MWABUKUSI MIMI NI MTANZANIA HII NCHI NI YETU KAMA UNA JIPU NITAKUKAMUA TU SIO KWASABABU SIKUPENDI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 15

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 дня назад +4

    Mwambukusi Uko vizuri mungu akutunze. Natamani siku moja uwe rais mikataba yote aliyosaini samia na warabu wake .Nadhani Utawenza kuisimamisha tuakaanza upya. Mfano bandari zetu na misitu yetu. Na Mbunga zetu za wanyama Pamoja na viwanja vya ndenge mfano kia tayari samia kishawapa warabu warabu wake. Very soon atawapa uwanja wa dar es salama . Inauma sana.

  • @jumamrange
    @jumamrange 12 часов назад

    Wewe unatakiwa kuwa mwl wakufundisha taifa, mungu akuongezee cku za kuishi baba

  • @GEOFREYRALIKAinaumizasana
    @GEOFREYRALIKAinaumizasana День назад

    Asante mbobezi mtusaidie

  • @MzeewaslowHusseinAndrew
    @MzeewaslowHusseinAndrew День назад

    Upo sahihi mwanasheria tls unaongea ukweli mtupu anaekataa ni mjinga nampumbavu kweli kweli.

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam День назад

    Kimsingi hua ninapo kusikiliza kwa makini hua ninatamani watala wanao tumia ubaba kwenda kinyume na utekelezaji wa sheria,, namani wakuelewe ili kupunguza migogoro isiyo rasmi. Serikali imepoteza misingi ya utawala bora.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 дня назад

    Yuko sahihi Bado.....yeye ni MTanzania kwa mujibu wa katiba....harakati zake anaidai Tanganyika ipate katiba yake kama ilivyo Zanzibar Ina katiba na Rais wake Kisha Muungano unaotupa Tanzania na Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tanzania Ina katiba, Zanzibar Ina katiba, Tanganyika Haina katiba. Kuna Mzanzibari na MTanzania kwa Mujibu wa katiba zao

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 2 дня назад

    Njaa mwana malegeza na shibe mwana malefya,

  • @knight6757
    @knight6757 2 дня назад

    Raisi wa Venezuela pia alikuwa dereva wa bus !!!!!

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 дня назад

    Leo ndo wayajua hayo. Kumbe wayajua ulikua umejitoa ufahamu

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 дня назад

    Mpuuzi sana huyo kwakweli mbna mwanzo alikua akijiita yy ni Mtanganyika????. Maandazi wahed fatani mkubwa

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 2 дня назад

    Tatizo ni kuwa,huo utu na upendo unavyovihimiza haviko kwenye msingi,ikiwemo upatikanaji wa Katibampya na uwepo wa uchaguzi huru.Hapo ndipo mwanzo wa chuki zote.

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 2 дня назад +1

    Kabla ya cheo na chuki ya bandari alikuwa mtanganyika ila baada ya cheo ni Mtanzania.

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 2 дня назад

      Ndiyo tujue watu wanao pinga 👍🇹🇿Serikali yetu🇹🇿🔥 ni kumbafu akilini 😂😂

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 дня назад

      Ni Tanganyika law society. Wewe unatakaje ashike silaha.

    • @JosephatMsukuma
      @JosephatMsukuma 2 дня назад

      Kabla ya kuandika fuatilia mambo na uwe makin saana naona kabsa we mchanga