Asante kaka nmejifunza kutu kikubwa sn hasa NI JINSI YA KUJIFAHAMU.MIE MWENYEWE kwamba nataka.nin natakiwa nifanyaje na ninakwama wapi natakiwa nifenyeje
Kuna tofauti ya kujiongelea wewe mwenyewe na sauti ya ndani yako inavyokuongelesha, yaani mtu anaweza kujiongelea vibaya lakini sauti ya ndani yake isiongee vibaya kuhusu yeye. Mara nyingi sauti ya ndani yetu ikiamua kuongea na sisi hutuambia jinsi tunavyoweza au jinsi unavyowezekana hata kama sisi mdomo wetu uliongea tofauti. Na hii ni kwasababu nafsi haiwezi kuongea kitu hasi negative sema nivile watu hawajui kutofautisha kati ya sauti ya ndani na yeye mwenyewe mawazo yake . Alafu kuwaza vitu hasi ni matokeo ya kusoma vitu sio sahihi au kuangalia video za hatari Kila mara mfano ajali au mtu kumchija mtu au kukaa na watu walalamishi ndio hupekekea kuwaza kama kujiua , au kuona haiwezekani na kadhalika...Ahsante sana kwa maarifa.
Kaka ezden unajua kutufundisha vema ss vijana wenzio kiukweli ww ni mwalimu mzuri🙏.
Kutoka kaisho kyerwa Kagera Tanzania 🇹🇿.
Thought becoming a thing
Salute ❤❤❤❤🎉🎉
Asante kaka nmejifunza kutu kikubwa sn hasa NI JINSI YA KUJIFAHAMU.MIE MWENYEWE kwamba nataka.nin natakiwa nifanyaje na ninakwama wapi natakiwa nifenyeje
Saf
oya brother uko vizuli san brother umeniamsha ndotoni aisee 😢😢
Kuna tofauti ya kujiongelea wewe mwenyewe na sauti ya ndani yako inavyokuongelesha, yaani mtu anaweza kujiongelea vibaya lakini sauti ya ndani yake isiongee vibaya kuhusu yeye. Mara nyingi sauti ya ndani yetu ikiamua kuongea na sisi hutuambia jinsi tunavyoweza au jinsi unavyowezekana hata kama sisi mdomo wetu uliongea tofauti. Na hii ni kwasababu nafsi haiwezi kuongea kitu hasi negative sema nivile watu hawajui kutofautisha kati ya sauti ya ndani na yeye mwenyewe mawazo yake . Alafu kuwaza vitu hasi ni matokeo ya kusoma vitu sio sahihi au kuangalia video za hatari Kila mara mfano ajali au mtu kumchija mtu au kukaa na watu walalamishi ndio hupekekea kuwaza kama kujiua , au kuona haiwezekani na kadhalika...Ahsante sana kwa maarifa.
Asante sana Abdulrahman kwa maoni mazuri yenye shule ndani yake. Stay blessed
Shukrani sana kaka Ezden 🤝
Karibu sana.
Thanks brother madini fresh
Shukran sana kaka!