Asalaam alaykum warahmatullah.sheikh samahani kuna munkar utakaofanyika siku ya eid hapo dar live.ombi langu jmn masheikh nyie wakubwa mtafuteni mzee Yusuph muongee nae huenda Allah akamnusuru na mkauondoa huo munkar.hiyo ndo kazi ya maduat.Allah awatangulie
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh sheikh wangu Nami nauliza swali mbona Kuna masheikh wengine wanasema kuwa mtoto usipomfanyia hakika ndani ya siku saba bas itakua haramu naomba ufafanusi ilinipate kuelewa
Mashaallah shukran sana
Mashaallah majibu ya usahihi nimejifunza mengi.
Mashaallha Mashaallha
Wa Alaikum salaam warhumatullah wabarakatuh
Mungu akupe kila la kheri na baraka Amiin yaarab
Mashallah
Asalaam alaykum warahmatullah.sheikh samahani kuna munkar utakaofanyika siku ya eid hapo dar live.ombi langu jmn masheikh nyie wakubwa mtafuteni mzee Yusuph muongee nae huenda Allah akamnusuru na mkauondoa huo munkar.hiyo ndo kazi ya maduat.Allah awatangulie
Munkar gani Dada amina
Jifunz quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
Assalam aleykum shekhe nauliza mwanaume anaruhusiwa kuswali ndani Kila siku
Waleykum msalam
Naomba kuuliza ata mwanamke anaweza akaazini mwenyewe akiwa pekeake sehemu ambapo amna hazina?
Asalaam aleykum warahmatullah wabarakatuh sheikh wangu Nami nauliza swali mbona Kuna masheikh wengine wanasema kuwa mtoto usipomfanyia hakika ndani ya siku saba bas itakua haramu naomba ufafanusi ilinipate kuelewa
Mbona washindi wawili wameshinda swali moja?
Mbana hamuandiki nambari zenu za sim?
Na jibu la swali la kwanza mbona kama lina mushker hebu tufafanulieni
Mushkeli gani ukhty