HAJI MANARA KUOMBA MSAMAHA YANGA! KUACHANA NA MPIRA, NAWEZA KURUDI SIMBA?, WASEMAJI WASHAMBA TU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 35

  • @maycokuzenza
    @maycokuzenza Месяц назад

    Yanga niitakie ushid mzuli 😮😮😮😮😮😅😮😮😮

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 3 месяца назад +13

    Ushauri wangu tuuh manara mrudie mungu wako uswali, ww umri ushaenda lakini vitendo mnavyofanya havimpendezi Allah unatembea na watoto ambao wanakaa uchi unaona ufahari mwenyewe zinduka manara life tunapita urudi kwa mola wako uache pombe uache wanawake wahuni wanajikarisha uchi utakwenda kueleza nini kwa allah

    • @KhalidAlliy
      @KhalidAlliy 3 месяца назад

      Wakti ushaenda manara 😢😢😢fanya mema

  • @AthumaniMdee-d2n
    @AthumaniMdee-d2n 3 месяца назад +3

    Nawashangaa Sana mnao Mponda manaraa leo kuhusu mpira amefanya makubwa Sana kwene mpira wa bongo

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 3 месяца назад +2

    Manra ni mmoja tu Tanzania

  • @FarajaHussein-e3e
    @FarajaHussein-e3e 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KarimuMgwadu
    @KarimuMgwadu 2 месяца назад

    🎉

  • @LovelyGiraffes-gj6ic
    @LovelyGiraffes-gj6ic 2 месяца назад

    Bona manara anamtazama sana enginia

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 3 месяца назад +1

    Baada ya kufunguwa amerudi na hakiri saana, amebadirika kwa kweri na amekua mpole

  • @abubakarchinga2345
    @abubakarchinga2345 3 месяца назад

    Manara creativity!

  • @djfunk255
    @djfunk255 3 месяца назад +1

    Yeah 👍🏾

  • @Zena-t5s
    @Zena-t5s 2 месяца назад

    I'm

  • @husseinbaraza3194
    @husseinbaraza3194 3 месяца назад +2

    Tuna furaha saana uwepo wa Ali kamwe. Ahmed ally. Hashimu ibwe. Lakini sio manara m'babaifu

  • @AmonyDavid-ed7nh
    @AmonyDavid-ed7nh 3 месяца назад

    Aaaaaaa Huy chawa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 месяца назад

    Katulizwa na pesa . Unafikir Hersi hajui huyu ni chizi ......? Kwahiyo Hersi Kumuweka pale Ally Kamwe alishaliset hili dish litulie tu , yote haya ni same , misuguano ipo pale lkn wanatulizwa na wakubwa wao.

  • @KulwaMasaka-br5wf
    @KulwaMasaka-br5wf 3 месяца назад

    Huyu mnafiki toka hapa

  • @lameckaugustine1972
    @lameckaugustine1972 3 месяца назад +5

    Unaposema haji manara kaweka history kubwa kweny mpira sielew naomba kujua Je alikuwa mwekezaji au alikuwa mchezaji😂

    • @hajiabdallah7643
      @hajiabdallah7643 3 месяца назад +1

      Ana mchango wake ilo tunapaswa kutambua tusiwe na Roho mbaya

    • @DevothaJuma-s2y
      @DevothaJuma-s2y 3 месяца назад

      Nilikuwa sijui maana ya mpila kiujumla nilikuwa siulewi ila manara binafsi ndo kanifanya niujue na niwe shabik , na ilo so kwangu tu niwengi ambao walikuwa kama mimi ila manara ndo sbb wengu tumeujua mpila binafsi namkubali

    • @lameckaugustine1972
      @lameckaugustine1972 3 месяца назад +1

      Sipingi mawazo yenu ila msituaminishe kuwa bila manara mpira uwez songa mbele hapana icho kitu akipo

    • @lameckaugustine1972
      @lameckaugustine1972 3 месяца назад

      Na hakuna tuzo ya msemaji kweny mpira ??

  • @MuminMuminamduni-hx4pk
    @MuminMuminamduni-hx4pk 3 месяца назад +2

    Makolo hayaelewi

  • @samwelsamson4135
    @samwelsamson4135 3 месяца назад +1

    Mbona unaongea unawweseka Bugat sema kweli kua hjapendezwa na hicho

  • @mshiraziahmad9633
    @mshiraziahmad9633 3 месяца назад

    Abdallah chumvi😂😂

  • @roymkwasa4625
    @roymkwasa4625 2 месяца назад

    Hivi kwa nini uweke Caption ya Uongo mmetuharibia sana Taaluma nyie WAJINGA.

  • @HamisMapesa
    @HamisMapesa 3 месяца назад +1

    We si hayuhitaj kujua brand au rizik yk tunachojuabumepgwa chin

  • @ruqaiyyahmakame2315
    @ruqaiyyahmakame2315 3 месяца назад +1

    tushavuka izoo level zenu 😂

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 3 месяца назад

    Ivi kwa akili yako unaona kama siku zinalud nyuma yan wwe ni kuma kweli

  • @AmonyDavid-ed7nh
    @AmonyDavid-ed7nh 3 месяца назад

    Analeta siasa kweny kabumbu

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota 3 месяца назад

    Mbona Leo kaongea kama mtu vile

  • @EsauSamweli-z6c
    @EsauSamweli-z6c 3 месяца назад

    😂

  • @SmilingBoaSnake-fp6fk
    @SmilingBoaSnake-fp6fk 2 месяца назад

    Huna lolote

  • @Malaikahomedecoretion
    @Malaikahomedecoretion 3 месяца назад

    Achorile kachora

  • @JustinejJohn-gg1ch
    @JustinejJohn-gg1ch 3 месяца назад

    Chanel hii kumanyoko zenu kichwa cha habari sio kinacho ongelewa wasenge nyie

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 3 месяца назад

    Mda wako ulisha kwisha una mpya kuma wwe