Sio kila baya unalofanyiwa linaubaya kwako, jamaa alitupwa kwenye maji na mwalim akaja kumuokoa kumbe ndo ilikua njia yao ya kupona.lkn pia Tuishi na wanawake kwa akil na mamlaka, sio kila wanachokitaka basi tufanye. Fata akili yako kama mwanaume. Movie kali sana inamafunzo meng.
Jina la Movie - Segon origen
Mwamba una weza sana hongera 🎉🎉🎉🎉
Ooh movie nkali san hya 🇹🇿mnipe like Bhc
Nimekuwa wa kwanza gonga like
hahahhhaaa unapenda Like et safi
Na mimi nimemuongezea moja
Movie kali sana asee naomba jina la movie asee
Saw
Sio kila baya unalofanyiwa linaubaya kwako, jamaa alitupwa kwenye maji na mwalim akaja kumuokoa kumbe ndo ilikua njia yao ya kupona.lkn pia Tuishi na wanawake kwa akil na mamlaka, sio kila wanachokitaka basi tufanye. Fata akili yako kama mwanaume. Movie kali sana inamafunzo meng.
Asante Sana
good lessons sport on
🎉🎉🎉❤
Mwanangu mwanangu hii hatari mwanangu
😮
Ukiwa wa kwanza unadai like zanini sasa
Ww kwani utaki like
😂😂😂😂
Uko vizur movie inaitwaje pls🔥
Big up kaka
Movie kali....itaendelea lin
Inakuja Nyingine kesho
@@movierecapswahili1 insha'Allah
🙌🙌🙌
🎉🎉🎉
Alba kiherehere
🤣🤣🤣🤣
❤❤❤
hii movie in qwalt nzuri sana 😁😁
Asante sana
Jina la movie please
Kubarii
Movie kali lakin unachelewesha vituu vizurii kaka
Uongo
Kwahy kijan amekuwa afu dada yuko vile vile stupid
❤❤❤❤