PENZI HASARA EPISODE 35 ❤ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 136

  • @FATUMAPASKAL
    @FATUMAPASKAL 24 дня назад +6

    Si uache kaz ukapange uanze maisha yako na mkewe ww ni mwanaume. Usiogope maisha

  • @elizabethakiru3043
    @elizabethakiru3043 24 дня назад +13

    Mm ni wakwanza nipewe like zng😂😂😂

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 24 дня назад +7

    Hongera tunamaliz mwez kw penz hasar

    • @olicej7837
      @olicej7837 24 дня назад +1

      😂😂😂😂😂bado sana tuendelee kumuomba Mungu tumalize salaam

  • @AgataFranciscoagustnhoAgostinh
    @AgataFranciscoagustnhoAgostinh 24 дня назад +2

    Boss aly unamawazo sana na unakazi mzoto pole sana❤❤❤😢😂🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤️

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 24 дня назад +4

    Acha kazi boss aliy na uhame pale na umfuate Tina Hujui wakina fatima hawataki uoe Hivo wapo kukutumia Ndio mana halisi ya Penzi hasara

  • @YoungKiller-bf1id
    @YoungKiller-bf1id 23 дня назад +1

    Yan nataman sik moj fet naboss yaalli wakirudiyan kwapenz lizit nampend jaman fet jaman❤❤

  • @MadinaSeif
    @MadinaSeif 14 дней назад

    Seif na Rin nyie ndo vibrudisho vyangu kwasasa ❤🎉

  • @mariamkinzajamanimuviinaku5724
    @mariamkinzajamanimuviinaku5724 24 дня назад +2

    aliy hajui kumaliza tatizo bali hupenda kuongez matatizo yani yuko saw na feti bora amrudie fet ndo wanaendan

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 24 дня назад +3

    Fetty 😂😂😂😂nawayi leo mutoto wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 bja

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s 24 дня назад +2

    Kila mtu wa kwanz anaomba like jmn ko humu tunagomban like kumbe duu

  • @MamaSamu-ro8zj
    @MamaSamu-ro8zj 24 дня назад +2

    Hiv nyiny mnao omba like Kwan ni chakula

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 24 дня назад +2

    Kazi safi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 23 дня назад

    Seifu na bebii wake swaaafy😂😂😂😂❤❤❤

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 24 дня назад +2

    Ally Tina anakupenda na nimwelewa sana. Mwambia kwann umeenda kufanya kazi kule atakuelewa tuu kuliko kuficha

    • @amidabukuru
      @amidabukuru 24 дня назад

      Tatizo wanaume hawawagi wakweli kwenye ndoa nandomana wanasema mficha marazi kifo chamuumbua

  • @JeaneJeanemarie
    @JeaneJeanemarie 24 дня назад

    Pole sana Aly mungu Ata ku shindiya ti

  • @Mimah866
    @Mimah866 23 дня назад

    Tina ndoa imekushinda hio 😂😂😂s ulijifanya unampenda ally ww

  • @ESTHERLAMECK-b1h
    @ESTHERLAMECK-b1h 24 дня назад +9

    Wa kwanza Leo ata like moja tu yatosha

  • @FatimaMohd-oq3tl
    @FatimaMohd-oq3tl 24 дня назад +2

    Kumbe Tina mpuzi snaa kumbe alikuwa Hana mapenz na bos Ali anawaogopa hao walio wapata talaka

    • @Mimah866
      @Mimah866 23 дня назад

      Umeonaeee😂😂😂😂

    • @Mimah866
      @Mimah866 23 дня назад

      Angekua anampenda kwel asingeondoka et juu ya fety na zena 😂😂😂amezingua

  • @AgataFranciscoagustnhoAgostinh
    @AgataFranciscoagustnhoAgostinh 24 дня назад +4

    Naludia tena aly pole sana unayapitia Magumu Kaká aly pole pole sana awa wanawake watakuwa Kwa plesha , like kutoka 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤️🫶❤️🙏❤️

  • @SyproseOkumu
    @SyproseOkumu 24 дня назад +4

    Bosi Ally hataki kuacha kazi kwa sababu hiyo nyumba anayoishi ni ya Fetty na akikataa kazi Fetty atamtimua

    • @olicej7837
      @olicej7837 24 дня назад

      Sasa inamaana hawezi tafta kazi sehemu nyingne akahama apo sema ni movie 😅😅

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 23 дня назад

    😂😂😂😂 Ally yako Kali sijakuonea mwenzako kwahiyo unataka kuowa mke w nne sio kama dini inavyosema twende naloo PENZI HASARA…

  • @EunicemouriceMourice-qe3rw
    @EunicemouriceMourice-qe3rw 22 дня назад

    Mweeeee namuonea hurumaaa ally kwa vileee ajuwi kuongeaa

  • @lizzyjoel4379
    @lizzyjoel4379 18 дней назад +1

    Huyo ben wenu wa rasta akienda india naomba arud ben yule kelv maana huyu amepoaaaaaa

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 23 дня назад

    Kwan boss Ali awo wake wengine si umewaacha kwaiyo Tina ndo mkeo kwa sasa ikiowa ukiowa mwengine atakuwa wapili au mim ndo sijaelewa 😅😅😅

  • @JamesJohn-on6yr
    @JamesJohn-on6yr 23 дня назад

    timuaa wotee broo wanguu ishiii na linaa Cha umbeaaa

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls 23 дня назад

    Ally kaz nzur snaaa

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 15 дней назад

    Maskini Aly mpaka uruma😢Fatma siomwema kwako atakidogo

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya 24 дня назад +1

    Ally ameteseka raundi hii wa nne utawezana kweli🙆🙆

  • @Aishaynah_innah
    @Aishaynah_innah 24 дня назад +2

    Huyu baba zena 😅😅 kaulzwa unanitaka kastuka half kaganda hapo hap au anamtak kwel

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 23 дня назад

    Hila huyu kiroba cha.mkaa mmbea😂Ali unakosea siutafakari nn kinakuja kwenye.maisha yko

  • @mauwabanda2746
    @mauwabanda2746 24 дня назад

    Bandika bandua nyie wako vizuri sana hii tamthilia

  • @irankundachartieret658
    @irankundachartieret658 24 дня назад +3

    We are following y’all now

  • @MariamSaid-k9p
    @MariamSaid-k9p 23 дня назад

    Ali anapenda mapenzi kuliko kula 😂😂😂😂😂

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 24 дня назад

    Ondoka Tina huyo Ali hana msimamo mpka ananikera,,wanaume walio zoea mteremko wana shida sana

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas 23 дня назад

    Weldon tina ....marity kutumika

  • @BernadethaDeus
    @BernadethaDeus 24 дня назад +1

    ,😂😂ila Seif na Linah😅

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls 23 дня назад

    ❤❤❤kaz nzur jmn

  • @AbibaSalleh
    @AbibaSalleh 24 дня назад

    Hâta mimi.niwapili. 🇧🇮🇧🇮

  • @anitahoza9727
    @anitahoza9727 24 дня назад +2

    Nilisubikia kwa hamu balaa😅😅

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 24 дня назад

    We ally nawe umechanganywa😅kichwa ni mapenzi waendeshwaje😅na wanawake nawe aaaaaa😅😅😅😅

    • @elizabethakiru3043
      @elizabethakiru3043 24 дня назад

      @@winniemwaka3202 ndo maana kichwa cga movie Ni penzi hasara 😁😁😁

  • @MsumaryMsumary
    @MsumaryMsumary 24 дня назад

    😂😂😂😂 Lina na seph hatar😂😂😂😂 🙌

  • @FatmaAhmad-y1k
    @FatmaAhmad-y1k 22 дня назад

    Wangapi wanao kubaliana na mm kuwa tina alikuwa anamtaka aliy kitambo tu ila sema anajitetea tu alikuwa anamtaka sasa apambane na wajina wangu fety

  • @IrHonoréRwizibuka
    @IrHonoréRwizibuka 24 дня назад

    Ww Aly ume zidisha kabisa,tamaa kama zote

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k 23 дня назад

    Yaani ftm,zeina wamenikumbush nikiwa n ugomvi kwa mke mwenzangu ila tukarud kuelewan hdi bwana anakosa amni yaan tunapendan kushind ndug hdi naamani

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 24 дня назад +3

    Chapuchapu munanifurahisha kweli

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o 24 дня назад

    Ally ili kushndan na fety inabidi apate mwanamke mwenye upendo wa dhati sana

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 24 дня назад +4

    Watano kabisa

  • @ShamsahassanHassan-n1o
    @ShamsahassanHassan-n1o 22 дня назад

    Tafuta kazi nyingine ally Fatima atakupa amani

  • @aminamohammed-rq7ew
    @aminamohammed-rq7ew 19 дней назад

    Kwan huy Ally hawezi tafuta nyumba ingine lzm akae hapo kwa fety

  • @FatimaMohd-oq3tl
    @FatimaMohd-oq3tl 24 дня назад

    Hpo akitaka bos Ali aish na ndoa ya Tina kwa uzuri lazima ahame humo ndn

  • @CRESENSIAKANDIDUS
    @CRESENSIAKANDIDUS 23 дня назад

    Ally uwo mtaaa ndio unapatia wake zako huwa

  • @MwajumaHassani-o7j
    @MwajumaHassani-o7j 24 дня назад +1

    Ally ilikuwaje boss mkubwa umeshindwa kujenga nyumba mpaka ivi leo fatma anakupelekesha kisa unakaa kwenye nyumba ya wazazi wake. Na imekuwaje nimeachana ila bado unakaa kwenye nyumba ya wazazi wa mtalaka wako

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k 23 дня назад

    Zizi😂😂😂weehuogopi

  • @IreneAchieng-z7n
    @IreneAchieng-z7n 24 дня назад +3

    Nyota ya Ali ya mapenzi ilizimwa kwa main switch😅😅

  • @mildredzainab170
    @mildredzainab170 24 дня назад

    Boss Ali mbona waendeshwa na mwanamke??? Sikuelewi ujue😅😅

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 24 дня назад

    Ally boss mzima huwezi jenga nyumba ya kwko, alfu mbna usimueleze Tina ukweli kua hii nyumba si ya kwko, mbna ni muelewa snaa, acha kazi mutafute chumba mupange muanze moja na muishi kwa amani, muepukane na sarakasi za Fatma na zenaa

  • @RaphaelSeury
    @RaphaelSeury 22 дня назад

    Tina tafuta mume na ally mrudie mkeo wa kwanza (feti) that's very short and clear

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali 24 дня назад

    Yaani lina na sefu jamani 😅😅😅

  • @AishaRamadan-ik7ip
    @AishaRamadan-ik7ip 23 дня назад

    ally kubali kuanza upya hama kwenye hiyo nyumba ya fetty

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 24 дня назад +1

    Boss ally Andika Barua ya kuacha kazi Acha wapate Hasara wanashindwa kufnya kazi bila ww Ndio Maana Walikutafuta
    Boss Ally ukisoma hii fanya uamuzi ukiacha kazi tokeni Kwnye hio nyumba pesa mnazo mnaweza enda Tafuta nyumba kungine

    • @olicej7837
      @olicej7837 24 дня назад

      Unawaza kama mimi 😂😂boss asipelekeshwe kama mtoto

  • @robato1995
    @robato1995 24 дня назад +3

    The second one

  • @olicej7837
    @olicej7837 24 дня назад +7

    Mbna raha sana hii Leo nimeangalia mbili kwahyo wewe ally huna muda wa kumtafta mkeo kuwa kaenda wapi umrudishe wewe unawaza kuoa mke wa nne😂😂😂😂

    • @elizabethakiru3043
      @elizabethakiru3043 24 дня назад

      @@olicej7837 Wacha atafute Wa mwisho afunge 😀😀😀

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas 23 дня назад +1

      Huy n bogazi kabisa

    • @olicej7837
      @olicej7837 23 дня назад +1

      @@SelinaDorcas ni jinga😅😅😅😅

  • @MwanaidAbrahaman
    @MwanaidAbrahaman 24 дня назад +6

    Wakwaza Leo nambeni laik hata 10

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s 23 дня назад

    Sasabhuyu Fatma Kuna office Gani mtu anaenda amevaa uchi kiasi hicho tena kiji Chupi abu vaeni uhusika msigaribu move ikiwá ni nzuri office iheshimimiwe Kama mwaalimu WA dangulo😢

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 22 дня назад

    Kazi tamu

  • @WiltherArisa
    @WiltherArisa 24 дня назад

    Alli anzia 1 kuliko kuwa 10na stress Tina anakupenda kweli lakini wewe hauna msimamo,janzo yako muhimu

  • @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
    @khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 24 дня назад

    Ali acha kazi utapata kwengine ruzki ziko kila pande usjali

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 24 дня назад

      kweli Ila ndio Hivo

    • @olicej7837
      @olicej7837 24 дня назад

      ​@@jamilashabani8580😂😂😂😂vile ni movie tuvumiliane tu😅😅😅

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 24 дня назад

      @olicej7837 Basi Kheir Acha Tuone Mshindi Nani

  • @UkhtyShemsa
    @UkhtyShemsa 24 дня назад +1

    Ally ni last born aliechangamka hatak kutafuta kwa jasho anataka mseleleko anaishi kwenye nyumba ya fatuma ina maan kila kitu cha fatuma kuacha kila kitu ikatafute maisha mapya ili akae vzr na mke wake tina hatak anaona bora aachane na mwanamke kuliko kuacha mseleleko

  • @amidabukuru
    @amidabukuru 24 дня назад +2

    Utaitwa kaowaowa sasa

  • @mariamomary1343
    @mariamomary1343 24 дня назад

    Mumetuamulia Leo Kau Safi

  • @jameskalugo4583
    @jameskalugo4583 24 дня назад

    Ofisi ya watu watatu😂😂

  • @ZulfaSaidy-t8b
    @ZulfaSaidy-t8b 24 дня назад

    jaman ally kwan uwez ishi bila mke baada ya kumfat tin muongee yaishe unatak kuoa mke wa nne iyo sio akili unatakiw ukaechin na ufikilie

    • @SakinaHassani-xm7ti
      @SakinaHassani-xm7ti 24 дня назад +1

      Ndio hapo , sasa cjui na uyo wa4 akiondoka atamshinda mtume kwa kuowa😂😂😂 wake zaidi ya wa4

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 24 дня назад +1

    Tina nae anatuangusha turimuamini kama nimwanamke bora sasa mbona anawapa ushindi awa wajinga 😢

  • @JenniferNasimiyu-d3c
    @JenniferNasimiyu-d3c 24 дня назад

    Lakuni ally na Tina wana fanana really live wanafanana

  • @JescaMchilo-r7o
    @JescaMchilo-r7o 23 дня назад

    Allly huna msimamo hafu unayaogopa maisha magumu

  • @Mariam-p9x1x
    @Mariam-p9x1x 24 дня назад

    Ally ukiwa na tatz mshaur wako tina duh

  • @AishaJoslin
    @AishaJoslin 23 дня назад

    Tina umekosea kuolewa na ally ungetafta mwanaume mwengine

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 24 дня назад +2

    Wawooh

  • @anitasikazwe4613
    @anitasikazwe4613 23 дня назад

    Fetty anamchuuza mwenzake anataka kumtumia zena yeye arudi kwa ally

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 24 дня назад

    Sefu na tina brana du😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 24 дня назад

      Siyo Tina bhana ni lina😂😂😂

  • @mercymsemwa7020
    @mercymsemwa7020 24 дня назад

    Ally Hunaga msimamo tina ni mwanamke mzur ila wapate mwanaume ww kivuruge

  • @GHh-l8c
    @GHh-l8c 24 дня назад +2

    Yani ft nimekuchimukia adimwisho

  • @NoorNoor-y4w3t
    @NoorNoor-y4w3t 24 дня назад

    Tina aondoke tu Mimi simpendi rudisha Fatuma lete nyingine mapema

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g 24 дня назад +1

    Wakwanza mm

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 24 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 24 дня назад

    Ally na tina musiachan. Kwajiri ya fatum na zena

  • @ProsperityMpinge
    @ProsperityMpinge 24 дня назад

    ❤❤🎉

  • @Championdumonde-u8v
    @Championdumonde-u8v 23 дня назад

    wangapi tunao penda sevu nakiroba chamkahaa maana wananipa raha

  • @FatinaShabani-k7j
    @FatinaShabani-k7j 23 дня назад

    Sasa ivi ni wakati wa alli kuteseka

  • @MariaAgustinou
    @MariaAgustinou 24 дня назад

    Boss apo dawa uwame kapange rumu nyingine apo tokeni na mkewako

  • @UkhtyShemsa
    @UkhtyShemsa 24 дня назад

    Kiukweli huyu ally anaharibu move hana msimamo kabisa yann kiufupi hafai mume huyu

    • @SophiaJoseph-n4o
      @SophiaJoseph-n4o 24 дня назад

      Huyu ndiyo kabeba maana ya penzi hasara ukitak iwe unavyotak wew ipe na jina lako

    • @Mimah866
      @Mimah866 23 дня назад

      ​@@SophiaJoseph-n4omovie mnaibeba na mihemko😂😂😂

    • @UkhtyShemsa
      @UkhtyShemsa Час назад

      @@Mimah866 ndo hapo wakat movie unatakiwa uigize tuelewe maan halisi ya neno penz hasara yaan lkn hii inakuwa ni kazi hasara na sio penz hasara maan hataki kuacha kila kitu kwaajil ya penz ila anataka kuacha penz kwaajil ya kazi

  • @djbngudukwimba5682
    @djbngudukwimba5682 24 дня назад +4

    Kitambo

  • @ImaniPitino
    @ImaniPitino 24 дня назад +1

    Sef na huyu mpenz wak wananikera wanaharib muv mamb ya kijinga nikifik sehem yao napitisha tu maan sielewi

  • @SaumWangeci
    @SaumWangeci 24 дня назад +3

    Ali hana nyota ya ndoa😂

  • @FurahaEsther-q3b
    @FurahaEsther-q3b 24 дня назад

    83 🎉🎉

  • @FaizaKabibi-tb2dj
    @FaizaKabibi-tb2dj 6 дней назад

    Hata ukioa mke WA nne nenda kapange Kwan umeandamwa na shetani

  • @MaryKitururu
    @MaryKitururu 4 дня назад

    Tina anaona mbal xn bt aly hajui kusov tatzo nahaon mbal

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 24 дня назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @LwangaMukambilwa
    @LwangaMukambilwa 23 дня назад

    Sasa uyo béni kaenda wapi? Ivi alifariki Wala je?

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 24 дня назад +3

    Nipe lak zak nimekuj mbio kutok oman❤❤❤