MTANGA NA BAMBO ,OMBA OMBA WATATA ,HII KALI YA KABISA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024
  • #bamboo #mtanga #ombaomba

Комментарии • 40

  • @masmas1219
    @masmas1219 Месяц назад +5

    Ww haytham rudi kwa mola wako kwani ni mwenye kusamehe na mwenye huruma
    Wala hupendezi hichi unachofanya na wala huyawez haya mambo, hakuna km wazazi wako hutaendelea bila kuridhiwa na wazazi wako na wao wanakupenda unawaaibisha wazazi wako na waislam kuwa ktk mambo haya .
    Rejea kwa mola wako rudi watake radhi wazazi wako na waislam dada.

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 Месяц назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣 Bambo na mtanga mtaniua mbavu zangu

  • @jeremiamatinde2878
    @jeremiamatinde2878 2 месяца назад

    Kazi nzuri sana bambo napenda sana kazizako unanikosha sana

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 2 месяца назад

    Kwetu kama kwao kwao kama kwetu daah hiyo line mtnga😅😅😅😅😅🙌🙌

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini 2 месяца назад +4

    Hahah...mtanga nakuangalia kutoka Omani..karibu sana

  • @SleepyFlowers-du1tq
    @SleepyFlowers-du1tq 2 месяца назад +1

    😂😂😂 kweli hawa jamaa wakongwe, big up

  • @mhrmahir3756
    @mhrmahir3756 2 месяца назад +3

    7:02 hiyo bint naona hana tena wazee huko znz kashashida ni mshenz sana kwa hali alofikia

  • @kombifabricetv6821
    @kombifabricetv6821 2 месяца назад +1

    Mtango nipee numbba ya kademoo🎉❤

  • @jacobmuturi-hi3ux
    @jacobmuturi-hi3ux 2 месяца назад +1

    mtango mwenyewe

  • @geraldngangawangari863
    @geraldngangawangari863 2 месяца назад

    😂😂😂😂 kazi safi

  • @PauPaulo-qf3wo
    @PauPaulo-qf3wo 2 месяца назад

    😂😂 Mutaomba mpaka uzeeni 🏃🏾🏃🏾

  • @autorepair2321
    @autorepair2321 2 месяца назад +3

    Jambo from United Kingdom Manchester

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂 hiii kali 🔥🔥🔥🔥

  • @bapiisniper5717
    @bapiisniper5717 14 дней назад

    Watu Wana mshambulia Haitham Eti Hajavaa Mtandio Mbona Hao Wasanii Wengine wa kike Hawavai Na Wala Hamsemi Au Huyu Munamuona Km Malaika Mijitu mijinga Kweli .

  • @AbdallahFaki-h9g
    @AbdallahFaki-h9g 2 месяца назад +5

    Huyu haitham kujistri kwake ndiyo basi tena

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 2 месяца назад

      huyo hafai tena ni muhun tu mshenz

    • @MariamNkelame
      @MariamNkelame Месяц назад +1

      Sitara Yako heshima Yako uzur wako utabakia na mungu ndo atakupenda kama alivyo amrisha. Sitara ni muhim haitham

  • @geeva99
    @geeva99 2 месяца назад +1

    Ombaomba kama huyo akitokea nakimbia nahisi jini, na kama sio la mahaba ni Kimeo hasa

  • @Kassim-o6m
    @Kassim-o6m 2 месяца назад +4

    Ww Haitham unatuadhirisha sana muki fika huko bongo munakuwa muna badilika kwa nn mnakua munaondoa stara zenu kwa nn usiigize ukiwa hijabu yako

  • @chibudenga8977
    @chibudenga8977 2 месяца назад

    jamani mbona hawamnawapo sihatupatoo

  • @ikungasyamwakitalu6540
    @ikungasyamwakitalu6540 Месяц назад

    Naulo

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini 2 месяца назад +1

    WA mwanzo leo

  • @YussufJuma-z5u
    @YussufJuma-z5u 2 месяца назад

    Hhhh mtaomba mpa uzeni

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 2 месяца назад

    ❤😂😂😂😂

  • @HamidJuma-h8w
    @HamidJuma-h8w 2 месяца назад

    Bamboo bwana et PIDIDO

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 2 месяца назад

    😆 😆 😆

  • @AkimanaRama
    @AkimanaRama 2 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 2 месяца назад +4

    Dada jistiri mwanamke wa kiislam hatakiwi kuonesha nywele zake

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 2 месяца назад

      ukiona hivo hao ni washenz walochupa mipaka huko znz hao wazee wao ta hawana habar nao tena mtihan na aibu tu sasa

    • @ShabaniAdamu-j5s
      @ShabaniAdamu-j5s 2 месяца назад

      Hatakiwi na nani acha utumwa wa kidini

    • @mhrmahir3756
      @mhrmahir3756 2 месяца назад

      @@ShabaniAdamu-j5s sioongei nawewe jitu la bara pengine mkiristo wanaolewa hivo ni waislam wazanzibar tu ndio makusudio ya maneno yangu

    • @chibudenga8977
      @chibudenga8977 2 месяца назад

      ni kweli tujitaidini kukumbushana sie waislamu inshallah Allah atusamehe na atufichie aibu zetu

    • @kautharjay5868
      @kautharjay5868 Месяц назад

      ​@@ShabaniAdamu-j5sduu eti utumea wa kidini😢😢

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu 2 месяца назад +1

    Upumbavu mtupu tafuteni kazi za maana na wewe demu wala hujapendeza

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 2 месяца назад

      Acha wivu utaliwa tigo wewe😅

    • @PanyaBuku-qo7tu
      @PanyaBuku-qo7tu 2 месяца назад

      @@hassanovajunior6972 bichwa kama kundu la mama yako.pumbaaaff mkubwa

  • @jacobmuturi-hi3ux
    @jacobmuturi-hi3ux 2 месяца назад

    mtango mwenyewe

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 2 месяца назад

    😆 😆 😆