Asante Roho Mtakatifu Kwa Kunidirect Mahali Sahihi..,Nina Shuhudaa nitarudi kushuhudia..Yani huku nilipo Nguvu za Mungu zinanikuta huku huku Mkoani..Laiti watu Wa Dar wangejua Neema iliyopo Madhabahu hii wangefunguka akili,Moyo, Roho, na Kuacha kupenda Shortcut..Mubarikiwe Sana Watumishii Wa Mungu
Ama hakika Kuna mambo mengi ya kujifunza kwenye hizi semina zinazotolewa kwenye hii madhabau haijalishi muda ilipofundishwa umesha pita ,huu ni wakati wangu kufuatilia. Yeyote anaemuelewa huyu mtumishi awaoneshe na wengine ambao bado hawamfaham. Mbalikiwe sana mtumishi pamoja na ndugu zangu wote mnaofuatilia haya masomo.
Very great insights. Barikiwa sana mchungaji.🙏
Asante Roho Mtakatifu Kwa Kunidirect Mahali Sahihi..,Nina Shuhudaa nitarudi kushuhudia..Yani huku nilipo Nguvu za Mungu zinanikuta huku huku Mkoani..Laiti watu Wa Dar wangejua Neema iliyopo Madhabahu hii wangefunguka akili,Moyo, Roho, na Kuacha kupenda Shortcut..Mubarikiwe Sana Watumishii Wa Mungu
@@mrsfrankdollars1fx243 Exactly 💯..Fatilia online ibada za Jpili,J5 na Ijumaa live So powerfull.
Ameen
Nimeipenda sana 👋
Thanks for this lesson,your are real man of God,be blessed pastor Sunbella
Ama hakika Kuna mambo mengi ya kujifunza kwenye hizi semina zinazotolewa kwenye hii madhabau haijalishi muda ilipofundishwa umesha pita ,huu ni wakati wangu kufuatilia. Yeyote anaemuelewa huyu mtumishi awaoneshe na wengine ambao bado hawamfaham. Mbalikiwe sana mtumishi pamoja na ndugu zangu wote mnaofuatilia haya masomo.
You are a blessing pst , love from Kenya.
Blessed Bishop Sanbella.missing you so much
Me too.Which radio station is this ministry on
shalom baba ubarikiwe
Daddy 💕
Thanks
God Bless You and Keep You Pastor
Amen mtumishi
Hakika mtumishi
Ameen
Mnapatikana wapi
Amen
Watching from kenya tone down the background music Its too loud Otherwise thanks you appostle for the powerful word
Kinachoshangaza mnaandika namba za simu mkipigiwa haipatikani watu tuna shida lengo lenu hamtaki kusumbuliwa na wenye shida
Usiseme hivyo hii ni madhabahu, uliza kwa hekima Ili Mungu aone shauku yako. Watumishi pia ni wanadamu
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen