JEMEDARI AWACHANA SIMBA/ WAAMUZI WANASHIDA YA KUTAFSIRI SHERIA ZA MPIRA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 24

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 2 часа назад +1

    Jemedari.leo umechemka.Kwa mara ya kwannza kabosa nakuona mpuuzi ttu kama wngine

  • @FranciscoSeleman
    @FranciscoSeleman 2 часа назад

    Wew jemedar mpanzu alijua ataguswa ndomana katumia hakili kwaio wew ni mchambuzi sio legs legs pale anasekunde kaza

  • @sylivinebahaty5449
    @sylivinebahaty5449 2 часа назад

    Jemedari ww ni mkongwe kwenye kazi hii! Ila ushabiki ndio unakufanya uonekane kama mwehu tu mzee wangu

    • @davidihaonga1244
      @davidihaonga1244 42 минуты назад

      Brother jemedali unakumbuka Yanga wamemuacha metacha alivyowaandama na sahiz Simba inamnyima nafasi manula ndio maan anachambua Kwa asila na Watu waliomuumiza Ila haka kamzee wanaomuajili sjui wanampendea Nini Ila uyu jamaa ni Mtu mmja ana kuonyesha chuki ya waziwazi

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Час назад

    Jemedali umeshindwa kutafsiri Sheria Na. 12. Ukishakuwa nyuma ya mchezaji chochote ukifanya inakula kwako.

  • @abbassmshaury7572
    @abbassmshaury7572 48 минут назад

    na kzma unataka uwe mwalimu wa marefa fuata utaratibu uwe mkufunzì wa marefa lkn kwa leo umechemka bwana kanzumari

  • @relaxstarman
    @relaxstarman Час назад

    Yanga mechi 16 wamechezesha malefa 7 tu amuongeiii yani mnashindwa kukubali ubira wa simba

  • @AbdullaAmourKhamis
    @AbdullaAmourKhamis Час назад

    Nyie makuma mbona game za yanga hamsemi

  • @mossejackson
    @mossejackson 2 часа назад

    Jemedali nenda kasomee Ulefa acheni ushabiki wa Tim Tanzania yetu

  • @relaxstarman
    @relaxstarman Час назад

    Bila kuikanyagia Simba utrend ,juz pacome kajiangusha amja sena Sasa wachambuzi mnachagua mechi

  • @jamtv1883
    @jamtv1883 Час назад

    Basi tutoe hayo magoli mnayoyakataa nyiny halfu libaki la kapombe hapo mnasemaje

  • @badopoamusic0153
    @badopoamusic0153 16 минут назад

    UYO JEMADALI NI NANI KWANI MARUDIO HAMKUONA ENGLE GAN UNAITAJI WEW KWAN UJAONA KWENYE MARUDIO INAMAANA PALE INGEKUA NJE YA BOX NA INGEKUA FAUL,

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 Час назад

    Hakuna anayejiangusha akaangukia nyuma.

  • @abbassmshaury7572
    @abbassmshaury7572 51 минуту назад

    sasa kama utamani kuwa kocha tafuta timu ufundishe wachezaji wako namna ya kuwa wakakamavu wafikapo eneo la box usiinfilie kazi za watu

  • @masanjanyaga7722
    @masanjanyaga7722 2 часа назад

    Huyu ni kolo ila anajua boli angalao

  • @festosegeno6641
    @festosegeno6641 2 часа назад

    UJUE NINI WACHAMBUZI TATIZO LENU MNATEMBEA NA UPEPO HAMCHAMBUI UKWERI
    Laiti kama refa asingetoa penalty
    LEO MJADARA UNGEKUA SIMBA KANYIMWA PENALTY
    MNAKAUPUUZI FULANI KA KUTEMBEA NA UPEPO SIO KUCHAMBUA

  • @johnmollel6915
    @johnmollel6915 Час назад

    Yan mwamuzi asitoe adhabu ya penati kweny mechi husika sababu aliwah kutoa adhabu nyingine ya penati kweny mechi za nyuma alizochezesha, kimsingi wachambuzi mnawavuruga waamuzi pia, muachen asimamie sheria za soka kwa weledi 😂😂

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 3 часа назад

    Kuna issue ya kuchezesha mechi nyingi za simba

  • @georgelazaro3940
    @georgelazaro3940 2 часа назад +1

    Wewe una conflict of interest

  • @winstonesisia6465
    @winstonesisia6465 2 часа назад

    Wachambuzi wa mchongo..

  • @sebastianmgaya8246
    @sebastianmgaya8246 3 часа назад

    Kwann we hujasomea uamuzi ili uokoe tasnia hii ya kelele za marefa? Ukakimbilia ukocha.
    Punguza unafki bro. We umejiridhisha mda gan kuwa refa kakosea

  • @JastinSimonMwakalukila
    @JastinSimonMwakalukila 2 часа назад

    Shida ni kwamba waamuzi wa bongo hawana uhakika na kazi zao,yaan huenda asingefunika mungeanza kusema pale refa kawanyima simba penalt,kwahyo kuna wakt waandish na mashabiki uchochea kuwapa hofu waamuz maana waandishi wetu hamna misimamo sabiti na uchambuzi wenu mnabadilika badilika sna

  • @IssaMaget
    @IssaMaget Час назад

    Usenge mtupu nyote mnamakasiriko wewe jemedar na hans rafael siwakubal sio wachambuz bali niwachaguz tunakujueni nyinyi ni yanga ongeeni mpaka mchoke ila simba walee😂😂😂