SALEH JEMBE ATHIBITISHA MPANZU AKIONGOZANA NA WACHEZAJI WA SIMBA,RASMI MO DEWJI ATUMA OFA AS VITA..!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 59

  • @sirzicco
    @sirzicco Месяц назад +1

    SALEH JEMBE ATHIBITISHA MPANZU AKIONGOZANA NA WACHEZAJI WA SIMBA,RASMI MO DEWJI ATUMA OFA AS VITA..!
    mpanzu katajwa wapi?

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina Месяц назад

    This is simba

  • @ShaabanTech
    @ShaabanTech Месяц назад

    Kazi nzuri

  • @charleskwilasa3628
    @charleskwilasa3628 Месяц назад

    Ubarikiwe kwa maelezo ya heri

  • @enocklameck3808
    @enocklameck3808 Месяц назад +1

    Haya ndo Maelezo ya Mpanzu kuna namna waandishi wa hizi online Tv wanaiba Mb za watazamaji Title tofauti Contents tofauti Hii inapelekea watu kuwapuuza hasa watu wa online Tvs

  • @JuliusMbikilwa
    @JuliusMbikilwa Месяц назад

    Ni kweli bw Jembe, pamoja na Simba kutoa sare lakini hawakucheza Kwa kiwango Cha timu naomba 6 ktk viwango vya caf, Walitambue hilo,wakipuuzi ushauli basi watakutana na joto la jiwe wakiwa home

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el Месяц назад

    Mungu yupo tutashinda tu

  • @chachamwita9987
    @chachamwita9987 Месяц назад

    Huyujamaa ni mchambuzi mzuri sanaa Anatakiwa awemshauri wa simba upande wa ukocha

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Месяц назад

      Mshauri anayesema matokeo ya mpira lazima iwe ushindi na kufuzu tu hafai kwa maana anaenda kinyume na asili ya matokeo ya mpira wa miguu ambapo yapo aina tatu ushindi suluhu na kupoteza akisema hawana excuse akiwa anaujua ukweli kwamba hii ni team inayojengwa anatengeneza mazingira ya presha ambapo faida inakuwa kwa wapinzani kuliko kwa team anayofikiri anaisaidia ndugu yangu angalia kwa umakini unapohitaji washauri ktk safari yako ya mafanikio yes unahitaji mtu wa kukupush ila sio ktk level ya kukubreak

  • @DenissShadrack
    @DenissShadrack Месяц назад

    Shida kocha anakaa sana bila kufanya sabu na akitaka kufanya sabu anakurupuka2 wakati watu wanakuwa wanaonakana kabisa wakutolewa hivi me ninavyona asipokuwa makini hapo aatajutia.

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d Месяц назад

    Mungu ibaliki simba

  • @AllyNzamala
    @AllyNzamala Месяц назад

    Komeni nyny nyuma mwiko jamaa anaongelea timu ilio nafas ya 6 barani Afrika mnata aongelee timu ambayo haipo ktk timu 10 Bora Afrika

  • @joelmichael9752
    @joelmichael9752 Месяц назад

    Hawa ndio waandishi njaa na wasiojiamini na wanachokifanya,wamejaa UONGO TU.

  • @patrickkilongo3214
    @patrickkilongo3214 Месяц назад

    Namkubali sana uyu mwamba

  • @AkidaNzambah
    @AkidaNzambah Месяц назад

    MBN HUONGELEI WACHAMBUZI WALE WANAOPENDELAE TIMU YAKO NA BADO WANAIPONDA SIMBA,,,HEBU ACHA UNAFIKI,,

  • @emmanuelnkinda3924
    @emmanuelnkinda3924 Месяц назад

    Watu 50,060

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 Месяц назад

    WACHEZAJI WA SIMBA TUNAOMBA MKAPAMBANE KWA JASHO NA DAMU ILI MPATE USHINDI. MKAWAKABE SANA NA MPEANE PASI LENGO TIMU ISHINDE.

  • @LitoDossani
    @LitoDossani Месяц назад

    Ulitaka asifiwe kabwili au

  • @YassinMgosi
    @YassinMgosi Месяц назад

    alitaka mama ake asifiwe uyo

  • @masanjamasunga6667
    @masanjamasunga6667 Месяц назад

    😂😂😂50 na 60 mbona sjaelewa?

  • @barakahezron9179
    @barakahezron9179 Месяц назад

    Watu elfu hamsini na sitini ndio nini?

  • @godwinmyovella4385
    @godwinmyovella4385 Месяц назад

    Umesema vyema mashabiki wa Tanzania hatujui kuzishangilia timu zetu mwanzo mwisho. Tunakua watazamaji wa mpira live badala ya kussuport team. Angalia Mashabiki wa wydad, Ahly hata hao Tripoli

  • @Gameontz
    @Gameontz Месяц назад +3

    Hawezi kuwa mchambuzi huyu mchambuzi gani anaishabikia simba kila siku anaisifia Simba huyu kama jemedari tu wala hela za simba

    • @HalimaMrisho-qk1rp
      @HalimaMrisho-qk1rp Месяц назад +2

      Kwaiyo ulitaka aishabikie Utopolo 😅

    • @leonardmwasongwe600
      @leonardmwasongwe600 Месяц назад

      Ahahahahahaaaaa

    • @Mufti-g3x
      @Mufti-g3x Месяц назад +3

      Kwani kushabikia timu nilazima watu washabikie utopolo sio?

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz Месяц назад +2

      Ulitaka ashabikie ile Bihashara ya Nyama ya Mama yako? Tobo la chini ya Mgongo.

    • @MillanFAHMI
      @MillanFAHMI Месяц назад +3

      Asiseme ukweli kwaiyo akisema ukweli anashabikia simba we vp