MDUDE AJA JUU MBOWE KUGOMBEA UENYEKITI "TUNAMHITAJI LISSU"/ TUNATAKA ATUPELEKE NCHI YA KAANANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 102

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 14 часов назад +7

    Uko sahihi sana Mdude Mungu akubariki baba

  • @JibeMwaijibe-p1z
    @JibeMwaijibe-p1z 19 часов назад +10

    Mdude umekuja kwa kasi sana kwenye siasa wewe ni tunmu mpya 🎉🎉🎉🎉

  • @PaulKiwese
    @PaulKiwese 13 часов назад +7

    Mungu pamoja na lissu

  • @raphaelshan4905
    @raphaelshan4905 19 часов назад +7

    This guy is very smart 👌

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 19 часов назад +12

    Mungu tusaidie lisu ashinde . Aongoze mapambano .ya kupigania haki

    • @merumount5988
      @merumount5988 11 часов назад

      Hawezi Lisu..mnajilisha upepo tu! Huo msimamo wa Lisu nini amefanikisha? Orodhesheni mafanikio ya Lisu..

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 3 часа назад

      ..mmehadaa va kutosha..jitafakarini

  • @TaifaTeule-z2v
    @TaifaTeule-z2v 13 часов назад +5

    Kk upo sahihi sana

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b 17 часов назад +4

    Mdude uko sawa big up kwa sasa ndio nimekuelewa na ndio nimeelewa kuwa ndio maana CCM na serikali yake wanakuona wewe ni mwiba kwa madhilimu.

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 14 часов назад +3

    Uko sahihi mh mdude na mungu akulinde sana

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 19 часов назад +11

    Mshauri sugu aachane na mbowe kwanza si tunamtaka lisu

  • @EMMANUELMBWAMBO-is4tn
    @EMMANUELMBWAMBO-is4tn Час назад

    Ameni. Kura za wengi ni sauti ya Mungu. Acha Mungu aonekane kwenye kura, kama anategemewa Mungu sisi wafuasi wa Mungu Mungu atantumia yeyote kutufikisha kapigeni kura

  • @hajimjaja1163
    @hajimjaja1163 19 часов назад +4

    Well done mdude mungu atakusimamia kwenye hili

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 2 часа назад +1

    Big up sana kamanda Mdude Nyagali

  • @HatibuSozi
    @HatibuSozi 4 часа назад +2

    Midude upo sahihi kabisa

  • @ramadhanyassin4396
    @ramadhanyassin4396 19 часов назад +7

    Safi wanyachusa wa wakulya waha na watu wa iringa wakiungana wanaweza kufanya mambo makubwa kwa nchi hii

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 12 часов назад +1

      Mbona makabila tena

    • @geey7893
      @geey7893 3 часа назад

      Ndo watu majasiri waliobaki​@@madetetv6576

  • @saadaluvanga7024
    @saadaluvanga7024 14 часов назад +3

    Perfect

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 15 часов назад +2

    Well said!

  • @BARAKALUKUMAI-h7t
    @BARAKALUKUMAI-h7t 15 часов назад +2

    Well done brooooo

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 11 часов назад

    Hongera mh mdude umeongea vizuri

  • @paulinebogohe-pi8gn
    @paulinebogohe-pi8gn 18 часов назад +6

    Mdude uko sawa

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 12 часов назад

    Nakukubari mwaaaamba wewe ni top in tanzania

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 4 часа назад

    Amina

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha 12 часов назад +1

    Kweli kabisa

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 Час назад

    Mbowe ni king'ang'a 😮😮😮

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 12 часов назад +1

    ...kunDu la mbow limedhoofika sana .I mean KUNDI lake😮

  • @saluhilya8465
    @saluhilya8465 14 часов назад +1

    Kweli

  • @japhetmasota63
    @japhetmasota63 Час назад +1

    unafoka foka tu😮

  • @melch3097
    @melch3097 18 часов назад +3

    Ukweli watanzania hawako tayari siasa za tundu lisu, uharakati,

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 13 часов назад

      Kina nani hao ,sisi tunamtaka sasa

    • @israelian-t5f
      @israelian-t5f 3 часа назад

      Kwan nawewe ni mtanzania ama mkabila

  • @damianmeela6079
    @damianmeela6079 2 часа назад

    Uko sahihi mdude

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 10 часов назад

    Hata wengi wanamtakia lisu kugombea nafasi ya uwenyekiti wa chama cha democrasia na maendeleo chadema mbowe sasa apumzike ameongoza kwa mda mrefu sana nafasi hiyo sasa wapewe wengine kuiongoza chama hicho tumwaangalie kwa wakati wake tuone nae atatuongozaje wakati wake

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 Час назад

    Mbowe ndiyo Mussa na kazi aliyotumwa na Mungu bado haijatimia. Mwandishi ww pumbavu kabisaaaa hiyo kauli ya kusema mbowe eti hawezi kukabizi chama kwa mtu asiye mwamini umeisema ww na sio tamko la Mbowe

  • @EZRAYOHANA-g1t
    @EZRAYOHANA-g1t 13 часов назад +1

    Kwani Lisu akiingia ndio mtapambana vita ama🤔🤔🤔

  • @wiliamkatala
    @wiliamkatala 3 часа назад

    Kipindi kinamtaka LISSU,Mbowe hawez.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 часа назад

    Chama ni cha Mkwewe ndiyo shida mbona Mwalimu Nyerere hakukiachia watoto wake mpumbavu mkubwa sanaaaa Mbowe ukabila tu umetawala shenzi zake sasa akae na Chama chake huko huko Kaskazini Ccm tutapeta Daima

  • @cassimjr
    @cassimjr 3 часа назад

    Uko sahahi mdude mtu jasiri ni lissu na hat serikali ina hofu sana na lissu

  • @FidelisiKatole
    @FidelisiKatole 12 часов назад

    Mimi naungana na Mdude kwani mabadiliko ni sehemu ya maisha ya binadamu, km unaakili timamu hupaswi kuishi kwa mawazo yaleyale ya mwaka 47.ukiona binadamu anaogopa mabadiliko jua anashida kwenye ubongo sawa na watu vijana au watu waxima wanaoshindwa kutafuta mali zao ili wajitegemee wenyewe badala yake wanaishi kwa kuangalia mali za wazazi wao. Wazazi wakifa wanagawana baadaye wanauza kila kitu na kubaki kuwa mateja. Make hawakupenda kuwa na akili ya kubadilika mapema. Hii dunia haina mtu muhimu wameisha pita wafalme na Marais na viongozi wengi tu lakini bado jahazi linasonga mbele. Chadema bila Mbowe inawezekana

  • @samwelyesaya1202
    @samwelyesaya1202 11 часов назад

    Tunaimani tunaenda na Lisu ni mtu sahihi sana kuiongoza chadema

  • @JesuinaBabili
    @JesuinaBabili 10 часов назад

    Hata na ivyo Joshua aka Lissu hajazuiwa kutufikisha Nchi ya Ahadi anayo nafasi tena kubwa kutuvusha.
    Kinachofanywa na Mbowe ni kuunganisha Askari wote wa Miamvuli pasipo kujali nani kapitia nini ili kwa pamoja tuvuke Salama. Kwa maaana Joshua km Lissu pekeyake hatafanikisha inahitajika nguvu ya wote!
    Joshua tunae na Mussa tunaye - kwa umoja huo Nchi ya AHADI ni dhahiri TUTAFIKA

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 3 часа назад

    Mtu.makini.sana

  • @felixmsengi1084
    @felixmsengi1084 13 часов назад

    Hajatukana ni kile anaona atakifanyia kazi ili chama kiwe imara wadau, wasemeheane wajenge hoja nzur , ila kwa kuwa kimeshakua kisingizio na tiketi ya kumkataa lisu ndio ivo sasa, lisu omba radhi tunakuhitaji kipindi hiki naamini mzee mbowe hana makuu atakupa uongozi, ila nahisi mbowe mtoto atarithi babaye kama mbowe atashinda

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 16 часов назад +1

    Mdude kuwa mpole wacha jazba sio lazima lissu awe mwenyekiti anaweza kuwa na nafasi nyingine na tukaenda mbali zaidi. Kwa Sasa hatoshi sio mtulivu ana pupa sana na ndizo zitamgharimu fuatilia hotuba na wahariri wa habari ndio utajua Mbowe ni mashine amenyoooka.

    • @AtuganileBarack
      @AtuganileBarack 15 часов назад +1

      Huo upole ndo umefanya wakina saa nane hatuwaone wakina gwanda azole wakina soka hatuwaoni ni upole wa mbowe Sasa inatosha tunatakiwa kubadilisha mwenyekiti lisu anatufaa

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 12 часов назад

      ​@@AtuganileBarackkweli kabisa ,vijana wamepotea lakin kama mwenyekiti yupo kulalamika tu

  • @elneussimeo1275
    @elneussimeo1275 Час назад

    Tunamtaka lisu kwa sasa

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 15 часов назад +1

    Huna akili nenda CCM

  • @oseamkama
    @oseamkama 7 часов назад

    Upo sawa lissu ndo mtu sahihi kwa sasa

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 12 часов назад

    Mdude wanaopiga kura ni wajumbe kwa hiyo ongeza bidii kumpigia kampeni Lissu kwa wajumbe.wenye maamuzi ni wajumbe wa ccm.Mbowe ana haki ya kugombea na Lissu ana haki ya kugombea.

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 12 часов назад

    Kuimba kupokezana wenye umoja hupanga pamoja kwa nia moja hata kama mmoja ndio mwakilishi

  • @Nangayivuza
    @Nangayivuza 15 часов назад

    Songwe Ungekua na Lissu Hungefungwa walahi😊

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 часа назад

    Lisu Ali alituacha baada ya uchaguzi mkuu na kuelekea ubelgiji tujiulize jee jee hatotuacha tena??

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 11 часов назад

    Ukosawa sawa ccm kiboko yao lissu

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 16 часов назад

    Nikweli

  • @NEWMIYOMBONIUZALENDOCLUB
    @NEWMIYOMBONIUZALENDOCLUB 17 часов назад +1

    Mdude Joshua alianza kutawala baada ya Musa kufariki! Soma vizuri Kitabu cha Joshua 1:2-8

    • @elvisnzovu8282
      @elvisnzovu8282 13 часов назад

      Usimkosoe mwenzako, huyo yesu mwenyewe hayupo na hakuwepo kabisa na hakuwahi kutokea tuu. Hata ww umeongea uongo pia unatakiwa utulie kabisa.

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 2 часа назад

    Catholic movement

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 Час назад

    Sizani kama inahitaji maswali

  • @stanleydeus9635
    @stanleydeus9635 14 часов назад

    Subiri siku ya uchaguzi ukampigie kura huyo unayemtaka hatutaki kelele

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 15 часов назад +1

    Mdude umetoa maoni yako vema, kuna hitaji kupokezana

  • @franksonkanyere5766
    @franksonkanyere5766 49 минут назад

    Tusitumie maandiko matakatifu vibaya bwana mdude. Hicho kisa unachokieleza hakifanani kabisa na maelezo yako.

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 12 часов назад

    Sugu ni Kama mbuzi ukimkuta juuu ya mti ujue kapandishwa na mbowe

  • @RichardTenga-yj3qo
    @RichardTenga-yj3qo 14 часов назад

    Musa alifariki,ndo maana Joshua akapewa kijiti.mwamba hajafariki mbado.ivo ni mambo yasiyofanana.labda utafute mfano mwingine mdude

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 13 часов назад

      Kaka kabla msa hajafa mungu alimuandaa Joshua nenda kasome vema upate kuelewa

  • @chage97
    @chage97 33 минуты назад

    Huo ndo ukweli haupingiki

  • @swelehemkumba5007
    @swelehemkumba5007 3 часа назад

    Acha utoto. Hii ni democrats,acha mboe agombee. Nendeni mkapige kura na mumchague huyo mnae mtaka kwani tatizo liko wapi?

  • @kitwitwijunior7414
    @kitwitwijunior7414 12 часов назад

    Duu hawa watu ni wadini mno.

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 10 часов назад

    Hicho chama niwananchi sio ya wachaga aache upumbavu

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 14 часов назад +1

    Shoga la chadema hilo

    • @AMOAM_49
      @AMOAM_49 14 часов назад

      Inaelekea na wewe utakua "SHOGA AKE" 🤨

  • @japhetlukumay2778
    @japhetlukumay2778 15 часов назад

    Hi

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 9 часов назад

    Lisu oye

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 15 часов назад

    Mnafarakana wenyewe sasa shetani mbaya sana

    • @JumbeOjaso
      @JumbeOjaso 7 часов назад

      Wanashindana wenyewe,kwa afya bora ya chao chao na demicrasia ya kweli.
      Ccm nao waache watu wajaze fomu,bila figisu.
      Hii habari ya mwenyekiti hapingwi ,haikubaliki,tuheshimu katiba ya ccm.

  • @isayaanthon7063
    @isayaanthon7063 13 часов назад

    Tatizo Joshua hakumtukana Musa. TAL hana adabu.

  • @AtuganileBarack
    @AtuganileBarack 15 часов назад

    Hakika kamanda

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 8 часов назад

    Hata wewe unafaa kuwa makamu mwenyekiti

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 19 часов назад +2

    Ng'ombe wewe😂

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 15 часов назад

    Yule hana musa tulizana haukomi?

  • @tumsifuweraufoo5380
    @tumsifuweraufoo5380 19 часов назад +2

    Ni mbowe tu

  • @SuolFat
    @SuolFat 15 часов назад

    Viva mbowe

  • @samuelmbogo7448
    @samuelmbogo7448 17 часов назад +1

    Mifano mingine hata haifai kufananishwa na mahitaji yenu ya kisiasa. Mbowe ni mwana siasa, Lisu ni mwanaharakati mwenye hasira, kiburi, jazba na kejeli. Hebu someni nyakati nyie wana Chadema, mnataka nini hasa? Mna chama kizuri laki msingi wake uko kifamilia, kikanda , badona safari ndefu sana, wasi wasi wangu msije kuchokwa na watu wenu. Kaeni muondoe tofauti zenu.

    • @FilbertMsongela-xt9tq
      @FilbertMsongela-xt9tq 13 часов назад

      Tofauti zipo,na hizo ndo zinatumika kama daraja la kutuvusha kooo sisi hatushtushwi na hizo tofauti

  • @SuolFat
    @SuolFat 15 часов назад +1

    Acha porojo

  • @JuliusPaul-j8c
    @JuliusPaul-j8c 18 часов назад

    Hivi mnaosema Lissu ni kibaraka, mmeshundwa kuwaita vibaraka kuwa ni vibaraka?

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 15 часов назад

    Hujasoma biblia wewe soma wagalatia 1 tatu nipe majibu

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 13 часов назад

    Jambo tv mkundu wewe, ni wapi mdude kamuongelea mbowe?? Hiyo clip ni kabla ya Mbowe kuchukua fomu kuma la mama yako mzazi mwandishi unatombwa nyuma

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 19 часов назад +2

    Duu! lisu kibaraka kama kweli lisu mkweli amlete derevawake maana liko swali kwake risasi zimepigwa kushoto kaumia mguu wa kulia kanalwamba dereva ndo kampiga amlete kwwnye vyombo vya dora fasta

    • @gaspermatovu2899
      @gaspermatovu2899 18 часов назад +1

      Endelea kuwaza kwa makalio😂

    • @khalifasaidi7001
      @khalifasaidi7001 18 часов назад

      @@gaspermatovu2899 ushoga utakumaliza,,,,acha

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 17 часов назад

      Kafilwe ccm choko wewe

    • @ContentSmartphone-rq6po
      @ContentSmartphone-rq6po 17 часов назад +1

      Lissu shoga hatumtaki msenge maziwa na hiki chama chenu chakisenge kinaenda kufa mamaezenu

    • @EnockMwambola
      @EnockMwambola 13 часов назад

      We nikuma tu ujielewi nn unasema nyoko

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 17 часов назад

    Mwandishi Muongo huyu? Yaani Speech ya saa basa tayari umeanza kuibadilisha? Mbowe kasema hakiabidhi chama kwa mtu asiyemwamini angewezaje kusema hivyo wakati wanagombea na wanaoamua wapiga kura?
    MWANDISHI KANJANJA Q DADADEKI