Matumizi ya usafiri serikalini yabugia bilioni 3.5
HTML-код
- Опубликовано: 28 дек 2024
- Ripoti ya Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakango, imeanika wazi jinsi idara za serikali zimetumia shilingi bilioni 3.5 kwa usafiri pekee katika kipindi cha miezi minne tu. Ripoti hiyo imefichua kuwa wabunge ndio wanaopenda safari wakitumia shilingi bilioni moja kwa usafiri kwa kipindi hicho.
Safari leoooooooo safari keshoooooo kutenga Sheria barabarani na angani nipeni likes za Steven letooooooooooooooo
Then Kasongo is in front telling Kenyans eti nchi inaendelea kuimarika nani taabu tunapitia hali ya Maisha imekua ngumu kuchao😢😢
Mungu tusaidie sana😔😔
POOR KENYANS WILL CONTINUE SUFFERING UNTIL WHEN??? ONLY GOD CAN SAVE US!!!
😂😂😂safari leo safari kesho
Letoo again. 😂😂😂❤
Ni maombi sio uchawi
Tunazidi kuongezewa ushuru kila uchao.
Hii kenya tutaishi kuteseka
Sad
Then they want more collection on tax Rather than cutting cost