Hii unafundisha watu shirki na haipendezi wewe kama muisilamu ndugu yangu...... lau ingekua waanganisha mwisho kuonyesha kua huko kwenda kwa mganga sio kufanikiwa kwa tamthlia yako hiyo!
Asante kwa maoni, lakini jee hapa Mau kafanikiwa kwani? Kama utazingatia vyema ni kwamba Mau kanusurika na kutapeliwa kwa sababu katumia akili yake kupima majibu ya mganga.
Huyu mwana mke mashallah
mau huyu demu kashaolewa
hongera mau kwakutusikia kilio chetu na kurudi kwenye gemu.
Mbavu zangu.
😊😊😊Mau bwana
Hepekuwa jambo mana hunajambo shukran big job
Hii unafundisha watu shirki na haipendezi wewe kama muisilamu ndugu yangu...... lau ingekua waanganisha mwisho kuonyesha kua huko kwenda kwa mganga sio kufanikiwa kwa tamthlia yako hiyo!
Asante kwa maoni, lakini jee hapa Mau kafanikiwa kwani? Kama utazingatia vyema ni kwamba Mau kanusurika na kutapeliwa kwa sababu katumia akili yake kupima majibu ya mganga.
kazi juu ya kazii mau mpemba upo vzury
Mie mwenyewe sijazionapo
Kujazinga tolewa jicho
Mau kidogo fraha yangu ina anza kurudi kuku ona umerejea
Mauuu asante kaka
HII BALAA SASA
😁😁😁😁 shida
Mau kaja kivyengine dadek.
MAU 😂UYU DADA UMEMPATA WAPI.MASHALLAH
Mm namjuwa huo mdada
msema kweli sina nilichokitafuta zaid ya kumchuza huyu ntuh nke ama nakwambia nkichichiri
❤🎉😂😂😂😂
Mara hii umechafukwa fundi mau
Mganga umeua🤣🤣🤣🤣
Wacheni kuwafundisha watu shirki..
Hakika ya shirki inamtoa muislam ktk uislam
Exactly
Hawafundishwi wanayafanya wangembea wengi
Kuna shirk gan wacheni uroho mbaya
😂😂hevekuwa jambo
Mau kushaukosa ubunge 😂😂😂
Mau
Kojani utakula madagaa
Mau nipe namba yako ya simu
0777001500
Asante
😄❤👍🏻
💀💀💀
😅😅😅
Hahaahaaaa
Hhhhh
Hahaha🤣🤣🤣
Hhhhhhhhh