaji cha kipekee cha kuburudisha na kufurahisha

  • @NgoyAdalbert
    @NgoyAdalbert 7 месяцев назад

    Kicheche ndio number moja

  • @TigerNtore
    @TigerNtore 7 месяцев назад +1

    Pamoja

  • @NgoyAdalbert
    @NgoyAdalbert 7 месяцев назад

    Wewe ni mbwa

  • @gun60jgt40
    @gun60jgt40 8 месяцев назад

    Steeve mweusi ni Noma nyie

  • @خديجةخديجة-ث3ه
    @خديجةخديجة-ث3ه 7 месяцев назад

    amna chaurembo moto mtupu wanajikokoteya

  • @Faharitz
    @Faharitz 7 месяцев назад +1

    Fanya upya research yako mfano mmoja tu kuna comedian anaitwa Zero brainer0 ana zaidi ya followers million 7.8 na ni mtanzania

    • @NDIZIMEDIA
      @NDIZIMEDIA  7 месяцев назад

      ni sports content creator sio comedian

  • @Hermandkambale
    @Hermandkambale 8 месяцев назад +1

    𝑆𝑡𝑒𝑣𝑒 𝑛𝑎𝑚𝑏𝑎 𝑜𝑛𝑒

  • @NgoyAdalbert
    @NgoyAdalbert 7 месяцев назад

    Kicheche ndio number moja😅😅😅utacheka mpaka uchanganyikiwe pumbavu Zako