ALLY KAMWE: ATAMBA BAADA YA SARE CONGO | AWAPIGA DONGO SIMBA | CAFCL: TP MAZEMBE 1-1 YANGA SC.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 70

  • @bonisachubwa1046
    @bonisachubwa1046 2 часа назад +2

    Huyu jamaa ana akili nzuri kweli 😂😂😂😂😂

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 3 часа назад +2

    🦁♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏

  • @SHAibuYahaya-e1e
    @SHAibuYahaya-e1e 3 часа назад +2

    Nyinyi na ndugu zenu wazembe hawo safar zmekusha

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 49 минут назад

    Haya Rudini kwenye ligi vipigo vinawausu 😂😂😂😂

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 часа назад +1

    SARE NA MAZEMBE MBOVU KAMAA HII,HAPO HAMNA TEAM

  • @ChristopherSwenya
    @ChristopherSwenya 2 часа назад +1

    Mlisema hakuna Tim yakucheza na yanga zaid mungu ashushe malaika leo vp sup hamnywi

  • @gracekilacy512
    @gracekilacy512 2 часа назад +2

    Acha unafiki ulisema jana leo point tatu leo unabwabwaja

  • @ZANADYTZ
    @ZANADYTZ 3 часа назад +1

    Mhuu ukiona mgonjwa anapata muda wakuomba chakula akipendacho basi ujue kifo komemkalibia sasa maneno ya Ali kamwe Niya mwisho mwisho yanga ndioimesha toka ivyo msiwena matumain ata yakupata point 4

  • @hassanyassin-ny3qh
    @hassanyassin-ny3qh 3 часа назад +1

    Kabra yamechi. Ulikuwa unapiga esabu yamechi 4. Unachukuwa pwenti 12. Tuambie leoo baada yamechi. Jee unapiga esabu yapwenti ngapii.??

  • @wakwetukwetu
    @wakwetukwetu 2 часа назад +1

    Hapa ndio tunapo fail kutazamia na kuwaamini hawa wasema hovyo na kuacha science ya football

  • @BashiriIddishabani-i3r
    @BashiriIddishabani-i3r 40 минут назад

    Alhadulillah mnaijua leo

  • @EmmanuelRichard-t9l
    @EmmanuelRichard-t9l 3 часа назад +2

    Nyie na mazembe kwisha habari yenu

    • @FeedyAlex
      @FeedyAlex Час назад

      ww n mke wako ndo kwisha habar""

  • @JustinMwanawima
    @JustinMwanawima 3 часа назад +1

    Mkacheze na malaika si ndo saizi Yako

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc 49 минут назад

    Ziko wapi point 12😂😂😂😂😂

  • @kelvinfussi5210
    @kelvinfussi5210 Час назад

    Waambie kabisa mechi ya marudiano itakuwa tar 3 january. Wasije wakaanza kunenepa wakati tabu ipo palepale

  • @DamasPaschal-o2q
    @DamasPaschal-o2q Час назад

    Hiyo ni point moja tyuu jamanii utoo🐸🐸🐸🐸

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 2 часа назад +1

    Yaani kamwe unafurahia sare ww huna dini acha ushekhe kakupa nani?

  • @PantaleoGululi
    @PantaleoGululi 3 часа назад +1

    Nenda kwenye point

  • @SuzanKameta
    @SuzanKameta 3 часа назад +1

    Mpewe malaika ndo mcheze nao 😅😅😅

  • @Zaynabahmed-ey4zu
    @Zaynabahmed-ey4zu 2 часа назад +1

    Endelea kuwadanganya umewapata utopolo wanakuamini kweli

  • @petermchami1164
    @petermchami1164 Час назад

    Jemedari punguza kuisema yanga vibaya pia unapenda kumwandama msemaji wetu kwni unamdai Nini tukulipe
    9:33

  • @samwelsimon7392
    @samwelsimon7392 3 часа назад +1

    sindano umeacha umemkumbuka mungu leo

  • @ChristopherSwenya
    @ChristopherSwenya 2 часа назад +1

    Kamwe akil huna endelea kuwapa tumain yaan we jamaa nawas was ni shabik wa Simba Kama baba ako unashangilia sare kwel

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 2 часа назад +1

      Mbona hatukùelewi kuna team hapa bongo msemanji wawo alikuwa anapitiya kipindi kingumu alikuwa anasemajee ?muwachen nikaz yake Ali kamwe

    • @FurahaAngetile-m4w
      @FurahaAngetile-m4w 2 часа назад

      Ko ww unatakeje akusifie ww bc

  • @danielimalaki
    @danielimalaki 3 часа назад +1

    Huna lolote UK mkiani😅😅😅

  • @qadinacci
    @qadinacci 16 минут назад

    KAMA KAWA, KAMDOMO..!!

  • @MesiaRayson
    @MesiaRayson 2 часа назад +1

    Unajifaliji

  • @ABIBAHUSSEN
    @ABIBAHUSSEN 3 часа назад +1

    Utapaka mafuta lakini mujini uwendi

  • @petermchami1164
    @petermchami1164 Час назад

    Sema msemaji watu wachambuzi weng wasenge wanatumiwa na cmba akiwemo jemedari namchukia sana na namuombea mabaya ninafunga siku Saba kwajuli yake na mungu atajibu tuuu

  • @doricehungu5817
    @doricehungu5817 59 минут назад

    Yan Alli point moja maneno mengii tunataka vitendooooo

  • @amonmedical
    @amonmedical 2 часа назад

    Roho mbaya zipake rangi zitapendeza.Siku hizi sare inasheherekewa kama ushindi. Kumkufuru Mungu mlianza ninyi. Mmeshaokoka siyo. Sareeeeeeee oyeee.Mwanzo ulikuwa na hesabu ya point 12 Je kwasasa unahesabu ya point ngapi baada ya huo ushindi wa sare na TP Mazembe

  • @DamasPaschal-o2q
    @DamasPaschal-o2q Час назад

    Jamani utooo mbona ni point moja tyuu lakini unabwabwaja sana jaamaa

  • @DicksonMlawa-jz9fu
    @DicksonMlawa-jz9fu Час назад

    Sale ndio saiziyenu 😂😂😂😂

  • @bukurugibson-zi5br
    @bukurugibson-zi5br 2 часа назад +1

    Hukumu Iko palepale mtafuatana mkiani

  • @thomasfrancis6177
    @thomasfrancis6177 3 часа назад +1

    Unajitutumua 😅😅😅

  • @kastomwaipopo1763
    @kastomwaipopo1763 Час назад

    Ila ulisema msipo ahinda unajiuzulu vp Sasa 🐸😂🤣

  • @jamalamohamed7937
    @jamalamohamed7937 Час назад

    Acha izo unashangalia kama mmeshinda hakati 1-1

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 21 минуту назад

    Uwe na uwezo utaftiwe kibarua , bumbavu mbona ujawai mshukuru manara aliekupeleke Azam?

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 Час назад

    Kwani umepata pwent ngapiiiiiii kamdomoooo kamdomoooo

  • @thomasfrancis6177
    @thomasfrancis6177 3 часа назад +1

    Sasa una sare unamsimanga nani

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 3 часа назад +1

    Hamna timu kaka

  • @MuhammedAbdallah-h2t
    @MuhammedAbdallah-h2t Час назад

    WEWE HUNADINI LEO UMESWALI VIPINDI VINGAPI?

  • @HamzaMkumbange
    @HamzaMkumbange 2 часа назад

    Huyu dogo akili hana kweli

  • @KulwaRajabu-b6w
    @KulwaRajabu-b6w 46 минут назад

    Hiyo ni sare tu unaweka mdomo je ungepata point tatu ingekuwaje

  • @KulwaRajabu-b6w
    @KulwaRajabu-b6w 53 минуты назад

    Tumechoka na manen Yako usiwatie moyo tunataka vitendo acha uongo

  • @SussankhanKhan
    @SussankhanKhan 2 часа назад

    🙏🙏🙏

  • @petermchami1164
    @petermchami1164 Час назад

    Yani huyo jemedari maenge sana 😊

  • @kassimukipingu7917
    @kassimukipingu7917 3 часа назад +1

    Hovyooo sasa kikowapi

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 2 часа назад

    We mkundu kweli

  • @dismasmusoma9478
    @dismasmusoma9478 Час назад

    Hivi jamaa mnamuelewa maana kama vile anatoa simlizi

  • @GidionJaphar
    @GidionJaphar 3 часа назад +1

    Hahahaa uwiii

  • @JafaryTimamu-d6m
    @JafaryTimamu-d6m 3 часа назад

    Léo ndio anajuwa kuna mungu

  • @SuleimanSaleh-js5wh
    @SuleimanSaleh-js5wh 2 часа назад

    Leo ndio unamjuwa mungu

  • @SussankhanKhan
    @SussankhanKhan 2 часа назад

    Mungu atujalie

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 3 часа назад +1

    Huna lolote mpumbavu wew nautaishia iviv mwish wa mkia

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j 3 часа назад +1

    Huna lolote weee

  • @HawaAlznezbar
    @HawaAlznezbar 2 часа назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂kweli semejiiii

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 2 часа назад

    Hujui kuisemea krabu

  • @abubakarbajun3503
    @abubakarbajun3503 Час назад

    Badounana loloteee bado utafungwaaaaaa

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 часа назад

    Punguza maneno basi eeee!

  • @MakobaNyeura
    @MakobaNyeura 2 часа назад

    Kombe lip ilo

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j 2 часа назад

    Amen

  • @immanimlimbila7357
    @immanimlimbila7357 2 часа назад

    Mbovu baba ako

  • @KareemMandela-d5l
    @KareemMandela-d5l Час назад

    Fala tu huyo Hana lolote Anatengeneza propaganda hapo Ameshajua

  • @johnmwita9370
    @johnmwita9370 20 минут назад

    Mpumbau

  • @songolomgallah4017
    @songolomgallah4017 2 часа назад +1

    Hadi sura imebadilika