@@UncleJonah-h8l umalaya? Unatamka kana kwamba unayaona ya kawaida, umeyazoea? Ninapo sema wachungaji wengi wa siku hizi hawahubiri neno la kuchoma mioyo. Ni mahubiri ya kuwafanya watu waone umalaya ni wa kawaida. Watu wajihisi na amani. Ndio maana jumbe zimekataliwa leo. Ujumbe wa kutoka mijini unadharauliwa sana. Sidhani kama Manabii, mitume, na akina Mama White waliwafundisha watu kama anavyofundisha huyo mchungaji. Biblia inasema Kahaba au Malaya ni shimo refu, Yeye anasema wake wajifunze ule umalaya wawaletee waume zao. Ndoa hailindwi kwa mbinu za umalaya. Wala ufundi wa ngono wa mke wako sio ulinzi wa ndoa. Hilo ni tegemeo la Wasidoni.
I'm Islamic... But huwa n'na enjoy kuwasikiliza Wachungaji wenye 'Madini'like you... Big up
As ante.mtumishi
Fact📌📌📌📌📌📌🔨🔨 Mchungaji Kunywa Juice nzuri ya Dr. HESPA nakuja kulipa.
Hawa wachungaji wa siku hizi wamekosa ya kusema. Imebakia kuchekesha watu tu na kutafuta sadaka.
@@jmanp1261 we cheka tu ila wengine tumepata funzo .wewe pia kuwa mchungaji na usichekeshe na usipewe sadaka . Na uwe na la kusema
Unaunga mkono mke aige style za Malaya ili amfanyie mumewe?
@@jmanp1261 mke wako ama mume wako mkiwa nae chumbani hakuna umalaya mnafanya bora mnaonana peke yenu nyinyi n mwili mmoja utaibika kujiona wewe?
@@UncleJonah-h8l umalaya? Unatamka kana kwamba unayaona ya kawaida, umeyazoea? Ninapo sema wachungaji wengi wa siku hizi hawahubiri neno la kuchoma mioyo. Ni mahubiri ya kuwafanya watu waone umalaya ni wa kawaida. Watu wajihisi na amani. Ndio maana jumbe zimekataliwa leo. Ujumbe wa kutoka mijini unadharauliwa sana.
Sidhani kama Manabii, mitume, na akina Mama White waliwafundisha watu kama anavyofundisha huyo mchungaji. Biblia inasema Kahaba au Malaya ni shimo refu, Yeye anasema wake wajifunze ule umalaya wawaletee waume zao.
Ndoa hailindwi kwa mbinu za umalaya. Wala ufundi wa ngono wa mke wako sio ulinzi wa ndoa. Hilo ni tegemeo la Wasidoni.
Tunabalikiwa
🙏
Ameen Ameen
P